Hawachi: Mwisho wako kutoa pesa kumpa mpenzi ilikuwa kiasi gani?

CONTROLA

JF-Expert Member
Sep 15, 2019
6,939
22,989
Hili swali kuna mtu katandikwa na member wa kuitwa Hawachi kwenye thread moja hivi.

Yule jamaa sijui alimjibu nini, nikasema hivi kwa mfano hilo swali ningeulizwa mimi, ningejibuje?

Kusema la ukweli

kusema la ukweli

kusema la ukweli

Mimi mara ya mwisho kutoa pesa ilikuwaaaaaaaa......... (asee sijawahi,nisijichumie dhambi)

Nyie vibopa hebu semeni nyie

Mimi huo ndio ukweli wangu

how-to-get-someone-to-pay-you-back.jpg
 
Hivii mkuu na siye tunapaswa tuseme tulitoa shilingi ngapi kuwasaidia wapenzi wetu wa kiume??
sio mbaya ukituambia mkuuu ila kwa wewe una condition fuatayo

"uwe umempa wewe kwanza kabla hata siku 1 hujawahi kula senti yake yani tuambie

umeshawahi kutoa sh ngapi kwa mpenzi wako,na haukua umepokea hata sh kumi yake before"

maana nyie mnamtindo wa kuturudishia hela zetu zile zile tulizowapaga
 
Nliwah kumpa 50,000...ila nliidai wakati tunaachana
 
Ngoja nami nisake girl..Inaonyesha maisha mepesi ukiwa na mpenzi
huo ndio ukweli halisi

ukiwa na mpenzi maisha ni simple sana ila tu hakikisha awe ni mpenzi kweli

na sio ATM MACHINE...U kiona umempata mpenzi nae maisha yanazidi kuwapiga

Muoe huyo mwanamke awe mkeo, Maisha yakizidi kuwapiga tena tafuteni mtoto (baraka zitakuja)

Ukishakua na familia milango yote iliyozibwa inafunguliwa.
 
Back
Top Bottom