mpya

  1. JamiiForums Tanzania BRICS ni OPEC mpya?

    Kwanza ninaona ni jambo zuri kwa hegomony ya USA kwenye uchumi wa dunia kuwa challenged. Kama ambavyo dola ya Marekani ilivyoiangusha paundi ya Uingereza kama sarafu ya dunia, ndivyo inapaswa nayo kuanguka. Lakini safari hii itapendeza kupata mchanganyiko wa sarafu zenye nguvu. Matumizi ya dola...
  2. JamiiForums Tanzania Waraka mpya kwa wanaume wote

    KIKAO CHA WANAUME. Kikao cha wanaume kimeisha salama jana. Kwa wale ambao hamkuweza kuhudhuria, kamati ya pesa na mahitaji tulitoa mapendekezo mapya. Marejeo ya sheria ya kutohonga, kifungu cha 12, kilichokuwa kikisema hairuhusiwi kumpa hela mwanamke ambaye hujamuoa wala hujazaa nae. Labda...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Utamaduni mpya wa uchumi duniani umeshabadilika, tujiandae kisaikolojia kwenda nao na si kuganda kule kule

    Vilabu vikubwa vya Ulaya vinamtangaza Emirates kila kukicha. Mechi inachezwa uwanjani na ukitazama yale mabango ya umeme yanayokatiza pembeni ya mstari wa uwanja huwezi kulikosa bango lenye sura za kinadada wazuri weupe wanaotangaza shirika hilo la ndege. Kabla mechi hazijaanza au kabla ya...
  4. JamiiForums Tanzania Ifike mahala mji mpya wa Dar ujengwe nje ya Dar na sio kulazimisha kila kitu kufanyia kwenye hii Dar ya sasa

    Wakuu leo nikiwa natafakari upuuzi unaofanywa na TEC nikajikuta nakumbuka ujinga mwingine unaofanywa na wanaoitwa wataalamu wetu. Hii ni kulazimisha kila jambo la maendeleo kufanyia ndani ya jiji la dar hali inayopelekea kuwa na bomoa bomoa nyingi zinazoleta uharibifu mkubwa wa mazingira. Kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Kati ya Kundalini na Yeye Ashindaye (Yohana Mpya) kipi ni kweli na hakika?

    Kundalini inatokea pale ambapo chakra zako zote saba Inakuwa balanced na ukapata enlightenment. Ukajitambua basi wewe huwezi kufa, utaishi milele na milele. Korea kusini kaibuka Yesu Mpya, anajiita Yeye Ashindaye. Anasema yeye ndiye Yohana Mpya aliyepewa siri zote za kitabu cha Agano la...
  6. JamiiForums Tanzania Kanuni mpya za TFF ni za ovyo kupindukia; wanaendesha mpira kishamba sana!

    Kwa mujibu wa kanuni mpya za TFF, wachezaji binafsi hawapaswi kuwa na mdhamini ambaye ni mpinzani kibiashara wa mdhamini mkuu wa ligi kuu (NBC). Hili ni jambo la ajabu sana. Kwanini kanuni hii ya ajabu imepitishwa? Nionavyo mimi kanuni hii inalenga kuwarudisha nyuma wachezaji kiuchumi na...
  7. JamiiForums Tanzania Masomo yaongezeka mtaala mpya msingi

    Na Halima MlachaAugust 17, 2023 TAASISI ya Elimu Tanzania imetoa mtaala wa elimu ya msingi kuanzia darasa la kwanza hadi la saba 2023. Muundo wa mtaala huo umebadilika na sasa elimu hiyo itakuwa ni ya miaka sita badala ya saba kama ulivyokuwa Mtaala wa Elimu ya Msingi wa mwaka 2016. Mtaala huo...
  8. JamiiForums Tanzania Maoni kwa mtaala mpya wa elimu: badala ya somo la dini ondoa iwepo falsafa

    Katika pitiapitia yangu mitandaoni nimeona mapendekezo ya maboresho ya mtaala wa elimu. Tumekuwa tukilialia kuhusu oooh, mfumo wa elimu/mtaala unatufundisha kukariri sana. Mara haufundishi watu kujiajiri. Mambo mengi tu. Je katika mtaala mpya tumeweka jambo lipi la kuwafundisha hawa watoto...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Vijana Arusha kuvaa Diapers/Pampers Ni fashion mpya?

