Aramun
Senior Member
- Nov 8, 2023
- 165
- 745
Nilileta uzi huu last month nikiwa kwenye lindi kubwa la mawazo baada ya kusex na mwanamke aliyeathirika.
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu.
Nimeyatimba: Nimesex na mtu mwenye HIV, ni kipindi kigumu sana maishani mwangu
Ni single mother mmoja ambaye tulikuwa tunawasiliana naye kwa muda kidogo. Tulishaingiza issues za kusex siku nyingi tuu sema kwenye kukutana ni kama kuna kakitu kanatuzuia. Siku kadhaa zilizopita siku ikatimia tukaonana na kufanya yetu ya kikubwa. Tulikuwa tumejiandaa kabisa kwamba tutacheki...
www.jamiiforums.com
Sasa baada ya mwezi mzima wa kutumia PEP, haya ndiyo majibu.
Japo wanashauri upime siku 28 baada ya kumaliza PEP ila uvumilivu umenishinda nimeamua nicheki tuu, baada ya siku 28 zingine nitacheki tena.
Kama nilivyosema lengo la kuleta huu mkasa ni kuwapa fundisho watu kwamba UKIMWI upo na unaua, na mara nyingi watu wanaambukizwa kutoka kwa wale wanaowaamini sana kama ilivyonitokea mimi.
Jambo moja ambalo nimepata funzo baada ya huu mkasa ni hili: Maisha baada ya kuwa muathirika yatakuwaje?.
Hilo jambo ndilo ambalo huwa linatesa sana kuliko hata UKIMWI wenyewe. Imagine kama ulikuwa umeoa au kuolewa, stress ya kwanza kukupata ni je mwenzio itakuwaje? Umuambie ama usimuambie? Je usipomuambia na ukamuambukiza itakuwaje? Ukimuambia then akasema muachane itakuwaje?
Kama una watoto utaanza kuwawaza wanao maisha yao baada ya hapo yatakuwaje? Ukianza kuumwa na angali bado wadogo utawaweka katika situation gani? Au ukifa utawaacha wakiwa wameshasimama kimaisha au laah?
Kama ulikuwa hujaoa au kuolewa itakuwaje? Ina maana ndiyo mpango wa kuzaa umeishia hapo? Na kama ukampata mwenza ambaye wote mmeathirika mkaamua kuzaa huyo mtoto akizaliwa ameambukizwa itakuwaje? Si mnazidi kujiongezea mzigo na nafsi zitakuwa zinawasuta maana ni kama mmemleta huyo mtoto aje kuteseka tuu duniani?
Hivyo kinachotesa siyo UKIMWI wenyewe, ni mawazo ya maisha baada ya kuathirika yatakuwaje maana mambo mengi ya kijamii yanaparanganyika. Kama ulikuwa na watoto tayari inaweza isikupe stress sana, ila kama bado huna watoto amini usiamini itakutesa sana sana..
Hivyo ndugu zangu tuchukue tahadhari kabla ya hatari, usiruhusu nyege zikuendeshe kwani mwisho wa siku majuto ndiyo yatakayofuatia..