mpya

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo tuna mwaka hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Naomba utusaidie kutoa malalamiko yetu Ajira Mpya 2025/2026 katika Halmashauri ya Bunda DC Kada ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi mpaka sasa ni mwaka hatujalipwa hela ya kujikimu.
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Propaganda zote za CCM kwa CHADEMA zimefeli, tuwashauri mbinu mpya na za kisasa

    Walianza kusema Chadema ni chama cha Kichaga cha Kikanda hasa kaskazini, hii propaganda ilikufa ikazikwa. Wakasema chama cha Kikatoliki, hatuwasikii tena. Wakawarubuni baadhi ya viongozi kuanzisha/kuhamia ACT/CHAUMA, kina Zitto, Mwalimu, leo wanatamani kurudi. Wamemtumia msajili wa vyama...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imetoa orodha mpya ya nchi ambazo raia wake wanaweza kuingia nchini humo bila VISA

    Serikali ya Afrika Kusini imefanya maboresho katika sera yake ya msamaha wa visa, ikithibitisha kuwa raia kutoka nchi 22 za Afrika sasa wanaweza kuingia nchini humo bila visa kwa ajili ya utalii, biashara, au ziara fupi. Muda wa kukaa unaoruhusiwa unatofautiana kati ya siku 30 hadi 90, kulingana...
  4. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI WANGU KUHUSU MCHEZAJI MPYA WA AZAM STANIC HENRI

    1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu. 2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14. 3.kacheza dakika 1230. 4.hajafunga bao Wala kutoa pasi ya bao katika ligi msimu ulioisha. Endelea kuwa NAMI mchambuzi wa maswala...
  5. Ramtz Jr

    JamiiForums Tanzania Ni member yupi mpya unaona ana trend sana JF

    Wakuu habarini..? je ni member gani unaona ana trend sana ambae amejiunga mwezi wa 6 kunendelea?
  6. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Nimeangalia video mpya ya Bertin ya Arusha CBD, ni pazuri sana

    Nilikuwa naangalia video mbili za Bertin zinazoonesha maeneo ya Arusha hasa City Centre, kwa kweli ni pazuri sana Kuna very high level ya ustaarabu, ukiangalia unaona kabisa haya ndio mazingira ambayo yanatakiwa kuwepo Tanzania nzima Paved roads, bustani, miti mingi sana, utulivu na usafi wa...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi nani alimshauri Hayati Magufuli ndege za mizigo zikawa mpya wakati wenzetu hugeuza zilizotumika kuwa za mizigo?

    Mungu na shetani ni samehee maana nchi niliyopo nashindwa kuelewa. Baada ya raisi trump kukataa ndege yake na kupewa ile ndenge na qatar kaona kurudia yake ya zamani. Tuje kwenye mada kuhusu mashirika ya ndege na nchi zao. Kuna mashirika makubwa na yenye uwezo mkubwa ila ubadilisha matumizi...
  8. Inside10

    JamiiForums Tanzania Padri Prof. Emmanuel Wabanhu Ateuliwa Kuwa Makamu Mkuu Mpya Wa Chuo Kikuu Cha Mt Agustino Tanzania(SAUT)

    PADRE WABANHU ATEULIWA KUWA MAKAMU MKUU WA CHUO CHA SAUT Rais wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), ambaye pia ni Kansela wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT), na Askofu wa Jimbo Katoliki la Lindi, Mhashamu Wolfgang Pisa, OFMCap, amemteua Padri Profesa Emmanuel...
  9. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania Fursa Mpya UDOM 2026/2027

    UDOM imeongeza Programu 5 mpya za Shahada za Awali: ✅ Bachelor of Science in Medical Laboratory Sciences (BSc-MLS) ✅ Bachelor of Business with Education (BBE) ✅ Bachelor of Counselling Psychology (BCP) ✅ Bachelor of Science in Crop Production and Technology (BSc-CPT) ✅ Bachelor of Science in...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini hatujalipwa Fedha za Kujikimu

    Sisi ajira mpya (2025) Kada ya Ualimu Wilaya Mtwara Vijijini mkoa Mtwara, bado hatujalipwa fedha zetu za kujikimu tukiuliza tunaambiwa jambo lipo kwenye mchakato.
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira mpya wa Feb 2025 - Bumbuli (Tanga) tumelipwa robo ila wale wa Januari 2026 wamelipwa

    Mtumishi ajira mpya ya Februari 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga, tangu tumejiriwa tumepewa pesa robo tu ya kujikimu kila tukiulizia pesa yetu iliyobakia tunaambiwa kwamba serikali haijatoa fungu letu bado, hivyo hata hiyo robo tumepewa kutoka kwenye vyanzo vya ndani vya...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  13. U