    Tukiwa tunajiburudisha jion ya Leo hapa Arusha - Kona ya Florida nimeshuhudia kijana aliyekaa kaunta pampers aliyovaa ikichomoza Kwa nyuma. Hii Imekaaje, na hii si mara ya Kwanza kushuhudiq haya. Hii Imekaaje?
  10. JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala na bajaji Arusha wamng'oa Mwakalebela wa LATRA Arusha

    Migomo ya daladala na Bajaji a inayoendelea bila kupatiwa ufumbuzi katika jiji la Arusha,imetajwa kumg'oa aliyekuwa ofisa wa LATRA mkoa wa Arusha Amani Mwakalebela baada ya kushindwa kutatua migogoro hiyo na kusababisha usumbufu kwa wanchi ,wafanyabiashara na wanafunzi kukosa usafiri. Kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Hela ya kujikimu kwa Ajira mpya

    Samahani ndugu napenda hvi kazi ya hela ya kujikimu ni ipi hasa? Maana haitolewi kwa wakati
  12. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha golikipa Ayoub Lakred leo Agosti 13, 2023

    Wakati Clubs ndogo ndogo zikiwa zimefikia deadline ya kufanya usajili CAF, Club namba 1 nchini Simba Sc bado inaendelea kusajili. Dakika chache zijazo Simba inatarajiwa kushusha nyanda la boli la kimataifa kwa ajili ya maandalizi ya michuano mikubwa Super Cup. Kutokana na Quality ya NBC Simba...
  13. JamiiForums Tanzania Bodaboda na Bajaji mnapaswa kulipa Kodi kwa Mujibu wa Sheria Mpya ya Kodi. Acheni kuleta Blah blah!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, tusichoshane!. Pesa za kuhonga huwa zinapatikana ila za kulipa Kodi mnaanza kuleta singeli za kipumbavu!. Huwa mkisikia kulipa mapato(stahiki ya serikali) mnaanza ngonjera kibao kana kwamba ni dhambi kulipa mapato. Kama unafanya kazi kila siku na unapata faida...
  14. JamiiForums Tanzania KWELI WHO yatangaza anuai (Variant) mpya ya virusi vya COVID-19 inayoitwa EG.5, yazitaka Nchi kuchukua tahadhari

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza anuai mpya ya COVID-19 iitwayo EG.5 - iliyopewa jina lisilo rasmi "Eris" huku likishauri kila nchi kuchukua hatua mahsusi za kufuatilia uwepo wake. Lakini shirika hilo linasema inaleta hatari ndogo kwa afya ya umma, bila ushahidi kwamba husababisha...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wizi mpya wa "kuunganishiwa mabando (GBs)" umeibuka!

    Leo katika pitapita zangu kwenye moja ya mitandao ya Kijamii, nimekutana na tangazo la kuunganishiwa kifurushi au bando kwa bei nafuu (Gb 7 kwa mwezi kwa Tshs. 5,000/=) na kulingana na hali ya mambo kwa sasa ilivyo, nikaona hii ita itanipa unafuu wa maisha maana vifurushi vimekuwa ghali sana kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji mpya wa Man United ni majeruhi, atakosa mechi kadhaa

    Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka wazi. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 72 aligundulika kuwa na...
  17. JamiiForums Tanzania Takwimu za Kipa mpya wa Simba SC Hussein Abel

    Mara nyingi makipa wanaonekana sana ni hawa wa timu kubwa, lakini aliyekuwa kipa wa KMC amethihirisha uwezo wake kwenye takwimu.
  18. JamiiForums Tanzania Ali Seif mmiliki wa Kagera Sugar na mmiliki mpya wa Tongaat South Africa amelipa kodi Tanzania?

    Mjomba mtata wa Oman,Mmiliki wa Superdoll anaacha kulipa kodi Tanzania anaenda kuwekeza Afrika kusini, je, huu ni Uzalendo? NBC mliipiga mkapata mtaji,lakini hamlipi fadhila kwa Taifa letu. Kila siku danadana ila kwenye majarida ya kimataifa anaandikwa kwa wino mweusi "billionaire" sasa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania CCM watashinda, lakini wajue hukumu hiyo itaamsha ari zaidi ya kudai Tanganyika na Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi

    Tunajua maelekezo lazima yawe yametolewa kwa majaji. CCM na Samia tunabashiri mtashinda kwa hila kama ilivyo ada na CJ ambaye umemuongezea muda kwa kuvunja katiba. Lakini mjue hukumu hii italeta haya 1. Kuizika kabisa independency of the Judiciary (uhuru wa mahakama) na kuua heshima ya mahakama...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe haondoki kwenye Uenyekiti mpaka tupate Katiba Mpya na Tume huru

    Nakazia tu alichokisema mtu humu JF, kama Kitila na Zitto Kabwe wangelifanikwa kumng'oa Mbowe kwenye uenyekiti, CHADEMA lingekuwa Tawi la CCM. Rabbon Kwa muktadha huo, Mbowe haondoki kwenye uenyekiti mpaka tupate katiba Mpya na Tume huru! Take Note: Wenye uwezo CHADEMA ni wengi. Lissu, Heche...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…