mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MFALME WETU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Mpenzi wangu kajifungua salama

    kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏 Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...
  2. Candela

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana sielewi

    Nanukuu kama ilivyosimuliwa na muhusika, " Niliingia katika mahusiano na binti mmoja alikuwa akiishi na wazazi wake. Tulikuwa vizuri mpaka ikafikia nikawa namhudumia kama mke vile, kuanzia kula yake, kuvaa na hata akiumwa nahusika na kila kitu. Ikafikia wakati akahama kwao, akaenda kupanga na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuzi wa sheria, mgawo wa urithi kwa kesi kama hii mnaisolve kivipi?

    Habari wana JF naleta mrejesho wa kesi ile ya mgogor wa urithi. Baba aliyezaa na wanawake tofauti. Baada ya kwenda mahakamani ikaonekana ilikuwa ni kampuni na si mali ya mtu binafsi. Na katika mgawanyo wa kampuni kuhusu share mke wa ndoa yani mke wa baba yao aliyezanaye mtoto mmmoja ambaye ni...
  4. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO; Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?

    Habari wanajf. Nilileta uzi hapa kuhusu rafiki yangu mmoja ambaye alizaa nje watoto 2. Na mkewe alizaa nae watoto wawili. Thread 'Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi?' Ushauri, niwahusishe watoto wangu wa nje ya ndoa kwenye urithi? Alipata kigugumizi kuhusu mali...
  5. Masaki road

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

    Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni. Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo...
  6. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Wasalam vijana na wazee wa JamiiForums mie naitwa Fetty sio muislamu lakini nimwanadada ninayetafuta humu mwenzi wakutulia naye tena awe Mkristo mwenye uhitaji wa mke. Asiwe mdogo sana au mzee sana wastani tu Ninachopenda ni heshima /upendo/faraja/matunzo. Siku njema ==== Mrejesho wa...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kuomba ushauri wa mambo ya mapenzi hapa JF

    WanaJF natumaini mnakumbuka siku chache zilizopita niliomba ushauri kuhusu jambo langu la mapenzi hapa JF kuhusu mchumba wangu aliyekuwa akisita mimi kuendelea na mchakato wa kutuma mshenga kwao kwa nia ya kumuoa. Kwenye huo uzi nilipata ushauri mwingi ingawa baadhi ya wanaJF wenye roho mbaya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Faida nilizopata baada ya kuwatoa watoto wangu shule ya English Medium na kuwarejesha kayumba

    Miezi michache iliyopita nilianzisha Uzi hapa JF wenye title" Tunaowatoa watoto wetu shule za English Medium na kuwarejesha kayumba njooni tufarijiane hapa" Soma: Tunaowatoa watoto wetu shule za kiingereza njooni hapa tufarijiane Lengo la Uzi lilikuwa kupata watu watakaonipa "faida"...
  9. Wilson Gamba

    JamiiForums Tanzania Mrejesho juu ya Mzee Michael Juma

    Kwanza niwashukuru nyote mlonipa ushauri juu ya Nini tufanye tumpate mzee wetu.Ukweli tulifanya kila kitu ata kujiunga magroup mbalimbali ya wasapu na fb. Tuliopita kila Kona,tulifanikiwa kumpata mzee mmoja aliyekuwa anafanya kazi gereza la musoma na sasa Ni mstaafu yupo Mkoani Singida alikiri...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Njia zipi unaweza kuzitumia kuondoa sonona?

    Habari za asubuh wapendwa JF, Nitumie fursa hii kuwashukuru sana kwa moyo wenu mliouonyesha kwangu. Sio kwamba tatizo limeisha moja kwa moja ila mmeweza kusimama na angalau sasa naweza kutoka nje na nikacheka na watu as if nothing is there which kwangu ni hatua. Mmenionyesha upendo mkubwa sana...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaoamka wakiwa na mikwaruzo, ondoa shaka, usipaniki. Nami nishawahi kupata hii hali na huu ndio mrejesho wangu

    Mara kadhaa nimeona hili tatizo watu wakiliibua na hata humu ni juzi juzi kuna mtu kaanzisha uzi, nimeona ni vema nilete experience yangu. Mimi hali ishawahi kunipata, dah we acha tu, nikafikiria mbali kwamba natembelewa na wachawi, nilipaniki sanaaaaa!! nilianza kulala saa tisa au kumi natumia...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Habari wakuu! Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
  13. tecknologia23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yule jirani

    Mliniambia huyu jirani hanitaki oh najikomba Jana kaja basi katoa namba mwenyewe nakujitambulisha . Mie naitwa jj naomba kampani Yako nilikuwa sijaweza kukuongelesha Kwa sababu sijakuzoea mie nimeamua kujilipua tu nakupenda . Japo nimeona ila mke yupo mbali ila naomba kampani Yako . Please...
  14. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  15. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  17. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  18. Jooho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimwache au nilee mimba

    !
  19. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tulioambiwa Marburg, nchini hakuna taarifa mpya?

    Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe. "Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo." Kwenye haemorrhagic fever kama iliyotupiga, siku 21 zinazobeba matumaini ya kuondokana na magonjwa hayo...
Back
Top Bottom