mrejesho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Waliotumia M-Gas au huduma kama hiyo walete mrejesho

    Habari wakuu, Kuna hawa jamaa wa M-gas wanakopesha gesi kwa elf 30 tu kisha unakuwa unajinunulia gesi kwa matumizi yako. Wanasema hata ukiwa na buku tu unapata gesi. Waliotumia tunaomba kujua faida na changamoto zake. Mfano, hiyo gesi ya buku unaweza kufanyia chochote? Je, unaweza kununua hata...
  2. Marry Mdaki

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wapo tayari endapo tu wataelimishwa na kupewa mrejesho thabiti kutoka kwa mamlaka husika

    Utangulizi Utayari ni hali ya kuafiki au kukubali jambo fulani. Hivi sasa kumekuwa na mikanganyiko ya aina mbalimbali baina ya nchi na watu wake, huku ikionekana kuwapo kwa upinzani kutoka kwa wananchi juu ya masuala mbalimbali yahusuyo uendeshaji wa nchi kwa ujumla. Mpaka sasa ni dhahiri kuwa...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye mrejesho kuhusu dawa za kupunguza uzito

    Nina uzito wa kilo 84 nataka nipunguze angalau zibaki 70! Nina kitambi kama mfuko kiasi cha kupata shida sana wakati wa kuvaa soksi! Njia ya mazoezi nimejaribu imenishinda! Naambiwa kuna dawa za mitishamba zinauzwa huko ukinywa unahalisha mafuta kitambi na uzito unapungua! Naomba kama kuna...
  4. Ryder2

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimeshindwa kuziacha beta blocker ila nimefanikiwa kupima tena upya vipimo vya ECHO na ECG

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kwa kifupi nimekua nikitumia beta blocker kwa takriban inaelekea kufika miezi 8 hivi na baada ya muda kidogo kuringana na ushauri wa doctor kwa kuniambia niache kutumia hizi dawa beta blocker (NEBIVOLOL 5MG TAB), hivyo nikaona sio mbaya kuziacha nikajaribu...
  5. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa tangazo la kuhitaji vijana wa kazi nimeamini vijana wengi waliopo JF hawajui umuhimu wa Jamii Forums

    Nikili yakuwa lile tangazo nililoliweka jukwaa ili limenipatia picha Kamili ya vijana waliomo humu wengi yakuwa hawajui maana ya matumizi ya mitandao. Nitaeleza vyema naomba mnielewe na msome andiko hili na mwelewe vyema sio Kila mtu anae weka tangazo humu anakuwa anataka akuchunguze na kukujua...
  6. Peramiho yetu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tume zilizoundwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa hazina mrejesho?

    Leo nimejikuta nakumbuka mambo mbalaimbali tuliyopitia Kama taifa kwa nyakat tofauti ambayo yalizua simanzi na taharuki lakini yakapita hivihvi bila kupewa mrejesho ingawa wahusika hukaa mbele ya vyombo vya habari kwa mbwembwe kuwa watatoa ripoti ndan ya siku kadhaa lakn hugeuka hekaya tupu...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mrejesho wa usahili wa TANROADS Songea kitengo cha mizani

    Habari wakuu samahani nilikua nauliza kuna mtu yeyote aliyepigiwa simu baada kufanya oral interview ya tar 18/5 mwaka huu
  8. Saad30

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho kuhusu mwanamke muuza bar South Africa 🇿🇦

    Salamu wakuu.. Juzi siku ya jumapili nilisema wacha nitoke niende zangu club nikapate beer 🍺 kadhaa ila sjaenda club anayofanya demu ambaye nilikuwa natoka nae. Wiki iliyopita alienda kwao KZN (Durban) ila mimi naishi Jozi. Sasa bana kipindi napiga mambo yangu na mizuka imepanda ya akili za...
  9. Rurakha

    JamiiForums Tanzania Mrejesho kwa huduma mpya za uwakala kwa Benki ya NMB kupitia simu ya mkononi maarufu kama (NMB Pesa Fasta)

    Salaam Naomba kutoa maoni yangu kwa huduma mpya ya uwakala wa NMB maarufu kama NMB pesa fasta Binafsi ninafanya biashara ya uwakala nina miliki mashine ya NMB kwa ofisi moja pia nilifungua biashara nyingine ya uwakala kama sehem ya kuongeza mapato knilifanikiwa kupata pos ya CRDB na nyinginezo...
  10. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Nimepita wilaya fulani nimeona mapungufu haya kwenye vibao anuani za makazi...

