Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

The MVP Tricks

New Member
May 9, 2020
2
0
Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini.
Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa
maduka ya dawa,
pharmacy,
duka la simu,
duka la urembo (lipstick, lipbum, nywele, cheni, Pete, hereni,)
Kituo Cha afya(health center)
dispensary
hospitali
Ofisi binafsi
studio ya picha na passport
kuwa Tunazo bahasha tunauza kwa Bei nzuri na bahasha yenye imeandaliwa kwa ubora mkubwa kwa design nzuri ya biashara husika.

Bahasha za dawa zipo hivi.

Ya kuwekea SYRUP Inaitwa
DAWA-S2 Zipo bahasha 100 @30 inauzwa TSH 3,000/=

Ya kuwekea dawa za BLISTERS
DAWA-S3 Zipo bahasha 100 @25 inauzwa TSH 2,500/=

Ya kuwekea dawa Kama aspirin
DAWA-S4 zipo bahasha 100 @20 inauzwa TSH 2,000/=

Na hii Ni mwenye kuhitaji kuweka dawa zaidi ya 3-5 inaitwa DAWA-S1 Bahasha 50 @ 100 inauzwa TSH 5,000/=

MAWASILIANO: 📞0685564008
WhatsApp: 0685564008
Instagram: @deo_vifungashio na @deovifungashio

Kwa wateja wanaokaa ndani ya manispaa ya DODOMA MJINI NA NJE YA MANISPAA NA HATA WALIOPO MIKOANI upataji wa mizigo upo hivi.

1. Weka Oda yako mapema kabla ya kuishiwa bahasha ulizonazo saa 24-48 kabla ya tarehe unayohitaji kupokea mzigo
.
2. Utalipia advance ya 70% ya ela yako ili tuishike Oda yako na Kama kutakuwa na upungufu wa materials Basi tutaongezea ili kazi yako ikamilike sawa na unavyotaka. Ukiisha kupokea mzigo utatumalizia 30% iliyobaki. Utapewa na risiti yako ya malipo.

3. Tunatuma mzigo popote ulipo kwa kuangalia gharama za usafiri utachangia kidogo kwa wale wa mikoani tsh 5,000/= tu. Na WALIOPO mjini mzigo utalipia TSH 1,000/= ya nauli tutafikisha mzigo Hadi ofisini kwako.

Bahasha za urembo Kama cheni Pete hereni lipsticks lipbum na vingine vingi wajasiriamali na wenye maduka
UREMBO-S2 Ni ya nywele au vitu vongivingi
TSH 3,000/=

UREMBO-S3 Ni saizi ya kati lipbum hereni kubwa
TSH 2,000/=

UREMBO-S4 Ni ndogo ya Pete hereni
TSH 2,000/=

PICHA NA PASSPORT

Picha 5×7
Bahasha inaitwa PICHA-5×7
zipo bahasha 100 @30 Ni TSH 3,000

Passport
Bahasha yake inaitwa
PASSPORTS4 Zipo bahasha 100@20 Ni TSH 2,000/=

MAWASILIANO: 📞0685564008
WhatsApp: 0685564008
Instagram: @deo_vifungashio na @deovifungashio

Kwa wateja wanaokaa ndani ya manispaa ya DODOMA MJINI NA NJE YA MANISPAA NA HATA WALIOPO MIKOANI upataji wa mizigo upo hivi.

1. Weka Oda yako mapema kabla ya kuishiwa bahasha ulizonazo saa 24-48 kabla ya tarehe unayohitaji kupokea mzigo
.
2. Utalipia advance ya 70% ya ela yako ili tuishike Oda yako na Kama kutakuwa na upungufu wa materials Basi tutaongezea ili kazi yako ikamilike sawa na unavyotaka. Ukiisha kupokea mzigo utatumalizia 30% iliyobaki. Utapewa na risiti yako ya malipo.

3. Tunatuma mzigo popote ulipo kwa kuangalia gharama za usafiri utachangia kidogo kwa wale wa mikoani tsh 5,000/= tu. Na WALIOPO mjini mzigo utalipia TSH 1,000/= ya nauli tutafikisha mzigo Hadi ofisini kwako.

BAHASHA ZA KUUZIA SIMU, VIOO VYA SIMU, PROTECTORS
bahasha ya simu
Inaitwa SIMU-S2/Box karatasi 50 100 inauzwa TSH 5,000/=

Bahasha ya protectors
Zipo bahasha 50 @50 inauzwa TSH 2,500/=

Karibu DEO VIFUNGASHIO tukuhudumie.
 
Back
Top Bottom