mpya

  1. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ninapoweza kupata pooltable mpya

    Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujua wanapouza pooltable mpya pamoja na bei yake, wauzaji wakiwa nyanda za juu kusini itapendeza zaidi. Nb:kama huna cha kunijuza naomba upite kimya.
  2. JamiiForums Tanzania Safari za Treni ya Mwendokasi kuanza Agosti mwaka huu, 2021

    Hayo yamesemwa na Waziri wa ujenzi na uchukuzi Leonard Chamriho. Ameyasema haya baada ya kamati ya kudumu ya bunge ya miundo mbinu kutembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa Sgr kipande cha Dodoma mpaka Dar es salaam. Hivyo amesema kuwa safari za Dar mpaka Morogoro zitaanza mwezi Agost baada ya...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimepata mchepuko mwenye umri wa miaka 21; nafanyaje nisiendelee nao?

    Nina umri wa miaka 48 nimeoa na nina watoto wanne. Kuna kabinti nilikakuta mahali nikakatania kama nakataka ila ni kazuri. Cha jabu last weekend kakanitafuta tukakaa sehemu na kupiga story. Baada ya hapo kenyewe ndio kanakuja speed kako tayari kuhama kwao eti mimi nikapangishie. Kwa kweli mimi...
  4. JamiiForums Tanzania Mtindo mpya wa ujenzi Tanzania hiden roof (contempolary)

    Contempo.(hiden roof) ni mtindo mpya wa ujenzi wa nyumba Tanzania lakini wengi wanaishia kupata hasara kwasababu wanajenga bila kua na michoro ya kitaalamu hivyo zinaishia kuvuja. Ili ujenge mtindo huu unatakiwa kwanza kuwasiliana na wataalamu wa ramani wakuandalie mchoro hutapata shida...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dalili mpya za COVID-19 za kuzingatia

    Licha ya dalili za awali zinazotambulika tangu wimbi la kwanza, pia kuna dalili nyingine zinazogunduliwa na madaktari hivi karibuni, ambazo zinahitaji uangalifu. Madaktari nchini India wanaamini kuwa baadhi ya dalili zinazidi kuongezeka katika visa vilivyoripotiwa tangu mwezi uliopita...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Fiston na Kisinda waleta raha mpya jangwani yanga

    Baada ya jana mwenyekiti Msolla kufafanua kwa ufasaha issue zinavyoenda na jinsi maadui wa team hiyo walivyo hack simu yake na kumtukana Metacha Mnata kwamba ni duka na mchawi mambo yameendelea kuwa mazuri kwa wana yanga kwani baada ya mgogoro kumalizwa rasmi na Mwenyekiti leo wachezaji wao...
  7. JamiiForums Tanzania Juma Mwambusi ateuliwa kuwa kocha mpya wa muda wa Yanga

    Hii ni baada ya benchi lote la ufundi kutimuliwa. Ikumbukwe kwamba Mwambusi aliondoka kwenye benchi la ufundi la Yanga kwa sababu zilizotajwa kuwa za kiafya, lakini sasa amerejeshwa kama kocha wa muda.
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: COVID19 yaonyesha dalili mpya

    Kenya inahofia kuwa inakumbwa na wimbi la tatu la CoronaVirus baada ya madaktari kugundua dalili mpya kwa wagonjwa wa COVID19. Dalili zilizooneka kwa wagonjwa ni pamoja na kifua kuuma, kuharisha, vidole kubadilika rangi na kuvimba macho. Madaktari wanadhani ya kwamba kirusi kinajibadilisha...
  9. JamiiForums Tanzania Wadau Mwenye ufahamu juu ya gari za Audi a4 tafadhali

    Wasalam aleykum ndugu na jamaa.. twende moja kwa moja kwenye Hoja. Ninavutiwa miaka mingi sana na hizi Audi a4 na mungu akijalia kabla mwezi haujaisha natarajia kuchukua moja beforward. Wenye elewa na hizi gari mnisaidie mawili matatu je ni gari inayomudu masafa marefu kwakua naishi mwanza na...
  10. JamiiForums Tanzania Wilaya Mpya Kisesa, Mwanza: Maoni Juu ya Mgawanyo wake

    Habari wanaJF, Nimeona nilete kwenu hii ishu inayoendelea ya Uanzishwaji wa Wilaya mpya ya Kisesa. Kuna wilaya tatu zimeathirika moja kwa moja ambazo ni Ilemela, Magu na Misungwi. Mapendekezo ya makao Makuu ya wilaya yatakuwa Fella ambapo ndo itajengwa station ya SGR. Ni ukweli usiopingika...
  11. JamiiForums Tanzania Huu ni utapeli mpya?

    Wandugu, Jana katika pita pita zangu huko YouTube nikakutana na hizi habari. Hawa jamaa wanajiita (Mula empire) TANZANIA PAYMENT wengi ya walionipa Habari za hawa jamaa kupitia YouTube channel zao wanasema ni moja ya njia mpya ya kupata pesa mtandaoni. Wanasema utaniunga Kwa Tsh 13000/= na...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapata njia mpya ya kudhibiti rushwa kwa Askari Polisi , nchi zingine ziige

  13. JamiiForums Tanzania Mfahamu mrithi wa Marehemu Maalim Seif, Mh. Othuman Masoud Othuman

    Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Muonekano mzuri wa Stendi mpya ya Mbezi umeharibiwa na Siasa zetu za kutafuta sifa kwa Wanyonge waliobatizwa Masikini

    Kama muonekano ule mzuri kuanzia Jengo zima na mandhari ya pale leo hii umeanza Kuharibiwa kwa Wanasiasa wetu Wanafiki wanaocheza na Uelewa mbovu wa baadhi ya Watanzania uliochanganyika na Ushamba wao kwa Kuwaruhusu hadi Wamachinga, Mama Lishe na Vibaka wajazane mule ndani Stendi hadi kuleta...
  15. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kuelekea 2025, Hii ndio safu Mpya tunaypoitaka CCM baada ya Dkt. Bashiru kuondoka

    Kwa siasa za sasa ni dhahiri tunahitaji Katibu Mkuu anayekijua Chama from the scratch. Aliyekulia ndani ya Chama na aliyepikwa ndani ya Chama. Tumeona madhara ya kuchukua watu juu kwa juu. Ndio maana sasa tunatumia jukwaa hili kushauri namna mpya ya kusuka Chama Cha Mapinduzi. Kwa kuteuwa watu...
  17. JamiiForums Tanzania Heri ya wiki mpya na mwezi mpya

    Kumekucha. Ni siku mpya, wiki mpya na mwezi mpya. 1/3/21. Tuendelee kupambana huku tukilinda afya zetu katika nyakati hizi zenye changamoto lukuki za afya. Mungu abariki makusudio yetu. Amin.
  18. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  19. JamiiForums Tanzania Stendi mpya ya mabasi ya Magufuli haikuwa tayari kuanza kutumika

    Habari za muda huu na ni matumaini mko wazima wa afya. Straight to the matter, hiki kituo kipya cha mabasi ya mikoani hapa Dar es Salaam yaani Magufuli Bus terminal hakikuwa tayari kuanza kutumika. Ilitakiwa kipewe muda kidogo ili kiwe sawa. Leo nimefika toka Morogoro muda huu kwa mara ya...
  20. J

    JamiiForums Tanzania IKULU: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa aapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na Balozi

    Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally. Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk Karibu. Updates: Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…