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna mchezo mchafu kwenye mfumo mpya wa kusajili madaktari (HPRS)

    Mnamo tarehe 12 nilifanya malipo ya kuhuisha (renew) leseni yangu ya taaluma ili niweze kuendelea kufanya kazi kisheria kupitia mfumo mpya. Nilitengeneza Control Number kupitia mfumo huo na nikafanya malipo kwa kutumia Airtel Money. Malipo yalifanikiwa bila tatizo lolote, kama inavyoonekana...
  14. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: ni heri Tundu Lissu afungwe maisha jela ili tupate Katika Mpya iliyo bora, hata kuandamana kutakuwa sahihi.

    Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania na ile ya Zanzibar zinamapungufu upande wa sifa za wagombea Urais na Ubunge hata Udiwani. Tatizo wao Chadema wanataka Katiba ya KUINGIA IKULU na CCM wanataka Katiba yakuendelea kubaki madarakani nao makapuku wenzangu wao ndio hawajui chochote zaidi ni...
  15. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete Apinga KATIBA Mpya, Apinga kuachiwa kwa Lissu , yote haya ni sababu ya 'Urais' aloandaliwa anaona unapepea peeeee

    Huyu Jamaa Sasa ndio kajionyesha yeye ni Mtu wa Aina gan. Tulidhani labda ni Matumizi tu mabaya ya Nafasi ya Baba yake... Huyu Mtu ana uchu wa Madaraka, Mtu aliyetayari kufanya lolote ili mradi Awe Rais.
  16. F

    JamiiForums Tanzania Hii namna mpya ya kuandamana hapo hapo na kiongozi akiwepo jukwaani inaweza kuleta mapinduzi makubwa kwenye siasa za Tanzania

    Tumeona kwenye tamasha la bongo fleva Mlimani City jinsi ambavyo wahudhuriaji walivyokataa mambo wasiyoyataka. Tumeona naibu waziri wa utamaduni akizomewa kwa kutaka kuingiza siasa kwenye burudani. Pia tumeona hayo hayo yakimtokea Dully Sykes kwa kumtaja tu Makonda. Haya yanatufundisha nini...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya ni MUHIMU, mtoto analawitiwa washitakiwa wanatakiwa kulipa 800,000 kama fidia na kifungo cha maisha?

    Katiba mpya ni MUHIMU sana kwetu, yaani mtoto mmoja mlemavu wa akili amelatiwa na watu wanne wameshikwa na kuhukumiwa kwenda jela maisha na kulipa fidia ya laki 800,000 kwa kila mmoja? Wanaenda jela watalipaje hiyo pesa? Wasipo lipa watafanywaje? JE alielawotiwa bikira itarudi? Watuhumiwa...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero kuhusu ufadhili wa masomo kwa watumishi wa afya kupitia mradi wa Beginning Fund mwaka wa fedha 2026/2027

    Kuna barua inayosambaa kutoka Wizara ya Afya ikionesha uwepo wa ufadhili wa masomo kwa watumishi wenye Diploma kupitia mradi wa Beginning Fund kwa mwaka wa fedha 2026/2027. Cha kusikitisha ni kwamba kwa upande wa wauguzi, ufadhili huo umeelekezwa zaidi kwenye ngazi ya Higher Diploma, ambayo...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Kuinusuru CHADEMA kisiasa, Heche, Lema na Sugu wabanduliwe uongozini ili kukipa chama pumzi na uelekeo mpya kisiasa

    Huu ni ushauri wangu binafsi kitaalamu, kama mwanasiasa mbobevu na muandamizi katika siasa za kitaifa na kimataifa. Licha ya kila moja wao kuwa na mchango wenye historia yake ya kipekee katika kuipambania na kuijenga CHADEMA kisiasa, nadhani ni wakati muafaka sasa vijana hawa hawa machachari...
  20. Yesu Anajibu Songs

    JamiiForums Tanzania Member mpya, package za kutosha za nyimbo

    Ebhana eee! Je, wewe ni mpenzi wa mziki mzuri wa injili? Kama jibu lako kwa swali hapo juu ni ndiyo, Yesu Anajibu Songs tunapenda kukualika uambatane nasi katika mfululizo wa nyimbo zenye ujumbe wa tumaini, faraja na imani katika Yesu Kristo. karibu tuimbe, tuabudu na tumtukuze bwana pamoja...
Back
Top Bottom