neno ni upanga
Senior Member
- Jun 28, 2022
- 189
- 725
Habari wakuu! Kwenye simu yangu nilikuwa na shida ya matangazo kila sekunde 30 tangazo, kibaya zaidi nikiwasha tu data, matangazo yanaanza kujitokeza! Hii simu nilinunua kwa mtu nahisi aliuza kwasababu ya matangazo haya!
Nilikuwa nimetafuta kila njia ya kuuondoa lakini imeshindikana, ilikuwa imekuwa kero kwangu, lakini Leo katika pitapita zangu humu nimeona kuna mtu kapost namna ya kuondoa pop -up na adds kwenye simu, nimeapply nimefanikiwa kwa asilimia 100% huyu jamaa ni hatari sana, ametusaidia sana, namshukuru sana!
Procedure ni hizi
1: India kwenye setting
2: search neno private DNS
3:choose the optional private Dns provider host name
4: ingiza neno " dns.adguard.com
5: save
Ukimaliza hizo procedure ndo basi tena