mpya

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mungu mwenye Nguvu awe nanyi mwezi huu mpya

    Hamjambo! 1. Mwezi huu uwe mwezi wenye Baraka na Neema ya Mungu naam yule MUNGU Mwenye Nguvu nyingi aliyetuumba wote. 2. Mwezi huu Mungu atuepushe na Mabaya na kushindwa na adui zetu. 3. Wokovu wa Mungu uwe upande wetu. Naye atatupa Wokovu mkuu na ushindi kwa namna isiyoelezeka. 4. Adui zetu...
  2. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nani amemshikia Mawe MWIGURU mchemba?Samia alisema atatupa katiba mpya, MWIGURU kwanza ngiriba, utaliangamiza taifa

    Nipo mkoani Arusha aliko Mh MWIGURU mchemba waziri mkuu kutoka chama Cha ccm. Leo akiwa mkoani Arusha ameendeleza kauli zake ambazo ZINAZIDI kulitia taifa letu MATATIZO na ENDAPO hatojisafisha kwa kauli zake atalitia taifa katika mkanganyiko mkubwa. Leo amekuja na kauli tata sana yakuwa wanao...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nguvu ya Wananchi Kwenye Giza la Uchumi: Tumaini la Tanzania Mpya

    Hali ya sasa imefika mahali ambapo moyo wa kawaida umeshindwa kubeba. Tumekuwa tukipambana, tukitafuta angalau mwanga mdogo ili tuendelee kuishi, lakini ukweli mchungu ni kwamba hatuoni huo mwanga tena. Kwa sisi tunaoishi kwa kutegemea utalii maisha yamekuwa kama kupita kwenye jangwa bila hata...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Turekibishe ulaji wa kisiasa usio na tija katika katiba mpya.

    Siku tutakayopata fursa ya kuandika katiba mpya ya nchi tukumbuke. 1. Kufuta nafasi ya waziri mkuu. Hakuna tija kuwa na waziri mkuu na makamu wa rais pamoja. 2. Kufuta nafasi za manaibu mawaziri. Mawaziri wanatosha kumshauri rais na kufanya maamuzi ya kisera na kisiasa katika wizara zao, kazi...
  5. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwigulu: Hatuwezi kuandika Katiba Mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba haijachomwa ipo kwenye ilani

    "Hatuwezi kuandika katiba mpya kila mtu ameshika jiwe mkononi, rasimu ya Warioba hajachomwa ipo kwenye ilani"
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo ulipokuwa na akili timamu: Katiba mpya inapatikana kwa vurugu!

    https://twitter.com/Ndolezi_Petro/status/1992542007432990932?t=Fwrcy6pC7f5hy5BUPN4o4A&s=19
  7. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors

    In the chaotic aftermath of Tanzania’s disputed presidential election last month, police and gun-wielding men on patrol shot at groups of protesters, many of whom appeared unarmed or were holding only rocks and sticks, a CNN investigation has found. Geolocated videos from the scenes, audio...
  8. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa meli mpya 4 kufungua fursa Katavi na Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo zinazojengwa katika Bandari ya Karema mkoani Katavi. Waziri Mbarawa yupo mkoani Katavi kwa ziara yake ya siku mbili amekagua ujenzi wa meli nne za mizigo pamoja na utoaji huduma katika Bandari ya Karema. Meli hizo...
  9. The patriot man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Watanzania Naombeni tuuamini huu uongozi mpya wapo serious watatufikisha nchi ya ahadi

    Nimekaa nikatafakari nikaangalia Uwongozi huu mama Samia utatupeleka nchi ya ahadi wako serious hawaigizi kabisa pleas please Dec 9 tusiandamane tumpe mama mda nina Imani naye kubwa sana. Yaliyotokea ni mabaya sana ila Ameshajirekesha maana ndo mara yake ya kwanza so hakujua namna nzuri ya...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watalii ni wengi sana, serikali ijitahidi kuongeza angalau ndege 2 mpya za direct route kutoka major destinations

    Katika awamu hii mpya ni vema serikali ikaona umuhimu wa kuongezs direct flights nyingi zaidi kutoka major destinations, mfano Kilimanjaro kwenda italy na ujerumani https://dailynews.co.tz/tourism-boom-fuels-air-travel-surge/
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi?

