mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mjenziwakale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho

    Tuliomaliza vyuo majuzi alafu tukawa na presha ya kusubiri ajira za afya zitangazwe may mosi njooni tupeane mrejesho
  3. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Mrejesho; Miaka minne ya mateso sasa nimepona

    Habari wanaJF Mwaka jana nilileta uzi kuomba msaada baada ya masiku ya kuhangaika na kukosa msaada kwa takriban miaka mitatu. Tatizo lilikuwa kukosa nguvu za kiume baada ya kuchepuka na aliekuwa mke wa mtu hatimae kukosa hamu ya tendo. Kwanza kabisa niwashukuru wana jf kwa michango yenu kuna...
  4. Saad30

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Lipa namba

    Habari wakuu. Pesa yangu 120000 iliyotumwa kimakosa kwenye Lipa namba ya VODACOM 5757565 tarehe 28 mwezi wa jana,nimefanikiwa kuipata. Pongezi kwa Mtandano wa VODACOM na Tigo kwa kufanya kazi yenu. Hakika Haki ya Mtu haipotei.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wakuu nilileta mkasa hapa baada ya kuyatimba yapata sasa week ya8 nimepima bado Neg hukunikiendelea kumuomba Mungu.

    Habarini wa Jf imepita sasa takribani week7 na nusu niko week ya 8 baada ya kuishi kwa msongo mkubwa sana wa mawazo kupelekea afya kudhorota na ufanisi wa kazi kuwa mbovu baada ya kuyatimba kwa mdada ambae anamoto aka umeme bado naendelea kumuomba Mungu. Nimeleta mrejesho huu nitumaini nitapata...
  6. Mhafidhina07

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga tupeni mrejesho mechi ijayo ni ya mchezaji gani? Simba nani atakuwa mgeni Rasmi? Naona mmetangaza viingilio tu

    Imeshakuwa mila na desturi kwa timu hizi za jadi kuwapa presha wachezaji katika mechi za kimataifa ingawaje nayo huleta hamasa kwa timu, kwa timu zote mbili mechi za mwisho za makundi tumeshuhudia mechi ya yanga ilipewa jina la Pacome huku Simba mgeni Rasmi akiwa Enonga Baka na kufanikiwa...
  7. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Songea: Vyoo vya shule ya Msingi Mshangano vilivyolalamikiwa vyafanyiwa maboresho, mdau aomba kero ya maji kutatuliwa pia

    Tarifa iliyowekwa hapa kuhusu matundu ya vyoo kuziba shule ya msingi Mshangano Manispaa ya Songea sasa yamezibuliwa na baadhi kubadilishwa sink. Ni jambo la heri kwa afya ya wanafunzi na walimu. Hongera JF na Serikali. Changamoto zipo nyingi ikiwemo uhaba wa madarasa, madawati na maji...
  8. Fateema

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu shule ya EM iliyogoma kutoa uhamisho wa mwanangu anayetakiwa kufanya mtihani wa std 4: Asanteni sana wanaJF kwa msaada wenu

    Habari zenu wana Jf mwezi ulio pita nilianzisha Uzi hapa kuhusu namna ambavyo shule moja ya EM ya huko Mwanza ambao waligoma kutoa uhamisho kwa kijana wangu wa darasa la nne jambo ambalo lingeleta ugumu kwa kijana wangu huyo kuandika mitihani yake ya darasa la nne. Nashukuru sana kwa wana Jf...
  9. john issa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimepata mke tayari, nashukuru wote mlionitafuta

    Naomba nitoe shukrani zangu za dhati JamiiForums kunipatia mchumba, Pia, sio kwamba wewe hustahili kuwa mke wangu kama sijakupa kipaumbele, la hasha ni vile nilikuwa nataka mmoja tu! Wengine tunaweza kushirikiana katika biashara zingine, tu na zikaenda kwa uzuri. Mazao, ng'ombe, cosmetics...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kesi yangu na app za mikopo

    Kama nilivoahidi kuwa leo Jumatatu tarehe 26/02/2024 naanza mchakato wa kuwashitaki hawa watu. Nimeanzia TCRA ambako nimepeleka malalamiko yangu, Majibu ya TCRA ni kwamba wao hawahusiki kwa sababu hasimamii watu bali wabasimamia makampuni ya mawasiliano. Hii kidogo imeshitua hivo ikabidi niende...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Sina Mimba

