Hamis sadiki Mohamed ni nduguyoHabari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
karibu sana ndugu mdau wa jf,Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
chukua tahadhari na matapeli kama huyu 🐒Kama ni mwanachama wa lumumba hatukutaki,ila kama ni mwanetu,karibu sana.
chukua tahadhari na matapeli kama huyu
Habari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
KaribuHabari wana JamiiForums, mimi ni mwananchama mpya naomba mnipokee
daahUngeelezea kabisa wewe umebobea katika profesheno ipi ili tukukabidhi kwenye idara yenu uwakute wenzio kabisa
Kuna chama la akina mbaga, chama la karanga na infop, chama la min, chama la binti wa zamani, leo dada na kenzy, n.k
Idara zipo nyingi mkuu, we sema tu uko upande upi.