    Kwanini Mwanaccm Samia Suluhu Hassan kabadilli gia angani na kutaka kamati mpya ya Uchunguzi? Kwani ile ya kwanza nani aliiunda? Asiongeze watu, bali aivunje kabisa.
  12. President of China

    JamiiForums Tanzania Picha: Mawaziri wapya wakiwa wanakula kiapo - Tanzania mpya yenye maendeleo makubwa hii hapa (Watanzania wa kweli wanaipenda)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mawaziri wa Wizara mbalimbali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 18 Novemba, 2025.
  13. President of China

    JamiiForums Tanzania China, Tanzania, Russia Kushirikiana Kurusha Satelaiti 2026: Je, Huu Ndiyo Mwelekeo Mpya wa Ulinzi na Uchumi wa Kidijitali? (Eneo Chamwino Dodoma)

    Mpango wa pamoja kati ya China, Tanzania na Urusi wa kurusha satelaiti mpya ya kufuatilia masuala ya mawasiliano unaripotiwa kukamilika, na maandalizi ya hatua ya mwisho yanatarajiwa kufanyika mwaka 2026 katika Chamwino, Dodoma. Hatua hii imeibua mjadala mpana kuhusu mwelekeo wa Tanzania katika...
  14. President of China

    JamiiForums Tanzania Baraza la Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limenifurahisha sana - Huu ni mwanzo mpya na maendeleo Kedekede

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua Baraza jipya la Mawaziri ambalo limepokelewa kwa matumaini makubwa na wadau wengi, likionekana kama mwanzo mpya wenye ahadi ya maendeleo Kedekede. Rais alitangaza Wizara 27, Mawaziri 27, na Naibu Mawaziri 29 mnamo...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani kwanza, haki baadae ni Msingi wa dini mpya ya wasiojulikana?

    Salaam! Ni kama kuna dini na Imani mpya imeingia nchi ni, Kikundi na itikadi hii ya Siri imeingia kwa viongozi mbalimbali wa dini, wasanii, wanasiasa, polisi,waovu Katika makundi mbalimbali wakijaribu kuuaminisha umma wa watanzania kwamba AMANI ndio Msingi wa HAKI. Msemo huu unaoenezwa kwa...
  16. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Boss kwezi Dalali mjanja

    Idara ya Masoko ya Boss Kwezi imeendelea kuwa mfano bora wa ubunifu, uthubutu na kasi katika kusambaza taarifa muhimu kwa wananchi wa Dar es Salaam. Katika kipindi ambacho ushindani wa masoko umeongezeka, timu hii imeonyesha kwamba mbali na kufanya kazi kwa weledi, imejitoa kuhakikisha kila...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia

    Rais Samia amesema Nitakao wateua mjiandae kisaikolojia, tutawabadilikia
  18. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tutajarajie nini kwenye hotuba ya Rais Samia leo akifungua bunge na kumwapisha waziri mkuu mpya

    Leo Novemba 13, 2025 inatarajiwa Rais Samia atahutubia bunge na Watanzania baada ya uchaguzi mkuu na kuapishwa kwake Uchaguzi uligubikwa na matukio mengi ikiwa ni pamoja na mchakato wenyewe kuwa kiini macho wa wizi wa kura, maandamano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na police, Vyombo vya...
  19. President of China

    JamiiForums Tanzania LIVE BUNGENI: UTEUZI WA WAZIRI MKUU MPYA, RAIS SAMIA KUHUTUBIA LEO

    https://www.youtube.com/live/HC9UL5gBJzE?si=xsGjR6En5h3eFIvJ
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ado Shaibu auliza kuhusu katiba mpya Mgombea ZUNGU asema iko njiani

    "Ndugu mgombea mheshimiwa Zungu ningependa kufahamu katika bunge utakaloliongoza iwapo utachaguliwa kuwa spika litakuwa na mchango gani katika kuboresha demokrasia nchini Tanzania hasa katika muktadha wakujenga mwafaka wa kitaifa na kuhakikisha Tanzania inapata katiba mpya?". Mbunge mteule wa...
Back
Top Bottom