mpya

  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Simba kupata Captain mpya hivi karibuni

    Simba imeondoka leo kuelekea Morocco katika mtanange wa kufa na kupona dhidi ya Wydad AC. Katika safari hiyo, Captain wa Simba John Bocco ameachwa nyumbani. Hii ni safari ya pili mfululizo ambapo Bocco ameachwa katika safari wakati katika uwanja wa mazoezi anaonekana. Safari ya kwanza ilikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Usiyempenda kaja. --- Mkutano Mkuu maalum wa kumchagua Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi mkoa wa Arusha, umemchagua Loy Thomas Sabaya, kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoani humo. Sabaya ambaye ni Baba mzazi wa aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi hiyo baada ya kupata kura...
  3. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Aina mpya ya mianya ya rushwa na upigaji ya watendaji wa TANESCO

    Wakuu , heshima mbele. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kiukweli TANESCO hili shirika unaweza kudhani pengine tukibadili viongozi wa juu ndio inaweza kuwa mwisho wa matatizo ila pengine naona labda tuanzie kwenye "grassroots" Ipo hivi, baada ya kufanya ombi la umeme kupitia mfumo surveryor...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya sera mpya ya elimu ya mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 hii hapa

    Wanabodi, leo nilikuwa napitia sera mpya ya elimu nikaona niilete hapa tuijadili. Nini maoni yako?
  5. JamiiForums Tanzania Huku ndoa yake ikipumulia mashine, Jack Wolper apata bwana mpya!

    Ndoa ndoano! Mambo sio mambo! Muigizaji aliyegeukia biashara, mwanadada Jackline Wolper Massawe ‘Wolper’ inaripotiwa kupata bwana mpya baada ya ndoa yake kukumbwa na sintofahamu nyingi. Ikumbukwe Wolper alifunga ndoa takatifu na aliyekuwa baba wa mtoto wake Richard ‘Rich Mitindo’ 19/11/2022...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini imekuwa changamoto kwa ajira mpya kulipwa pesa za kujikimu katika Halmashauri nyingi

    Habari za muda ndugu zangu. Kwanza kabisa niipongeze serikali kwa juhudi za kuajiri hasa mwaka huu wa 2023, imejitahidi sana kuajiri vijana katika kada mbalimbali tofauti na za ualimu na afya sambamba na pongezi hizo naomba serikali kupitia wizara hasa TAMISEMI wawape maelekezo na miongozo...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba nijibiwe swali langu. Mtaala mpya wa elimu somo la dini

    Naomba nijibiwe maswali yangu kuhusu huu mtaala mpya wa elimu. Jedwali na.4: Somo, umahiri mkuu na umahiri mahususi kwa darasa la iii hadi la vi. Kipengele na: 8. Elimu ya Dini Itatolewa na viongozi wa dini inayohusika kwa kuzingatia mwongozo utakaotolewa na Wizara ya Elimu, Sayansi na...
  8. JamiiForums Tanzania Nimesikia Chongolo amejiuzulu. Katibu Mkuu mpya ni nani?

    Baada ya kukosa thread nzuri ya kusoma,nimeamua kuandika thread yangu. Kwa hiyo Katibu Mkuu mpya ameshachaguliwa au bado mtutano unaendelea? Nampongeza Rais Samia kwa jinsi alivyoweza kuleta amani katika nchi. Naona mabadiliko yanaendelea ndani ya CCM. Jana nimepita Mererani nimekiona Kijiji...
  9. JamiiForums Tanzania Akina Cadena na Matola bado wanawachosha wachezaji na mazoezi ya under 18. Kocha mpya hajaanza program. Tunapoteza mechi ijayo pia

    Bado akina Cadena wanataka kuonesha ufundi wao. Kufikia mechi ya Makilikili wachezaji watakuwa wanakimbia kama bata na viungo viko hoi kabisa. Wanawafundisha wachezaji individual skills kama kupiga vichwa, kuruka, mazoezi ya kuchosha ya viungo uku umebaki mda mchache kukabiliana na Makikiri...
  10. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
  14. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu. Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya...
  16. JamiiForums Tanzania Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Barabara mpya kwa Jiji la Dar es Salaam zinajengwa kwa njia 4?

    Kipimo cha uwezo wa mwanadamu kama anafikiri sawasawa ni namna anavyofanya mambo yake kulingana na wakati husika. Dar es Salaam ndo Jiji Kuu la Biashara la Tanzania. Sio hivyo tu, ndo Jiji lenye watu wengi zaidi Tanzania na kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inazidi kuongezeka. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania PPRA Kukosa Umakini: Kunahitaji miujiza ili mfumo mpya wa ununuzi NEST, ufanikiwe

    Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
  19. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuberi Katwila kocha mpya Simba

    Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo. Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…