MAKOLE JF-Expert Member Joined Feb 5, 2012 Posts 620 Reaction score 282 May 29, 2026 #1 Nasumbuliwa na tatizo linalojulikana kama ANAL FISSURE, Naomba wataalam mniambie tiba yake tafadhali
ephen_ JF-Expert Member Joined Oct 28, 2022 Posts 20,829 Reaction score 76,909 May 29, 2026 #2 Nenda hospital.
fimboyaukwaju JF-Expert Member Joined Aug 3, 2020 Posts 6,684 Reaction score 9,280 May 29, 2026 #3 MAKOLE said: Nasumbuliwa na tatizo linalojulikana kama ANAL FISSURE, Naomba wataalam mniambie tiba yake tafadhali Click to expand... Hili sio tatizo kubwa kwenye hospitali yoyote ya mkoa unatibiwa
MAKOLE said: Nasumbuliwa na tatizo linalojulikana kama ANAL FISSURE, Naomba wataalam mniambie tiba yake tafadhali Click to expand... Hili sio tatizo kubwa kwenye hospitali yoyote ya mkoa unatibiwa
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,073 Reaction score 21,558 May 29, 2026 #4 Pole kwa changamoto mkuu.... Humu kuna madocta wa kila aina ! Pengine ungeleeza tatzo lina muda gani, na ulishachukua hatua gani mpaka ulipofikia !!!! Again Pole sana
Pole kwa changamoto mkuu.... Humu kuna madocta wa kila aina ! Pengine ungeleeza tatzo lina muda gani, na ulishachukua hatua gani mpaka ulipofikia !!!! Again Pole sana
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 11,833 Reaction score 15,992 May 29, 2026 #5 Sasa MAKOLE una google dalili zako unaletewa aina ya ugonjwa unakuja kutafuta tiba JF kwa kina Mzizi Mkavu kweli? Nenda hospital bana ufanyiwe diagnosis, upimwe, utibiwe humu tutakupigia makelele tu
Sasa MAKOLE una google dalili zako unaletewa aina ya ugonjwa unakuja kutafuta tiba JF kwa kina Mzizi Mkavu kweli? Nenda hospital bana ufanyiwe diagnosis, upimwe, utibiwe humu tutakupigia makelele tu
pilato93 JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 7,933 Reaction score 9,674 May 29, 2026 #6 Mkuu unakunya vitu vizito na vigumu nini? Any way hiyo sio big issue nenda hospital chap
S Strong ladg JF-Expert Member Joined Jul 15, 2021 Posts 1,219 Reaction score 2,839 May 29, 2026 #8 Hospital waliyokuambia una hilo tatizo waendelee na matibabu au kama ni hospital ya level za chini,nenda za ngazi za juu mkuu
Hospital waliyokuambia una hilo tatizo waendelee na matibabu au kama ni hospital ya level za chini,nenda za ngazi za juu mkuu