Mrejesho juu ya uzi wangu wa kutafuta mchumba (mke) niliowahi post

Masaki road

Member
Jul 16, 2020
35
62
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni.

Tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo bariadi kijini yupo tayari kuolewa kaniambia niende huko wapate kunijua na kuelewana mahali na wazee wake, Leo cheupe mtoto wa kizigua kanicheki naye kachoka na useja kalielewa bandiko langu kanipm. Kwa kuwaangalia wote kwa sura ni wazuri na nimeridhika nao wote .

Naombeni ushauri wa kujua abc za hawa watoto kimaadili na mila za kila mmoja nipate kumpa mwingine go ahead nisimchoshe bure ili nichukue mmoja, mimi ni mnyakyusa kutoka Mbeya.

Natanguliza shukrani zangu kwa michango ya mawazo yenu..
 
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni.tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo bariadi kijini yupo tayari kuolewa kaniambia niende uko wapate kunijua na kuelewana mahali na wazee wake,, Leo cheupe mtoto wa kizigua kanicheki naye kachoka na useja kalielewa bandiko langu kanipm .kwa kuwaangalia wote kwa sura ni wazuri na nmeridhika nao wote . Naombeni ushauri wa kujua abc za hawa watoto kimaadili na mila za kila mmoja nipate kumpa mwingine go ahead nisimchoshe bure ili nichukue mmoja,,mimi ni mnyakyusa kutoka mbeya

Kesi kwetu Tena tusaidie kuamua mwisho majuto
 
Mzigua hutamuweza chagua msukuma mtaenda sawa, mzigua hutaweza kudumu nae wewe wala ndugu zako na si kwa ubaya ila tamaduni zenu ni mbingu na ardhi
 
Wakiusanukia uzi basi i
Mambo gan hayo na humu watu wanamiliki hadi ID 10

Watoto wa Mbeya au wakinga wote hawakufai mpaka uende kote huko,shida tunaangalia sura lakini mpango wote ni akili kichwani.Mke bora ataleta DNA nzuri.Ukichukua kitu mbafu basi Tena.
Tatizo nipo mbali na home bro kurudi rudi ni ngumu kule
 
Ni mwezi sasa umepita wakurungwa toka nimepost nasaka wife material ili niachane na usemi wa wahuni, wazembe, watoto wa kulelewa na mishangazi unaosema"KATAA NDOA " NDOA NI UTUMWA"NAONA dalili za kuukimbia ziko ukingoni.tarehe 2/09/2023 alinicheki mtot wa kisukuma tukapata kuzungumza yupo bariadi kijini yupo tayari kuolewa kaniambia niende uko wapate kunijua na kuelewana mahali na wazee wake,, Leo cheupe mtoto wa kizigua kanicheki naye kachoka na useja kalielewa bandiko langu kanipm .kwa kuwaangalia wote kwa sura ni wazuri na nmeridhika nao wote . Naombeni ushauri wa kujua abc za hawa watoto kimaadili na mila za kila mmoja nipate kumpa mwingine go ahead nisimchoshe bure ili nichukue mmoja,,mimi ni mnyakyusa kutoka mbeya
Natanguliza shukrani zangu kwa michango ya mawazo yenu..
Wachunguze wote kwanza, kwakuwa ni WA mikoa tofauti hawatajuana.

Chunguza ukoo wao kupitia majirani zao wa kijijini, ukisikia hawana matatizo ya ushirikina, anzisha mahusiano na wote , wachunguze tabia sasa, then muoe atakayekupenda sana.
 
Back
Top Bottom