mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Yeyote anayemjua mtaalam anayeweza kumrejesha ndugu yetu aliyefariki kifo cha kutatanisha

    Habari wakuu! Heshima kwenu wana jukwaa mliojaa maarifa na utambuzi wa mambo.
  2. tecknologia23

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa yule jirani

    Mliniambia huyu jirani hanitaki oh najikomba Jana kaja basi katoa namba mwenyewe nakujitambulisha . Mie naitwa jj naomba kampani Yako nilikuwa sijaweza kukuongelesha Kwa sababu sijakuzoea mie nimeamua kujilipua tu nakupenda . Japo nimeona ila mke yupo mbali ila naomba kampani Yako . Please...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wangu nikiwa kama mtumiaji wa tigo post paid Internet, The juice i get is worth the squeeze from my wallet

    Nipo natumia huduma hii tangu mwaka jana na msukumo wa kuja huku ilikuwa ni baada ya mitandao kupandisha bei za mabando, nadhani wote mnakumbuka mabando yalikuwa bei chee ila kuna wabongo hawakutosheka wakaanza kuyabipu makampuni ya simu kwamba vifurushi visiwe vina expire, Mb ni chache, n.k...
  4. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Ni baada ya kupatiwa matibabu dhidi ya ugonjwa ulionikumba ghafla hadi kupelekea kulazwa hospitalini kwa siku mbili(2)

    Habari Wanajamii... Ninatumai wote ni wazima wa afya kabisa pasina shaka, Mimi pia ni mzima na buheri wa afya kwa wastani wake. Kwa sababu bado naendelea na dawa kadhaa ili kuurudishia mwili afya tena kama ilivyokuwa hapo awali. Naomba nianze na shukrani zangu za dhati kwenu wanajamii wenzangu...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Kasimu Majaliwa tumechoka na kamati zako.Sasa utupe mrejesho wa kamati zote ulizounda kabla ya kamati mpya.

    Kesho ikitokea familia moja wamemeza mashoka na kulazwa utaunda kamati. Hatupingi kuundwa kamati ila tunataka majibu ya wazi kama ulivyotangaza kwa uwazi kuwa unaunda kamati kuchunguza jambo. Tupe majibu ya kamati zote ulizounda.
  6. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimenyimwa kukopeshwa mkate wa buku nikanywe chai na familia yangu

    Toka aninyime kunikopesha mkate naamini kila aliponiona alikosa amani moyoni, maana kusema ukweli alikuwa hana sababu ya msingi kuninyima mkate niipelekee familia ikale, kwasababu hiyo mimi nilitaka tu kumuonyesha kwamba mimi sipo hivo anavo nidhania, Niliendelea kwenda dukani kwake tena ikawa...
  7. Jooho

    JamiiForums Tanzania Nimwache au nilee mimba

    !
  8. F

    JamiiForums Tanzania Serikali itupe mrejesho kuhusu wizi wa vifaa vya milioni 500 Hospitali ya Wilaya ya Bunda

    Hili ni suala nyeti mno. Vifaa vya milioni 500 kuibiwa huku serikali ikiwa kimya haipendezi hata kidogo. Wiki tatu sasa zimepita lakini tukio hili kama vile limesahaulika. Watu wanaiba dawa wakaona haitoshi, wameamua kuiba vifaa. Kifuatacho ni kunyofoa mabati, mbao na milango ya Hospitali za...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tulioambiwa Marburg, nchini hakuna taarifa mpya?

    Magonjwa yanayoangukia kwenye 'haemorrhagic fever" huwa siyo ya kupuuza, labda tu huko ambako watu hujifungua mawe. "Huko hata ule mwingine kutokea pande za Wuhan, uliwahi kuitwa kaupepo." Kwenye haemorrhagic fever kama iliyotupiga, siku 21 zinazobeba matumaini ya kuondokana na magonjwa hayo...
  10. mfate42

    JamiiForums Tanzania Mrejesho Yule binti wa kazi nimeshamrudisha kwao..

