KERO Ajira Mpya Halmashauri ya Itigi tunafanya kazi Mazingira Magumu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tumeajiriwa toka Januari 2026 wenzetu wachache wamepata mshahara wa Januari na Februari wengine malipo yetu bila ya sababu za msingi hatujapata chochote hadi sasa hivi.

Wengine wetu walijitolea kufanya kazi toka muda huo hadi sasa lakini mazingira yamekuwa magumu.

Halmashauri hakuna jibu la kueleweka, tukaambiwa tusubiri fedha za kujikimu, nazo hadi sasa ni kuzungushwa

Walioajiriwa mwaka 2025 Februari hadi sasa wengi wao wamepewa fedha za kujikimu nusu, nusu iliyobakia haijulikani kama watapata au la.
 
Unatakiwa utafutwe ufukuzwe kazi maana ww ni mpumbavu na mjinga sana

Matatizo ya kazin ni masuala binafsi kati yako na mwajiri wako sasa unapo kuja kuyaleta mtandaoni una maana gan unataka kuichafua taasisi unayo fanyia kaz,

Unataka kuichafua halimashauri ya itigi

Changamoto za kazini ni suala la kujadiriana na mwajiri wake tena katika vikao vya ndani au kwa kuandika barua au maoni na kuyafikisha sehemu husika

Ww ndo unasababisha vijana wa kitanzania tunaonekana wajinga kumbe ni watu wachache kama ww
 
Halmashauri husika tatueni changamoto za wahusika kama ni kweli hii haitakuwa haki wapeni watu stahiki zao hali ya maisha ni ngumu kwa watumishi bado tena mnawaongezea machungu
 
Unatakiwa utafutwe ufukuzwe kazi maana ww ni mpumbavu na mjinga sana

Matatizo ya kazin ni masuala binafsi kati yako na mwajiri wako sasa unapo kuja kuyaleta mtandaoni una maana gan unataka kuichafua taasisi unayo fanyia kaz,

Unataka kuichafua halimashauri ya itigi

Changamoto za kazini ni suala la kujadiriana na mwajiri wake tena katika vikao vya ndani au kwa kuandika barua au maoni na kuyafikisha sehemu husika

Ww ndo unasababisha vijana wa kitanzania tunaonekana wajinga kumbe ni watu wachache kama ww
Walimu kama nyinyi ndo mnawafanya CCM wajione wajanja
 
Unatakiwa utafutwe ufukuzwe kazi maana ww ni mpumbavu na mjinga sana

Matatizo ya kazin ni masuala binafsi kati yako na mwajiri wako sasa unapo kuja kuyaleta mtandaoni una maana gan unataka kuichafua taasisi unayo fanyia kaz,

Unataka kuichafua halimashauri ya itigi

Changamoto za kazini ni suala la kujadiriana na mwajiri wake tena katika vikao vya ndani au kwa kuandika barua au maoni na kuyafikisha sehemu husika

Ww ndo unasababisha vijana wa kitanzania tunaonekana wajinga kumbe ni watu wachache kama ww
Ww ni taahira uliekulia kijijini
 
Back
Top Bottom