Mpenzi wangu kanikataa live leo

Bin Shaib

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,315
1,186
Habari za humu ,nimekuwa na mfululizo wa thread lakini na wewe utajifunza kupitia hiki kisa kilicho nitokea leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana.

Nisipoteze muda twende kisa chenyewe kama kawaida.

Nilikuwa na mpenzi wangu anaitwa Anna tumekuwa kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana cha kushangaza hatujawahi kufanya mapenzi toka tuwe kwenye mahusiano yetu.

Nimekuwa nikimwambia tufanye anakataa anasema yaye hapendi kufanya mapenzi muda huu, sababu nyingi nyingi haziishi mara asema anahamu lakini anajizuia
Amekuwa na tabia ya kutoniamiani mara aniambie ninawasichana wengine tofauti na yeye,

Imekuwa tabu kila nikimwambia kuhusu sex anaruka mita 100 na kama unataka achukie mwambie kuhusu sex ,amekuwa akitumia vitu vyangu kama vile pesa nk lakini yeye nikimwabia hata siku moja anitunuku nipunguze ganzi ananikatlia na kuniambia eti nijizuie.

Na ni binti niliye kuwa namwamini sana nikijua kama tukiendelea hivi tutafika hadi kuoana maana ni binti ambae anaonekana mpole lakini nimemsoma ni mtu ambae anaficha hisia zake za matendo .

Juzi tarehe 23.03.2020 alinitumia ujumbe kupitia mtu fulani kuwa amenimisi sana maana nisiku kama 3 nyuma tulikuwa hatujaonana basi kesho yake tukaonana lakini baada ya kuonana hakuonesha uchangamfu kabisa ndo kumuuliza kulikoni anasema siku hizi hunijali,ndo kumuliza kivipi sikujali hakuwa na majibu ya kueleweka akawa amesepa hata hatujaongea vizuri dah nikabaki nimejiinamia nabofya simu tu .

Nikajisemea moyoni huyu tunapo elekea sijui tu basi nikawa nimesepa home.

Leo tarehe 25.03.2020 mida ya mchana nimekutana nae nikamuita akanilia buyu nikasema poa isiwe noma nikaamua kumfata nikamsimamisha maeneo tukabonga lakini alionekana hana mood yoyote nikamuuliza kulikoni mbona hivi, akanijibu wewe siku hizi hunijali ,kuna vitu akawa haviongei.

Nikamwambia mbona mahusiano yetu siyaelewi yanaelekea wapi, naona kama hueeweki nikaamua kumwambia we niambie tu ukweli kama hunipendi nijue kabisa nawala usinifiche.

Akafununguka akaniambia tuachane kila mtu ajue lake, mi nikamwambia poa wewe usiwaze kuwa na amani moyoni, mimi sitaki tena kumubembeleza maana inavoonekana nahisi atakuwa na jamaa huko ambalo linampa kiburi,

Nimeapa sitotoa msamaha wowote juu yake labda ikitokea anakuja kujitetea maana naona ni kama dharau ambayo ananifanyia na mwisho wa siku ntaonekana lofa.

Nishatoa maamuzi ya kiume na uzuri nilikuwa nampenda lakini nikaweka balance ya upendo nilijua hata tutapo kuja achana nisiumie.

Kuanzia jioni ya leo ameanza kunichunia.

Mpaka hapa sijajua nikipi kilicho mfanya achukue maamuzi ya haraka kama hayo ambayo sikuyategemea.

Sijui alinishauri nani...

©Bin Shaib Classic 2020
 
Aisee Pole Sana, Umeumia kweli Mpaka Umeamua kumfungulia Uzi Mkuu
.
Unasubiri nini home boi ? Fanya Mchakato ingiza Chuma ingine kali
Asante mkuu hii ndo itanifanya nitafute chuma kipya, nilikuwa namheshimu japo alikuwa hajagundua upendo wangu upo wapi na kiukweli nilikuwa nampenda lakini hakujua mwenye upendo wa dhati ni yupi, lakini nimekubali aende labda halikuwa fungu langu.
 
Subira yako ndo iliyokupoonza, ngoja ngoja waaonekana zooba, kwa sababu ulimpenda kwelii ila yeye kakufany sehemu ya matumizi yake tu ilihali mashine imeshikiliwa na wengine, wanapinga vya ndani wewe unaambiwa subiri,
Usiruhu msamaha kwa demu kama huyo msikilizie tu siku akikuta jamaa anaepiga mzigo anadem mwingine atakuja hahaaa
Subiri na subira ukiwa na akili mkichwa,
Hivi hivi tu mkuu utaliwa kekundu.
 
