Ndugu zangu Watanzania,
Najua wengi wenu mnajiuliza maswali juu ya nani atakuwa waziri Mkuu Mpya wa Tanzania. Najua mna kiu kubwa sana kutokana na umuhimu na unyeti wa nafasi hiyo kiutendaji na kiutawala ndani ya serikali yoyote ile Duniani.
Kwanza ifahamike ya Kuwa waziri Mkuu kikatiba...
Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu.
Sitta 2005 - 2010
Makinda 2010-2015
Ndugai 2015-2021
Tulia 2021 - ??
Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
Ili Tanzania irudi tulipokuwa nchi ya amani, utu na heshima tunahitaji kwanza kuwa na Serikali ya Mpito (Interim Government). Hii ni kwa sababu kile kinachoitwa serikali ya sasa kimekuwa chanzo kikuu cha migogoro, mateso na maumivu makubwa kwa wananchi.
Kwa muda mrefu tumeona na kushuhudia...
Mji umekuwa mweupe, hakuna hata watu
Wale watu wote waliokuwa wamejaa mitaani wameenda wapi?
Natabiri uhamisho wa wakaazi wengi wa Darisalama kurudi mikoani walikotoka katika kipindi hiki, na wakiwa huko watajikuta na kuona fursa nyingi sana mikoani kwao kwa kuwa maisha walioshi Darisalama...
Miye sijui kwa kweli! Watu wataona meno na wamedhamiria. Niko bwejuu najificha walahi sijui. Redcross wasema wameshinda. Wanasema hiyo ilikuwa awamu ya kwanza. Kumerauka! Zamu yao..... Mwendo wa milio. Na bado. Naye nye nyie
CCM wanaendelea kufanya makosa makubwa sana kisiasa. Huu ulikuwa muda wao sahihi kabisa wa kutengeneza katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Kama wangefanya hivyo, wangejihakikishia nafasi ya kubaki kama chama kikuu nchini hata kama wangeondoka madarakani leo.
Kwa mfano, kule Marekani, vyama...
Hii ndiyo inapaswa kuwa way-foward itakayowatuliza wananchi:
1. Jeshi linapaswa lifute uchaguzi huu usio na relevance.
2. INEC ivunjwe na iundwe tume mpya shirikishi kutoka vyma vyote vya siasa.
3. Wanasiasa wote walioko mahabusu waachiwe hasa wa CHADEMA.
4. Uchaguzi mpya utangazwe ndani ya...
Katikà wakati mzuri wa kupush katiba mpya basi ni kipindi hiki hasa kwa madhila yaliyotokea jana na kama tunania ya dhati ya kuiponya nchi
Kupunguzà madaraka ya Rais
Kuhakikisha viongozi wa tume ya uchaguzi hawachaguliwi na Rais
Jaji mkuu kutokuchaguliwa na Rais
Dpp kutokuchaguliwa na Rais...
Jana Wananchi wa Tanzania waliamua kufanya maandamano ya kupinga Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa mwaka 2025.
Miongoni mwa vitu wanavyodai ni KATIBA MPYA ya WARIOBA Iliyopendekezwa na Wananchi, PIA kuachiwa huru kwa TINDU LISSU, HECHE NA POLEPOLE, Huko Arusha nimeona wamebeba...
Mwanzo ilikuwa M4C.
Halafu ikawa people's power!
Mara ikaja hii ya
No reforms no election!.
Sasa nadhani baada ya uchaguzi pataanzishwa wimbo mwingine kwakuwa , NO REFORMS NO ELECTION itakuwa imeexpire!
Lakini pia kurudi kuimba people's power pia haifai kwakuwa itakuwa kujidanganya...
Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!”
Tanzania iko katika kipindi hicho sasa:
Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
Maaka 2019 Alaah Salah alikuwa na umri wa miaka 22 huku akiwa mwanafunzi wa mwaka wa 2 pale University of Sudan. Aliongoza na kuhamasisha maandamano yaliyomtoa Omar Bashir madarakani. Mpaka sasa Omar Bashir yuko kifungoni akitumikia adhabu ya makosa ya jinai aliyotenda.
Hapo awali Sudan...
ISRAEL YAZINDUA MFUMO MPYA WA KOMBORA LINAONGOZWA NA LASER 🇮🇱
Kutana na LAHAT ALPHA, kombora hilo ni Game-Changer ambalo hufunga shabaha kutoka umbali wa zaidi ya KM 20. Hawezi kuliona wakati linasafiri. Halihitaji GPS kujenga Shabaka . wewe Eleza tu, laser, na kombola linaendelea kuharibu...
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Nasema hivi kupitia sababu zifuatazo
Katiba hii ya mwaka 1977 ilitengenezwa na mwalimu julius Nyerere, ila cha ajabu miaka ya mbeleni kwa nyakati tofauti Nyerere amekuwa akionyesha mapungufu ya hii katiba ila hakujaribu kuibadilisha sanasana aliiendelea kuifanyia amendment mpaka anafariki...
Kampuni yenye mahusiano na mtoto wa Rais Abdul inapewa tenda za kuchimba Maliasili za Taifa kwenye moja ya mkoa masikini zaidi Tanzania.
Kampuni hii inachimba madini ya Makaa ya Mawe kwa kiwango cha kutisha na kuyasafirisha nje ya nchi.
Kampuni nyingine ya swahiba wa Rais Rostam Aziz inapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.