mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kujiunga UTT Amis na Changamoto za UTT AMIS mobile App

    Habari za muda huu wakuu, Baada ya kupitia discussion nyingi kuhusu UTT AMIS then nikaamua kujiunga na hii taasisi ya kwa nia ya kukuza/kuchanga mtaji kwani nimeona ni sehemu nzuri itakayoniwezesha kutunza walau kila pesa ndogo nayopata( kuanzia elfu kumi) Kwa muda wa miezi miwili sasa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia

    Napenda kuwashukuru wote mlionisaidia kwenye changamoto yangu niliopitia nilienda hospitali nikapata tiba nilisafishwa uchafu wote na sasa naendelea vizuri haswa mazoezi nafanya vizuriii humu kuna watu wema sana nashindwa kuwalipa kwa mtu yeyote alietoa msaada wake kunisaidia ila naamin mungu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: majibu ya vipimo mgonjwa wangu wa sukari

    Habar wakuu nawaletea mrejesho wa majibu ya mgonjwa wangu wa sukari..awali ya yote hivi sasa mgonjwa yupo mnh,amepimwa kwanza amekutwa na damu 6.5 wamemuongezea chupa moja ya damu..ila pia sukari yake Bado inasoma 13.5-16 akiwa amekula au hajala,haya nimajibu ya hospital nlipokua awali ...toeni...
  4. Naju23

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wazee wenzangu wa 50+

    Kwanza mimi ni mzee wa 51. Sioni dalili yoyote wanaoyopitia wenzangu wa 40s na 50s Jambo moja tu ni hamu ya tendo imepotea japo kikiwaka minawaka kweli kweli mpaka mwanamke anaomba maji. Wenzangu hali ikoje? Magonjwa kama Pressure Sukari Kuishiwa nguvu za kiume Kanza tezi dume Nk Ni...
  5. nzalendo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Wazee wenzangu wa 60+

    Sabah al kheir, Naam, ni kuhusu yule mtu mzima mwenzangu ambaye nilimuomba ushauri. Wengi wenu mliniambia nijitose. Basi, nikampa maneno matamu ya kiutu uzima... lakini hakukubali wala hakukataa, akapiga kimya. Zikapita siku kadhaa nikiwa naendelea kutafakari, huku nikiwa na hofu. Wasiwasi...
  6. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa huu ugonjwa wa PE

    Habari wakuu Niliwahi kupost uzi tofaut tofaut kuhusu huu ugonjwa ambao kwa mujib wa wanaJF ni PE na nimetumia dawa na ushauri tofauti tofauti kutoka kwa JF experties Nini cha kuongezea hapa nilipofikia maana kuna ngozi laini sana inabanduka
  7. U

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa biashara yangu; Jamiiforum ishukuriwe sana

    Nilipost biashara yangu ya Pub humu ambayo ipo kinyerezi mahakamani road inayoitwa Runway Pub. Hakika muitikio ni mzuri sana tofauti na mitandao mingine kama insta. Wana JF wengi humu wananisapoti vizuri sana . Watu kuacha 30,50 kawaida sana wengine mpaka laki huko hakika inanipa nguvu sana ...
  8. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho wa maamuzi yangu binafsi

    Baada ya kuleta uzi ambao nilieleza ya moyoni na wengi walipiga mawe, wengine wali nifananisha na baadhi ya watu humu japo kuwa mimi hata kwaa id nyingine sijawahi kujibu au kueleza chochote au kujifananisha na chochote kuhusu swala langu (Nipo kimya sana humu na comment fupi au kulike tu most...
  9. didy muhenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Aliyeniambukiza UTI ameniambia kuwa naye anaumwa

    Wakuu yule msichana alieniambukiza UTI sugu kanicheki kasema na yeye anaumwa ila hataki kwenda hospital. Mimi nimevunga sijamwambia kwamba ana UTI sugu😅😅. Tumieni Kinga wakuu!!!!
  10. lufungulo k

