Habari Wana JF siku tatu nyuma nilileta thread ya kulala na muathirika.
Watu wengi walinishauri nikapime na wengine walinishauri nianze kuchimba kaburi,
Kwa siku ya Juzi nilifanya dhiara kwenye mochwar Moja na kupata mafunzo ya vitendo jinsi yakumuosha maiti na kumvalisha sanda lengo...
Mzuka wana Jamvi ?
Miezi kadhaa ilikuwa ukichungulia Jf na mitandao mingine Keyboard warriors kusema wameupiga mwingi sana kwa upande wa Kushambulia kupitia keyboard hatuwadai wameuwasha moto kisawasawa mpaka ikawa unadhani kama hawa ni Makamanda na nchi itaenda kukombolewa Tarehe 29 kama...
Wakuu miezi kadhaa iliyopita nilitoa uzi wa kuzungumzia hii biashala ya pombe kali lakini changamoto ilikuwa capital.
Nikaomba kama kuna MTU anaweza tukaungana tukatengeneza kitu kikubwa lakini bado hakutokea.
Leo nimewaletea sample kuwaonesha hatua niliyofikia hivyo tayari nina jina, lable...
Habarini ndugu ?
Ninawashirikisha baadhi ya harakati nilizofanya katika kutafuta kuandikishwa na kuwa askari JWTZ.
Ni ndoto yangu tangu nikiwa mdogo kiumri kuwa askari wa JWTZ hususa ni kuwa komandoo. Baada ya kuhitimu kidato cha nne nilitaka kwenda jeshini wazazi wangu wakanikatalia wakasema...
Wakuu,
FBI wameashaanza kutoa clue huko kuhusu nani alihusika na kumpiga risasi Charlie Kirk.
Kwenye briefing yao wamesema kwamba aliyehusika kwenye unyama huo wameshamfahamu lakini details kuwa yeye ni nani hawatazitoa sasa hivi
Wamesema umri wake ni kama wa mwanachuo na bunduki...
Habarini wakuu
Husika na kichwa cha habari hapo juu hiyo thread naimani wengi mna ikumbuka.
Guys hiyo siyo chai kwanza sina hizo tabia za kuleta vitu vya uongo watu wapoteze nguvu zao kunishauri.
Nilivyoleta hiyo thread wengi mlinishauri kwa namna mlivyoona inafaa kwa namna mimi nilivyokuwa...
Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
Hi guys..
Hope mko poa na Mambo yenu yanaenda vizuri, Kwa ambao mko na changamoto Allah awafanyie wepesi insha'Allah kila kitu kitakua sawa
Nimeleta Mrejesho wa Thread
'Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo' Ila kuna namna Wanaume mnapenda sana matatizo
Juzi watu wamesherehekea Send...
Habari JF
Naomba mtafute ile post tulituma kupitia jukwaa la malalamiko / fichua uovu
Hatimaye tunawashukuru DAWASA wameanza mchakato wa huduma ya maji Kibaha-Pangani
Pia soma ~ Mradi wa Maji Kibaha-Pangani wenye thamani ya Tsh. Bilioni 9.8. uliosainiwa Mwaka 2023 waanza kutekelezwa
Kusali au kuswali ni kuzungumza na Mungu.
Mazungumzo huwa ni ya pande mbili. Kwa bahati mbaya dini zimewafundisha watu kuongea na kupiga kelele kisha kuondoka. Hayo maombi yanakosa uhalisia wa mazungumzo.
Baada ya kuomba tulia kidogo sikilizia kama utapokea maelekezo au maagizo yoyote kupitia...
Asanteni sana wadau wa jukwaa hili, jana niliomba ushauri kuhusu gari la kuanzia maisha dogo dogo aina ya Toyota.
Kuna mdau alinipa option zaidi ya 5 kuhusu gari hizi
IST
ALLEX
RUNX
PREMIO
PASSO
Nilipenda jinsi RUNX na ALLEX zilivyo na muundo mzuri na kapo safi, baada ya kutoka kanisani...
Mnada wa kampuni inayoitwa KC GLOBAL unaoendelea pale Bunju mianzini jamaa anajinadi anauza tv 43 inch smart laki tatu na 55 inch laki tano laptop laki moja monitor 24 inch elfu 50 nimefika pale kwa lengo la kununua monitor 24 inch lakini zilikua zimeisha zimabaki za inch 17 bei yake ni elfu 30...
Jana nilikuwa safarini kuja Dar na bahati mbaya mwenyeji wangu niliyekusudia kunipokea simu yake haikupatikana
Kwa kuwa mimi siyo mwenyeji saaana,kupitia hapa jf niliomba kupata msaada wa mtu kujitokeza anipokee maana ningefika usiku sana
Hata hivyo nashukuru sana kwa wenyeji kujitokeza kwenye...
Habari ya siku ya leo wana Jamvi natumai wote ni wazima wa afya..kwa upande wangu sipo vizuri sanaa nipo kitandani siku ya 3 sasa afya kidgo changamoto,katika haya maisha ukiwa na afya njema basi wewe ni Tajiri sana hivyo tujifunze kushukuru,basi twende moja kwa moja kwenye lengo..mwaka 2021 na...
Natumai wote mko salama.
Napenda kushiriki kwa uchungu na tahadhari kuhusu tukio lililonikumba hivi karibuni kupitia jukwaa hili. Niliingia mawasiliano na mmoja wa wanachama humu ambaye aliniahidi kutuma game pamoja na simu Tulizungumza kwa muda, akanivuta kwa uaminifu na hatimaye nikatuma...
Wanandoa mliofanikisha kupitia forum hii msitufanyie hivyo bana, tupeni mrejesho nasisi wengine tuchague wenyewe bila shurti kama tunazika au tunasafirisha
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.
Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila...
Mkurugenzi wa Rasilimali Watu na Utawala wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Moshi Jonathan Kabengwe, amesema majina ya Waombaji wa ajira 1,596 zilizotangazwa na TRA hivi karibuni yatatangazwa rasmi kesho March 22 2025 kupitia tovuti ya TRA (www.tra.go.tz) kwa ajili ya usaili wa kuandika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.