ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 59
- 51
#HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassam imeelezwa kuwa Dangote amesema hatua za Serikali katika kutatua changamoto zilizokuwa zikikabili shughuli za Kiwanda cha Saruji cha Dangote, mkoani Mtwara, zimeongeza tija na ufanisi wa uendeshaji, na imani ya kampuni hiyo kwa Tanzania kama eneo muhimu na la kimkakati la uwekezaji barani Afrika.
“Nataka nikushukuru kwa dhati kwa kushughulikia changamoto nyingi za uwekezaji wetu wa Kiwanda cha Saruji Mtwara. Ulipoingia madarakani tulikuwa na changamoto nyingi, lakini kama ulivyoahidi, kila changamoto imeshughulikiwa ipasavyo,” amesema Alhaji Dangote.
Aidha, Alhaji Dangote ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini.
Amesema hatua za Serikali katika kutatua changamoto zilizokuwa zikikabili shughuli za Kiwanda cha Saruji cha Dangote, mkoani Mtwara, zimeongeza tija na ufanisi wa uendeshaji, na imani ya kampuni hiyo kwa Tanzania kama eneo muhimu na la kimkakati la uwekezaji barani Afrika.
“Nataka nikushukuru kwa dhati kwa kushughulikia changamoto nyingi za uwekezaji wetu wa Kiwanda cha Saruji Mtwara. Ulipoingia madarakani tulikuwa na changamoto nyingi, lakini kama ulivyoahidi, kila changamoto imeshughulikiwa ipasavyo,” amesema Alhaji Dangote. #EastAfricaTV