mpya

  1. Jezi mpya Yanga ni bora lakini shingo ni mbovu, sio rafiki kwa shingo.

    Nimeinununua moja ya kijani, kitambaa ni bomba sana lakini imeshaniudhi shingoni. Material waliyoweka kuzunguuka shingo sio laini (soft) kiasi cha kutia karaha kwenye ngozi na mishipa ya singo pale inapogusa sehemu hizo. Kama wangebadilisha kitambaa kinachozunguuka shingo ingekuwa nzuri sana...
  2. Morocco Deserved , the Football Brain na Ndio Bingwa Mpya CHAN2024

    Habari wadau, Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha. Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
  3. Sibusiso Kubheka Aweka Historia Mpya ya Mbio za Ultra Running

    Katika historia ya michezo ya riadha duniani, tarehe hii itaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu. Mwanariadha kutoka Afrika Kusini, Sibusiso Kubheka, ameweka rekodi ya aina yake baada ya kuvunja rekodi ya muda wa saa 6 katika mbio za kilomita 100, akimaliza kwa muda wa 5:59:20 kupitia mradi wa...
  4. Mwenye Video Clip ya RC mpya wa Arusha Kihongosi akichana / akiimba Remix ya Wimbo wa PAWA wa Mbosso aiweke hapa tafadhali

    Wiki mbili zilizopita alinichapia Wapuzi Fimbo kwa kutokuwa Wazalendo wiki kanionyesha kuwa Jamaa ana Kipaji sana tu.
  5. Wana Yanga SC wenye Akili tunauliza je, hizi Jezi zetu mpya tunazotamba nazo kama Wendawazimu zimetengenewa na Kampuni gani ya Kimataifa?

    Na sisi wana Yanga SC tutashukuru sana tu kama tukitajiwa hiyo Kampuni ili tujiridhishe nayo kama kweli ni ya Kimataifa.
  6. Kwa mambo ambayo nayajua huku jikoni, hata reform na katiba Mpya vipatikane bado nisingethubutu kupiga kura

    Huwa nikiwaangalia Watanzania unabaki kucheka , kwakuwa wanaamini Tanzania kuna wanasiasa wa kuwapambania dhidi ya umasikini wao jibu ni hapana. Vyama vyote vinafanya Kazi chini ya watu wale wale wa Ccm. Ndo maana mwaka 2015-2020 Magufuli alivyo noticed huo ujinga alipanic na akatamani...
  7. S

    Jezi mpya za Simba zimevuja, Kama ni kweli ndio zile ni nzuri sana ila bado watu wabaya hawajafa ndani ya timu yetu na tujiandae kudhalilika tena

    Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni jezi za Simba nimezipenda na nitazinunua za rangi zote, ni jezi zenye Quality ya kutosha, yule Ali...
  8. Shekhe kundecha apongeza elimu ya dini katka mtaala mpya

    Katika eneo la elimu kumekuwa na utata mkubwa wa uelewa nchi yetu imekuwa ikihangaishwa sana na tatizo la maadili lakini iko nyuma sana kwenye mafunzo ya dini, tulikuwa tunasema sasa nchi yetu inataka maadili gani ambayo hayatokani na dini?" "Lakini kupitia uongozi wako (Rais Samia Suluhu) hapa...
  9. JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  10. Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC)

    Fursa Kubwa kwetu Watanzania: Kampuni ya Apple Watatupa Zawadi ya Bilioni 2.5 Tsh kwa kama tukiweza Kudukua seva mpya za Apple (PCC) Habari zenu wanajamii forum, Kampuni ya Apple wametangaza rasmi kupitia Apple Security Bounty Program kwamba watatoa hadi $1,000,000 (takribani Bilioni 2.5 Tsh)...
  11. K

    Mke wangu kaja na style mpya ya kukulana

    Wakuu, habari za weekend? Usiku wa kuamkia leo mke wangu kanijia na style mpya ya kudinyana ambayo mimi siijui na sijawahi kumuona akiitumia tangu tujuane huu mwaka wa 7. Kikawaida sisi huwa tunatumia style ya kifo cha mende na mbuzi kagoma kwenda, na mara moja moja huwa tunatumia ile ya popo...
  12. M

    Njia mpya ya kuchipu PS4 yagunduliwa !! PS4 version 12 zinaweza kuchipiwa kwa mbinu ya CD.

    watu wengi wanapenda ps4 za kuchipu kuepuka gharama za games za kununua na account, Ps4 iliyochipiwa unadownload game lako mtandaoni, unalihamisha kwenye mashine unaanza kucheza. PS4 zenye soko kubwa ni version 9.00 kwasababu ya urahisi wake wa kuchipu, juu ya hapo watu wengi wanazikwepa au...
  13. Wakati JPM akipondaponda demokrasia, hii ndiyo shughuli aliyokuwa akifanya Polepole, aliisahau katiba mpya, atakumbukwa kwa kusifia "vieitee"

    Alikuwa Katibu Mwenezi wa CCM aliyetumia muda mwingi kufanya mambo yasiyoeleweka. Alikuwa anakata mauno mbele ya watu, badala ya kuongelea wakulima, wafugaji au katiba mpya.
  14. N

    Matengenezo ya JamiiForums: Update Mpya Zilizogundulika

    Kwa muda huu, JamiiForums imekuwa ikifanya updates kwenye mfumo wao wa mtandao. Wakati wa mchakato huo, imegundulika kuwa baadhi ya vipengele vipya viliwekwa moja kwa moja “live” bila kupitia test/staging environment. Hali hii ilisababisha baadhi ya watumiaji kubaini mabadiliko yasiyo ya kawaida...
  15. Ila wanangu hii JF ina mambo hata kama kuna watu wanatuangaliaga kama series huwa wanacheka sana na kutamani season mpya

    Mwamba anasema amejaribu kupata mtoto na mkewe kakosa, akapewa connection na jirani akajaribu kwa mganga ila bado chali alafu anamuambia jirani mtoa connection amjaribu yeye kama kweli atapata mimba, mara paaap jirani kapata mimba na mtoto hataki kutoa🤣🤣🤣 Ila sisi waafrika🚮🚮
  16. Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  17. GE2025 Siku zote mbeba maono hafi bali hupita kwenye tanuri la moto na kutoka akiwa mpya.

    Wasalaam. Hapo tarehe 06/09/2017 jasusi la mbinguni askofu gwajima alimtadharisha lissu na kumuonya kuwa asiende Dodoma kwani akienda atauwawa kwa kupigwa risasi lakini lissu kwa kujiamini kulikopitiliza alipuuza na kwenda ndipo Sept 7 akashushiwa mvua ya risasi na kupata kilema cha kudumu...
  18. A

    KERO Shirika la Uwakala Wa Meli Tanzania (TASAC) kutangaza ajira mpya bila ya kuwarudisha baadhi ya waliokuwa wafanyakazi wake sio sawa

    Wasalaam , Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
  19. Mimi member mpya

    Mimi member mpya humu
  20. DOKEZO Kuna kodi mpya ya majengo Mwanza

    Miaka 7 iliyopita nilinunua kiwanja cha SQm 400 hivi maeneo ya Sahwa. Kutokana na uwezo wangu mdogo tukashauriana na wife tujenge nyumba ndogo kwanza ya vyumba viwili na sebule baadaye tukitulia ndio tujenge nyumba ya nafasi. Kweli nilifanikiwa kujenga nyumba ndogo na nikaunga umeme pia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…