Daaaaah,nahisi kama umenikumbusha maumivu ya miaka hiyo ilopita na sitokuja nisahau na siwezi muamini kiumbe yeyote anayeitwa mwanamke,POLE SANA,ACHA KWANZA MAUMIVU YAPITE NDIPO UFANYE MAAMZI UPYA
poa mkuu ntafanya hivo
 
Subira yako ndo iliyokupoonza, ngoja ngoja waaonekana zooba, kwa sababu ulimpenda kwelii ila yeye kakufany sehemu ya matumizi yake tu ilihali mashine imeshikiliwa na wengine, wanapinga vya ndani wewe unaambiwa subiri,
Usiruhu msamaha kwa demu kama huyo msikilizie tu siku akikuta jamaa anaepiga mzigo anadem mwingine atakuja hahaaa
Subiri na subira ukiwa na akili mkichwa,
Hivi hivi tu mkuu utaliwa kekundu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wala sina mpango wa kutoa msamaha kuhusu hili, kumbe binti ukiwa unamshobokea anakuona bonge la fala, kweli hapa nimejifunza kutokana na makosa.

Mkuu usiombe mapenzi ya udanganyifu yakukute.
 
1. Huyo hakuwa mpenzi wako bali ni rafiki tu. Mpenzi maana yake mnafanya mapenzi

2. Siku zote unapokua na mwanamke, hakikisha kila unapokutana nae uhusiano wenu unapiga hatua kutoka point moja hadi nyingine! Mfano kama leo mmetoka out, next time mkitoka tena hakikisha unakula mate, next time unakula mate na kumchezea nyonyo na papuchi if possible, next unakula mzigo! Mwanamke akishaona hakuna progress anaboeka na mwisho anakupiga chini maana anaona hujielewi unampotezea muda tuu kila akija hamna kinachoendelea na wakati huo kuna wenzio 37 wanamsarandia na wanafanya kweli.

3. Sijui turudie kusema mara ngapi, MWANAMKE HAOMBWI KU SEX!! Ukikaa unamuomba mwanamke ku sex nae hutakaa ule papuchi wewe utakua unaachwa kila siku. Jifunze kutengeneza mazingira ya kula mzigo bila kuomba omba.

4. Jenga utamaduni wa kuwa na marafiki wengi wa kike kila wakati. Ukiwa na kamwanamke kamoja tu kila siku unakafuata fuata hako hako hua unaanza kuonekana poyoyo tuu na unapoteza mvuto kwake. Huo mda wote unaopoteza kumfuatilia mwanamke mmoja ungeshakula wengine kama 8 watam kuliko huyo.
 
Daaaah umefeli sana mkuu..ukikuwa mzitoo mkuuu... unawezaje kukaa kwenye mahusiano na demu kipindi chote hicho bila kumgegeda aisee.. Ilibidi umgegede hataka sana huyo demu... Faah ulifeli sana . Jitahidi umrudishe kwa namna yoyoye na umgegede haraka sana .

Mkuu jifunze kuelewa lugha za wanawake akikuambia sitaki/subiri/vumilia jiongeze hapo tengeneza mazingira ya kumla kimasihara tuuu.

Mkuu kuomba mgegedo hatuanzi kutongoza tena upyaaa ulifeli sana mkuu... Huyo manzi ilibidi umlie taimingi tuuu unambananisha kwenye 18 lazima ungekula tena si ajabu hayo yote yasingetokea.

Ila pole sana mkuuu, umetufedhehesha sana sisi mabaharia. Hebu nenda kasome ule uzi pendwa Jf Wa KULA TUNDA KIMASIKHARA UTAONDOKA NA KITU FULANI KITAKUSAIDIA Sana kupunguza uzito katika suala la kugegeda mapema
 
Ila hayo mapenzi yenu ya kishule shule... Hako ka anna kanaliwa na wengine tu kijana. Vibinti vya hivyo uwa vinaliwa na wenigne kirahisi we unahudumia tu

Naamini mkuu maana kama kweli anakupenda hawezi kukufanyia mambo kama haya, akiwa na mimi ananambia kuwa sina mpenzi hapa tofauti na wewe.

Hawa mademu sitokuja kuwaamini hata kidogo.
 

Similar Discussions

10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom