Nimekumbushwa huu wimbo wa Mabepari walia kukatiwa Mirija. Wqlipotangaziwa azimio la Arusha.
Mafisadi wa CCM na Chawa wao ndivyo watalia ikitungwa katiba mpya.
Katiba mpya yaja, Poleni Machawa wote.
Mafisadi na wasioitakia mema Nchi wamejitahidi kupinga katiba Mpya ila imeshidikana sasa ni...
Moja kwa moja kwenye kero yangu:
Nimeona tangazo la EWURA kutangaza kuwa bei ya mafuta ya petroli na dizeli imeshuka kwa sh 96 and 151 kwa mafuta yanayoshushiwa katika bandari ya Dar-es-salaam .
Bei mpya
Petroli: Sh 3,990 kwa lita
Dizeli: Sh 4,182 kwa lita
mpaka sasa sijaelewa kwanini mafuta...
Paul Makonda na Serikali yake Wamefungia Maandamano Tanzania, lakini ajabu ameenda kuandamana Nchi ya watu tena kapewa Ulinzi. Aliandama huku akitabasamu akifurahia kuandamana.
Annatumia mmaandamano kueneza ujumbe kuhusu Kiswahili. Ila ukimwambia tuandamane kuhusu Katiba unaitwa mhani sababu...
katiba
katiba mpya
kisa
kiswahili
kuandamana
maandamano
maandamano ya katiba
makonda
marufuku
mpya
paris
paul makonda
tanzania
tanzania maandamano
ufaransa
Habari za j2 wakuu
Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo
Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
Wafuasi wa Iran walikua wakitubeba ujinga kuwa viongozi wa Iran hawaogopi kufa, kumbe si kweli. Huyu Ayatollah mojtaba kaja kutufunua ukweli kuwa ni waoga sana wa kufa.
Miezi minne sasa ana hofu Hadi na wasaidizi wake huko Iran, hawezi hata kuonekana hadharani sababu ya hofu ya kuuliwa na...
UTEKELEZAJI WA ADA YA UENDELEZAJI WA MIUNDOMBINU YA BANDARI
Jumatano, 01 Julai 2026
DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), inapenda kuujulisha Umma kuwa mnamo tarehe 1 Julai 2026, ada ya Uendelezaji wa Miundombinu ya Bandari (Port Infrustructure Development Fee -PID)...
Habari!
Baada ya kuwa mbali na mtandao kwa muda, nimerudi tena nikiwa na mtazamo mpya wa maisha.
Natafuta mwanamke mwenye heshima, uaminifu, maadili mema na nia ya kujenga uhusiano wa kweli unaoweza kuishia kwenye ndoa. Umri ninaopendelea ni miaka 20 hadi 32.
Ninaamini uhusiano mzuri huanza...
Katika pita pita zangu mtandaoni, nikakutana na kijana anatafuta kazi.
Nikamfanyia usaili kwa njia ya mawasiliano, ikaonekana nikimpachika sehemu fulani itakuwa si mbaya, ili yeye apate nami pia nipate.
Baada ya maongezi mengi, nikamshauri aende akaripoti kituo cha kazi ambacho kipo mkoa...
Kwanza, napenda kuwashukuru kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuwapa wananchi nafasi ya kutoa maoni, changamoto na kero zao kupitia jukwaa hili.
Ninaomba kupaza sauti kuhusu suala la malipo ya hela ya kujikimu kwa baadhi yetu tuliokuwa tumeajiriwa katika Hospitali ya KCMC kwa mkataba na baadaye...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
hospitali
hospitali ya kcmc
kcmc
kujikimu
mpya
Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea.
Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
hela
kujikimu
mkoa
momba
mpya
songwe
wilaya
wilaya ya momba
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5 kulingana na umri wa gari.
Sisi wafanyabiashara tunaelewa kuwa kodi ni wajibu wetu na hatupingi kulipa...
Anonymous
Thread
changamoto
fedha
kodi
magari
mpya
ongezeko
tra
wizara
wizara ya fedha
Ukikuta uzi kuna mada nzuri inajadiliwa utakuta kijana wa ajira mpya anajipa mamlaka ya kutetea hata kama anatetea upumbavu
Hii mindset kawaambia nani?
Nani kasema lazma mtetee ujinga?
Kwani huo mshahara ni hisani?
Nihitimishe kusema Tanzania watu tunaojielewa ni 0.23% tu katika wasomi wote...
Ajira mpya katika Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko tunaomba kufikisha kilio chetu kuhusu utata uliojitokeza katika malipo ya fedha za kujikimu baada ya kuripoti kazini.
Tulipokuwa tunaripoti, tuliagizwa kuandika barua za kuomba fedha za kujikimu, maelekezo tuliyopewa, tuliambiwa kiwango cha...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
kakonko
kuhusu
kujikimu
malipo
mpya
ufafanuzi
watumishi
Habari za majukumu wana-JamiiForums?
Naomba msaada wa kufahamu masomo rasmi yanayofundishwa kwa sasa katika ngazi ya Elimu ya Awali (Nursery) na Shule za Msingi (Primary) kwa mfumo wa English Medium.
Lengo langu ni kupata uelewa sahihi wa mtaala mpya ili niweze kuwaandaa vizuri watoto wangu...
"Kuondolewa kwangu kama mnavyojua zilianza shida ndogo ndogo zile za Trilioni moja na nusu, halafu Spika Ndugai akaleta mazungumzo yale mpaka mwisho nikahisi tu mimi mwenyewe na unajua Tanzania hii ni Nchi ndogo sana, unapewa taarifa mapema kwahiyo kuna mtu akaniambia sasa hivi wameanza mchakato...
Sisi walimu wa ajira mpya 2026 tunaonyesha masikitiko yetu kutokana na kutopatiwa fedha za kujikimu, ilhali watumishi wa ajira mpya wa kada ya afya tayari wamepata stahiki hizo kupitia TAMISEMI.
Tunaiomba Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kutoa ufafanuzi kuhusu tofauti hii ya utoaji wa stahiki...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
fedha
fedha za kujikimu
haki
haki sawa
kujikimu
malipo
mpya
sawa
tunahitaji
walimu
Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo.
Mabao hayo:
Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa.
Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti.
Ronaldo sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.