mpya

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ajira Mpya Morogoro DC hatujalipwa, tukiuliza wanasema “Nyie si mnakopesheka, kakopeni”

    Watumishi ajira mpya Mwaka 2025 Moro DC hatujalipwa hela za kujikimu mpaka leo (Januari 2026), tukiuliza Mkuu wetu anajibu “kama mna shida sana si mkope, sasa hivi mnakopesheka” Inavyoonekana wamegawa namba kwa mabenk na SACOS wanapiga simu kama wamechanganyikiwa wakisisitiza watukopeshe, tena...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kutokulipwa kwa pesa za kujikimu kwa intake mpya June 2025 mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)

    Tunaomba mtusaidie kutupazia sauti. Tuliajiriwa mwezi wa sita 2025 Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania (TAA) lakini mpaka leo hii hela za kujikimu walipewa watu nusu tu mwaka jana mwezi Oktoba wengine nusu tuliobaki wakatuambia watatupa mwezi wa Novemba mwaka jana lakini mpaka sasa bado...
  3. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

    https://www.tiktok.com/@obbyferooz/video/7592916506229460244?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  4. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 ACT- Wazalendo: Tusiingie kwenye uchaguzi tena bila Katiba mpya

    Viongozi wa chama cha ACT Wazalendo wanaendelea na ziara zao katika Mikoa ya Kusini ambapo jana Januari 7, 2026 Kiongozi wa Chama, Dorothy Semu, aliwasili katika Jimbo la Mtwara Mjini na kufanya kikao na uongozi wa jimbo hilo pamoja na waliokuwa wagombea wa udiwani katika uchaguzi mkuu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania House4Sale Mango Tree Residence Apartments for sale

    MANGO TREE RESIDENCE Located in Msasani beach Dar es salaam Tanzania we are happy to invited you to visit our project. Our project is at Golden location, first of all it is located nearby beach indian oceanic, secondly it is surrounded by important services for humans such as TMJ Hospital...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  7. F

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya na tume huru ndio maridhiano ya kweli

    Je yakifanyika yale yale yaliofanya amani itoweke baada ya maridhiano, je maridhiano yatakuwa na maana? Maridhiano ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi sio sinema
  8. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Salamu za mwaka mpya (2026) kutoka kwa askofu Mwanamapinduzi kwa watanzania akiwa ukimbizini

    Ndugu zangu Watanzania! Mvua ya Haki na Amani toka kwa Mungu wa Mbinguni iwe nanyi! Ashukuriwe Mungu kwa kutuwezesha kuuona mwaka mpya. Kwani siyo jambo rahisi kwetu sisi Watanzania tuliobaki. Maana tumeshuhudia maelfu ya wenzetu wakiuawa, kutekwa na hawajulikani walipo huko wengine wako...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TRC yatangaza ratiba mpya za SGR kutoka Dar-Dodoma

    SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) limetangaza ratiba ya safari za treni ya SGR kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma kuanzia leo, Januari 3, 2026. Hatua hiyo inakuja baada ya shirika hilo kusitisha kwa siku chache safari zake ili kuepusha athari ambazo zingeweza kusababishwa na mvua zinazoendelea...
  10. Bwana Bongo

    JamiiForums Tanzania Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri, lakini wengi walimwita tu Mjomba Kichwa. Hakukuwa na kitu ambacho hakuwa na maoni nacho. Ukiwa na...
  11. Mvinyo mpya

    JamiiForums Tanzania Niliyoyashuhudia mkesha wa mwaka mpya Arusha: Ufuska wa kutisha, anasa, ulevi, matusi, na hekaheka zingine

    Tarehe 1 Jan 2026 (yaani Leo) nimesafiri kuja DSM, ninapoishi, kwa gari la KLM. Kabla ya hii safari nilichukua lodge uchwara karibu na ofisi za Kilimanjaro hotel (bei elf 20). Wakati naenda kuchukua lodge ilikua majira ya saa kumi na mbili jioni. Nikapumzika mpaka saa tano, ilivyofika saa tano...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Liverpool na Manchester City Mtauanza Mwaka Mpya kwa Maumivu Makali

    Man City leo hamtoki kwa Sunderland na Liverpool mtashangazwa na Leeds United hapo Anfield. Mtamjua Calvert Lewin ni nani leo?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kulingana na desturi yako unasherehekeaje Mwaka mpya 2026?

    Kila ifikapo tarehe 31 Desemba, sherehe za Mwaka Mpya hufanyika sehemu mbalimbali duniani usiku kwa nyakati tofauti, kutokana na tofauti za saa kati ya nchi na nchi. Baadhi ya tamaduni pia husherehekea Mwaka Mpya kwa wakati tofauti na tarehe 31 Desemba, kwa sababu hutumia kalenda tofauti. Kwa...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Ninawatakia Heri ya Mwaka Mpya 2026 Watanzania wenzangu wote. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

    Heri ya Mwaka Mpya 2026 Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19).Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka

    Tunauanza mwaka mpya kwa imani na matumaini, tukijua Mungu anafanya jambo jipya kwa kila mmoja wetu (Isaya 43:19). Heri ya Mwaka Mpya wenye baraka. Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
  17. jblus

    JamiiForums Tanzania Malengo ya mwaka 2026

    Kwa juhudi na kumuomba Mungu, nina imani mambo haya nitayatimiza mwaka huu 2026. Jua liwake mvua inyeshe inabid niyatimize kwa namna yoyote... 1: Kuimarika kiroho, Natamani kuwa karibu na Mungu wangu zaid mwaka huu kuliko kuliko chchte. Amekua akinionekania kwenye mambo mengi sana hivo...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Hii ndio stori fupi ya mabaharia wenzagu walipokuwa wakisikilizia mwaka mpya

    Msoto uko pale pale, kinachobadirika ni namba pekee. ] Tuendelee kupambana, hakuna namna, HAPPY NEW YEAR FRIENDS.
  19. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya 2026

    Salaam za Mwaka Mpya toka Taasisi ya Mifupa - MOI
  20. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tunapoanza mwaka mpya, tujue, utekaji ni dalili za woga wa wanaojidai wana nguvu wakati ni cowards

    Kichwa cha habari kiko wazi. Nafunga na kuanza mwaka kwa kusema wazi kabisa kuhusiana na kadhia ya utekaji, upotezaji, na mauaji nchini. Japo, watu wanaweza kudhuriwa na kuogopeshwa hata kunyamazishwa, utekaji, upotezaji, na mauaji yatokanayo nao ni ushahidi kuwa wenye nguvu tunaodhani wana...
Back
Top Bottom