    Habari wana jamvi,..baada ya kutoa ya moyoni kuhusu Yule binti wa kazi ambae nilikuja kuthibitisha kuwa Ni miathirika wa ugonjwa huu unaosumbua dunia...nimesoma comments zenu ambazo zilikuwa na maoni mengi Ambayo yamenisaidia Sana katika kufanya maamuzi ,..binti nimemrudisha kwao japo hakujua...
  11. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu kupima DNA za watoto wangu

    Miezi kadhaa imepita niliandika uzi humu nikasema nitaenda kupima DNA watoto wangu. Nilipatiwa muongozo kwenye ule uzi na baadhi ya wanasheria/mawakili waliomo humu ikabidi kumjulisha wakili wangu akasema inawezekana na ni rahisi sana. Nashukuru nimekuta mabao yote ni yangu, I felt like Messi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Makakala nakupa mrejesho kwamba, matumizi ya Madaftari kuhudumia wageni mipakani Karne hii nikufeli kwa wanaokusaidia. Fungeni mifumo mipakani

    Last time nilisema Tarakea na Manyovu wanatumia Madaftari kutoa huduma za kuingia na kutoka nchini nikashauri wafanye marekebisho vituo hivi vifanye kazi kama vituo vingine kuleta hadhi Kwa wanaovuka mpaka. Naomba kumkumbusha Dkt. Makakala kwamba bado Hali hii ipo vile vile pamoja na ushauri...
  13. Desierto

    JamiiForums Tanzania Maana ya ndoto ya kutembea uchi mbele za watu, mrejesho

    Kwanza kabisa niwashukuru wana jamiiforms kwa kunifumbulia maana ya ndoto hii, ukweli upo hivi, toka nianze maisha na make wangu sijawahi chepuka nje na mke wangu ni miaka miwili sasa imepita, na watu wengi mpaka ndani ya familia yangu wananisifiaga kuwa Mimi ni mtu wa pekee sana kwani sipo kama...
  14. D Metakelfin

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu vijana nane niliowasaidia

    Wale vijana niliowasaidia kwa kuwapeleka site wakaungane na mafundi wangu(japo hawana ujuzi wa ufundi) Baada ya kutangaza kwamba vijana wasio na ujuzi ila wanahitaji walau kutoboa kimaisha kwa kujifunza ujuzi wowote niliwachagua hawa nane kwa sababu zangu flani na usiriaz walioonyesha Vijana...
  15. Poker

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa kumuona mwenza wako kwenye kioo!

    Habari za wanga! Muda ni 1:00 usiku wa manane, mbalamwezi na nyota zinaonekana vizuri kabisa. Nimeamua kuzima kabisa main switch, ili kuwe na giza totoro. Nimechukua mahitaji yangu ambayo niliambiwa lazima uwe nayo, yaani kichana, tufani na kioo. Mimi nikaongeza mishumaa, uwaridi nyekundu na...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania 5G technology: Vodacom Vs Tigo; Tupeane mrejesho nani katisha sana kwenye 'Superspeed' kati ya mitandao hii

    Vodacom na Tigo mitandao yote hii inajisifu kwa kuongoza kuwa na kasi kubwa ya internet 5G. Kwa baadhi ya maeneo nchini na baadhi ya watu wamekwisha jaribu kuona Je! Yaliyomo yamo? Tupe ripoti yako tafadhali.
  17. Nucky Thompson

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Vodacom wamefungia line yangu yenye milioni 10 M pesa

    Wakuu habari, juzi nilileta uzi kuhusu line yangu kufungiwa Kabla ya yote kwanza niwajibu waliokuwa wakilaumu au kushangaa mtu kuweka milioni 10 kwenye M pesa wakisema benki ndio salama Benki unaweza kuweka na hela zako zikipotea vilevile, kama mnakumbuka kuna benki kama 3 zilifungwa kipindi...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa pili

    Karibu mwezi na kitu baada ya mke wangu kuwa na homework ya kutafakari umiliki wa nyumba niliyojenga kwenye kiwanja chake sasa amefunguka na kusema atapendelea tuandike Majina yetu wote (Mimi na yeye) kwenye umiliki wa hii nyumba. Hata Mimi nimejipa muda wa kutafakari kwanza
  19. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Ni fitina za kibiashara au ukosefu wa ubora? Kwanini gari la Masoud Kipanya mpaka leo hakuna mrejesho?

    Nimeona niulize maana ukimya umekuwa mkubwa sana sana, si Masoud mwenyewe au serikali iliyodai inaenda kuifanyia uchunguzi iliyokuja na kutoa mrejesho tuambieni kama haifai tujue mmeifukia wapi tukatafute vyuma chakavu sie.
  20. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nilijiapiza mjini nitarudi kutembea tu, lakini hapa nimelalia maboksi baada ya kuungua na maisha ya kijijini

    Ilikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini...
Back
Top Bottom