    Jamani kwema? Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba. Asanteni kwa kunifariji Ile...
  12. The dumb Professor

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yule jamaa aliyenitafutia kazi, leo nimemchana

    Wataalam, Jana nmetoka kuachia 30k kwa jamaa aliyenitafutia kazi, alinlilia shida eti anahitaji kuweka mafuta. Ile nafika home najisachi nakuta kwenye pochi nmebakiza shingi 300 tu. Kidogo nlale njaa ila bahat nzuri baba mkwe ana mawe kidogo, nikamtwangia hewani akanrushia kama laki3 ila kwa...
  13. Grahams

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    Mwishoni mwa Mwaka 2022 nilianza Ujenzi wa nyumba ya Kulala Wageni. Ni Moja ya biashara niliyokuwa naifikiria Kwa muda mrefu. Nilianza Ujenzi Kwa kudunduliza kama ilivyo desturi ya Wajasirimali wengi Nchini. Nilikuwa na akiba ya shilingi 35M wakati naanza, ambapo nilianza Kwa kununua Kiwanja...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa uliofanyika 3 - 4 January 2024

    Mkutano huu ulihudhuriwa na watu wengi maarufu nchini. Leo nitaweka mrejesho wa kile kilichozungumzwa, watu waliohudhuria na impact ya mkutano huo katika demokrasia ya hapa nchini. Tutaanza kwa kuongelea 4R jinsi zilivyoongelewa na wachangiaji mbalimbali katika mkutano huo. Bila kupotenza...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA HQ yaanzisha harambee kuchangia Hanang

    Taarifa iliyosambazwa na Chama hicho kwa vyombo vya habari inawaomba watu wote Duniani wajitokeze kuchangia wahanga wa Hanang, ili angalau waweze kurudi kwenye hali ya kawaida kama walivyokuwa awali, hata kama siyo kwa 100% Maandiko Matakatifu yanaeleza kwamba MKONO WA KUTOA UNA BARAKA NYINGI...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Ni Tanzania au ndiyo tabia za nchi za kiafrika kutopenda kutoa mrejesho wa matukio?

    katika tafiti zangu nimegundua kua chenye upinzani kinanguvu sana sababu hakina cha kupoteza wala kujitetea kwa watu ni kwamba mtu anaweza kutoa taarifa may be whistler blower ambaye anaweza kupata attettion kubwa public ila bahati mbaya sana akishamaliza kutoa taarifa bado hatowi mrejesho wa...
  17. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Njia za kuondoa matangazo kwenye Android

    Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya! Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa...
  18. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kusex na muathrika wa HIV, haya ndiyo majibu baada ya mwezi mmoja

    Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika. https://www.jamiiforums.com/threads/nimeyatimba-nimesex-na-mtu-mwenye-hiv-ni-kipindi-kigumu-sana-maishani-mwangu.2156809/ Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu...
  19. Fundi mahiri wa Ujenzi

    JamiiForums Tanzania MREJESHO: Niliomba ushauri juu ya sehemu sahihi ya kutoa fungu la kumi

    Baada ya kuomba ushauri hapa jukwaani, watu walichangia kwa hekima, kuna waliosisitiza nikatoe mahala ninapoabudu pia kuna walionishauri nikatoe kwa watu wenye uhitaji. Pia kunawaliosema nikatoe ninapoabudu halafu pia nikatoe kwa wahitaji. WOTE MLIOCHANGIA, NAWASHUKURU SANA. Mm na mke wangu...
  20. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali ya CCM huwa haileti mrejesho juu ya tuhuma mbalimbali licha ya kusema wanafutilia

    CCM naona huwa wanatoa matamko tu ili jambo lipite. Waanajua watz ni watu wasahaulifu sana na hawafuatilii mambo. Mfano. 1. Tume za waziri mkuu kubusu kuungua masoko. 2. Tume za waziri mkuu uoigaji wa pesa za umma. 3. Madini ya ruby Dubai. 4. Nyara za serikali nchini Australia kutoka...
Back
Top Bottom