mpya

  1. JamiiForums Tanzania Vwawa: Sugu aendelea kuwasha moto wa Katiba mpya Majukwaani

    Tofauti ya Chadema na vyama vingine vya kisiasa ni hii , Yaani huku Chadema mtu yeyote mwanachama akipewa kibali na chama chake anaweza kuitisha Mkutano wa hadhara na akajaza Umati. Kwa mfano, Mimi Erythrocyte naweza kutangaza usiku huu kwamba nitafanya Mkutano wa hadhara Kyela kesho , labda...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kama hakuna Katiba Mpya wala Tume Huru kuna haja ya uchaguzi?

    Habari za humu ndani naamini ninyi ni wazima Mimi nauliza tu Maana kila moja anajua kitu gani kinakwenda kufanywa na ccm. Kwanini isianzishwe mikutano ya kudai mchakato wa katiba na tume ya Uchaguzi nchi nzima Maana mda umeisha sana mwakani ni Uchaguzi wa serikali za mitaa na 2025 uchaguzi...
  3. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la elimu Katiba Mpya, wazee waweka ngumu

  4. JamiiForums Tanzania EWURA yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta leo Septemba 6, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
  5. JamiiForums Tanzania Kupigania Katiba Mpya ni kama kumkamua maziwa ng'ombe mwenye kichaa

    Nikiwa mdogo kijijini kwetu ngulugulu huko wilaya ya ileje Babu yangu alinifundisha namna nzuri ya kumkamua ng'ombe maziwa, nilipewa mbinu kwamba kuna ng'ombe wastaarabu, hauhitaji kumfunga kamba miguu ili umkamue, na kuna ng'ombe lazima umfunge kamba ndipo umkamue, kwa kuwa anaweza kukupiga...
  6. JamiiForums Tanzania Na sisi Wasafirishaji wa abiria na Mizigo tutatangaza nauli mpya

    Kwanza naomba nikiri kwamba mimi ni miongoni mwa wasafirishaji wa mizigo na Abiria ndani na nje ya nchi . Nimetumiwa Private message kwamba kutakuwa na kikao Alhamisi hii cha kujadili ongezeko la Nauli kutokana na kupanda kwa gharama za mafuta . Nitawajulisha kitakachojili . Usiku mwema .
  7. JamiiForums Tanzania Jenerali Brice Nguema: Viongozi wakiwaumiza Wananchi, Jeshi linapaswa kuwarudisia Uhuru na Utu wao

    Jenerali Brice Nguema ambaye ni kati ya Wanajeshi waliohusika katika kumuondoa Madarakani Rais Ali Bongo, ameapishwa kuwa Rais mpya huku akiweka ahadi za kurekebisha Sheria za Uchaguzi, Sheria za Adhabu na Katiba. Nguema amesema uamuzi wa kumuondoa Rais aliyekuwepo ulikuwa muhimu kwa manufaa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  9. F

    JamiiForums Tanzania Mtego kwa Waziri mpya wa Ujenzi kuhusu tenda na mikataba atakayoikuta Wizarani

    Wizara ya Ujenzi ina bajeti kubwa kutokana na miradi yake mingi. Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa ana kazi kubwa mbele kuhusu mikataba na tenda atakazokuta wizarani. Namaanisha zile zenye harufu ya upendeleo au rushwa. Sasa itabidi achague kulindana au kutenda haki Kama mzalendo bila...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

    Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
  11. M

    JamiiForums Tanzania Itawezekana kweli kiongozi mpya wa Gabon General Nguema kupinduliwa

    Mzuka Wanajamvi! Jitu kakamavu, limepanda hewani ana sura ngumu. Isitoshe ni jitu la mazoezi linahudhuria Gym kila siku na kabla ya kunyanyua vyuma linapiga push ep 100 iyo ni kupasha. Kwenye mkono yuko njema. Yuko vizuri kwenye martial anatembeza ngumi balaa. Ni msiri na mkimya sana. Pia ni...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo itakayo fungamanishwa na falsafa za 4R za Rais Samia na katiba mpya, ni matokeo makubwa kesho

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mitihani mipya kwa Waziri mpya wa Nishati kuhusu tenda na mikataba atayoikuta Wizarani

    Nauona mitihani mkubwa kwa waziri Dotto Biteko kuhusu Nishati. Hii Wizara ina upigaji mwingi kwa watu wasio waadilifu ila kwa mwaadilifu wala hakuna shida wizarani. Sasa, Waziri mpya mfano akikuta mirija ya tender na mikataba ya Waziri aliyehamishwa atafanyaje? Kama kuna dalili ya kutokuwepo...
  14. JamiiForums Tanzania Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  15. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania bila Maandamano hakuna Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
  17. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
  18. JamiiForums Tanzania Kikwazo cha Katiba Mpya yenye mfumo wa vyama vingi ni CCM

    Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977. Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM. Kamwe CCM hakiwezi kuleta...
  19. JamiiForums Tanzania Maneno ya Profesa Issa Shivji juu ya Katiba Mpya

    Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji...
  20. JamiiForums Tanzania Wasifu mfupi wa Mkurugenzi Mpya TISS, Ali Idi Siwa

    Balozi mstaafu Ali Siwa amekuwa katika utumishi wa umma tangu mwaka 1977 na kuweza kushika nafasi mbalimbali za uongozi. Kati ya mwaka 2001 mpaka 2014, Balozi Mstaafu Ndugu Siwa alikuwa Afisa Mambo ya Nje, Mkuu katika ofisi ya Ubalozi wa Tanzania Abu Dhabi iliyoko nchi za Umoja wa Falme za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…