    JamiiForums Tanzania TCRA nahitaji Mrejesho

    Nimekuwa mara nyingi nikitumiwa ujumbe wa WIZI na ULAGHAI kupitia simu yangu ya mkononi. Kutokana na kero hii TCRA wameweka utaratibu wa kureport kadhia hii kupitia no 1540 na wanajibu kwa sms muda huo huo. Wanakiri kupokea taarifa yako na kuahidi KUISHUGHULIKIA . Ombi langu kwako warudishe...
  11. Zee la madawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho! Nilimpa mwanaume mtaji akaniacha na kwenda kuoa mwanamke mwingine

    MREJESHO; NILIMPA MWANAUME MTAJI AKANAICHA NA KWENDA KUOA MWANAMKE MWINGINE! Kila kitu kilikua kizuri, tulipanga kuhusu kuoana. Wakati namaliza chuo nilikua na pesa yangu kama milioni tatu hivi, hizi ni pesa ambazo Baba yangu aliniwekea kwenye akaunti tangu nasoma, alipofariki basi sikuzitumia...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kutafuta kazi

    Habari za siku kadhaa ndugu zangu. Narudi tena kwenu wakuu. Week kadhaa zilizopita nilileta bandiko la kutafuta kazi hapa, sipendi nieleze tena mapito yangu ila nataka kusema tu bado kwa upande wangu giza ni kubwa sioni mwangaza Nimejaribu haya kwa upande wangu 1. Nimejaribu viwandani...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho nimetoka mloganzila Sina ugonjwa wowote

    Wakuu nawapa mrejesho wa shida zangu baada Jana usiku kichwa kuuma sana katikati ya utosi...nkaenda pima dispensary nkaambiwa nna UTI25 na hypoid Leo nkaamkia mloganzila kwenye clinic yangu ya siku zote ya ugonjwa nao umwa wa tezi ..baadae nkaenda muona physician akaniandikia...
  14. Paul dybala

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho

    Habari ya jumamosi wakuu... Hongereni na weekend, moja kwa moja napenda kuwaletea mrejesho wa kile nilichokiamua baada ya kuleta uzi wa kuomba ushauri ni kwa namna gani nimkabiri manzi wangu ambae hanipi tunda. Sasa kwa mujibu wa wachangiaji nilipokea ushauri wa aina mbili.. wa kwanza ni ule...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania JamiiForums tunaomba mtupe mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza

    Kama kichwa kinavyojieleza, JF naomba mtupatie mrejesho wa zile nafasi za kazi mlizotangaza. Natanguliza shukrani.
  17. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Naenda bariadi kusomea degree ya uchawi wenye faida nitaleta mrejesho mwaka 2026 mwezi wa kwanza

    Natarajia kuhamishia shughuli zangu za kiuchumi mjini bariadi. Hii ni fursa kwangu kupata elimu adimu ya mambo ya kiroho pia ni sehemu ya utafiti wangu binafsi Nitaleta mrejesho.
  18. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Unanuka Kwapa? Hakiya Mungu tena hii dawa itakutibu 100% Kesho nipe mrejesho

    Oga vizuri, jikaushe maji chukua limao ulikate then ujipake makwapani, aloo hata ukishinda na mishe za juani hutasikia hata tone la harufu. Usiku pia ukisharudi kwenye mishe zako oga, paka tena kidogo, uendelee na shughuli za usiku. Kesho niletee mrejesho, sitaki hata 100. Mchango wako ni...
  19. Paul dybala

    JamiiForums Tanzania Nikikojoa mkojo unauma mwishoni na uume unatoa vitu vya njano. Nitumie dawa gani?

    Wakuu naombeni msaada nikikojoa au mkojo wa mwisho unauma halafu nikiminya uume kuna vitu vinatoka vina kama rangi ya njano. Kuna kitu nilifanya ijumaa
  20. mjenziwakale

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania MREJESHO: Nahisi nimeharibu ndoa yangu na sitarajii kama amani itakuwepo tena nyumbani kwangu. Simu imeniumbua!

    Wakuu , nipende kuchukua nafasi hii kuwashukuru wote walionitia moyo kwa kunishauri katika changamoto hii niliyopitia nawashukuru wale wote pia mlionipondea na kunilaumu. Kwa kweli niseme hili suala lilikuwa limepangwa na mungu litokee maana limetumika kama turning point katika maisha yangu...
Back
Top Bottom