Huu wimbo mpya wa Meja Kuta aisee ni moto wa kuotea mbali jamaa anajua sana

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,464
21,194
Kama ushapata bahati ya kuusikiliza huu wimbo mpya wa Meja Kunta utakubaliana na mimi jamaa anajua sana tofauti na waimba singeli ambao badala ya kuimba wanapiga piga kelele tu.

Wimbo ni mzuri sana ,mashairi mazuri melody Kali Yani kwa kifupi hauchoshi kuusikiliza.

Huyu kijana kwa kweli tumpe maua yake tu anajua mpaka anajua tena
 
Naona siku hizi pia mziki wa singeli umepiga sana hatua maana hao ma bodyguard anaotembea nao si mchezo.

Hata kwa Dula pia niliona baadhi ya events anaotembea na ma bodyguard wa kutosha.
 
Back
Top Bottom