    Kazi ambayo serikali imechukuwa muda kuiratibu lakini imetendeka ktk kiwango cha chini au kinachostaajabisha. Anuani ya makazi unakuta wilaya nzima vibao vimeandikwa kwa majina ya watu hivi ilishindikana kabisa kufatilia kujuwa jina la mtaa la asili? Au kuna watu walitaka kujitafutia umaarufu...
  11. Bossprota

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Biashara ya Ufundi Simu

    Habari Wadau! Mimi ni kijana mtafutaji wa hali ya chini kwanza niseme jamii forums n8 sehemu iliyonifanya nipate wazo hili ambalo naweza sema lime badilisha maisha yangu kwa kiasi kikubwa! Mnano mwaka jana mwezi wa 9 nilifanikiwa kupata uzi hapa jf wenye ushauri juu ya biashara ya ufundi simu...
  12. kyagata

    JamiiForums Tanzania Mliobahatika kuhudhuria interview za TRA utumishi, tupeni mrejesho

    Vipi jamani, mambo yameendaje huko? Maana kuna jamaa yangu alinikopa nauli ya kwenda huko Dodoma kuhudhuria huo usaili nafasi ya Tax management officer ii, jana nampigia kutaka kujua kama amekwisharudi ila akaniambia yeye ni kama alienda kutalii tu huko Dodoma maana pepa haikumwendea poa...
  13. Surya

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Mwanaume niliyelizwa na mapenzi

    I'm very spiritual man. Kwanza hapo mwanzo bidada yule aliyeutesa moyo wangu nilipo mtamkia kuwa nampenda alinikataa. Lakini kwa kiburi changu na Roho ya kutokukubali kushindwa niliamua Kufanya kuishawishi nafsi ya dada huyo hata akiwa mbali, niliisemesha roho yake na kumwambia maneno mazuri na...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Kigoma tupeane mrejesho. Twatarajia kuja huko.

    Eee batama, mwakeye mwalaye? Vipi mambo ya batabata kumekuchaaa? Kibirizi, Airport, Stand mpya, Manyovu, Kazura mimba, Mwandiga, Bagwe, mulakomeye mwesaaa!!!? Ebu tupeane updates bana, Nina jamaa zangu hawajawahi kufika huko!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Unlimited Internet leteni mrejesho

    Wakuu nahitaji mrejesho kwa wanaowafahamu , hawa wana fiber mjini na nje ya mji au mikoani ni wireless but wanajinasibu wana unlimited yeny bandwith kama posta yao inavyoonyesha au tofauti na hawa nipeni some recomendations
  16. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania MREJESHO KUHUSU YULE BINTI NILIOMBA MSAADA

    Wakuu nilikuja kuomba msaada hapa kuhusu yule binti mwenye jini mahaba eee bwana nilifanikiwa kumtafuna kweli na wala hakupandisha hayo majini yake kitu kilichofanya nihisi alikua ananiigizia japo aliniambia kuna dawa anatumiaga. Utata unakuja anapokomaa mimi ni mwanaume wake wa kwanza kukutana...
  17. mcrounmj

    JamiiForums Tanzania Mrejesho biashara ya madini 'third season'

    Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka. Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu za kibiashara kwenye madini ya Dhahabu nimekuwa na tendency ya kuripoti wapi nimefikia kila baada ya...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Mafunzo nyuma ya mrejesho wa kinachoendelea mahakamani kesi ya CCM dhidi ya wananchi

    Uzi huu, ni maalumu kwa kuandika mafunzo unayoyapata kutokana na kesi namba 16/2020 inayoendeshwa katika mahakama kuu kitengo cha ufisadi na uhujumu uchumi. Ninaomba tukutane hapa kufanya majumuisho ya mafunzo yakini. Kwa upande wangu:- 1. Ninaona kana kwamba polisi wanafanya kazi nzuri wakiwa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kumfuata mwanangu P. Sasa yuko nyumbani pesa zinaanza kujaa

    Jumapili nilileta uzi humu nikieleza jinsi wiki iliyopita nilivyopitia ukame wa mpito wa mambo ya shekeli. Nilisema kuwa hii hali sijaiexperience kwa kipindi kirefu. Nikaenda mbali na kusema kuwa mwanangu P ambaye alifanyika baraka sana katika familia yangu mara alipozaliwa. Ukata...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya isiache ukutoa mrejesho wa chanjo ya Johnson&Johnson

    Tunaomba wizara ifanye yafatayo 1. Itoe ratiba nzuri na itoe orodha ya vituo vya kutolea huduma maeneo ya vijijini. 2. Wizara ituambie J&J iliyoingia nchini inamaliza lini mda wake wa matumizi maana sasa ni mda ila taarifa za kuwa lini chanjo hiyo itamaliza mda wa matumizi haijatolewa. 3...
Back
Top Bottom