Ukiachana na mpenzi wako ondoka na kila kitu chako pamoja na vitambulisho vyako

Rebeca 83

JF-Expert Member
Jun 4, 2016
14,840
31,583
Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine.

Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe..

Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri..

Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na mataifa mengine..kuwa waangalifu..

Kuwa muangalifu nawakumbusha tuu..kitambulisho,number za bank..ni vitu ambavyo unayekua nae asivijue unless ni mumeo/Mkeo..na mkiachana badilisha kila kitu..

Dunia imebadilika
 
Sio wote uliowahi kuwa na uhusiano na wewe ni watu genuine...

Wengine wapo kwa sababu zao wenyewe..

Kwa kua wizi wa Identity umeshamiri..

Nawapa tu reminder especially wale wenye mahusiano na mataifa mengine..kuwa waangalifu..

Kuwa muangalifu..nawakumbusha tuu..kitambulisho,number za bank..ni vitu ambavyo unayekua nae asivijue unless ni mumeo/Mkeo..na mkiachana badilisha kila kitu..

Dunia imebadilika
Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.
Dah!
 
Kwenye ule uzi wa website ya magonjwa ya akili niliomba kama kuna mtu yuko karibu na huyu dada ajaribu kuwa naye karibu na kumsaidia. nasisitiza tena jamani msaidieni mwenzenu.

Unazingua aisee….je unataka unione live uthibitishe kuwa mie ni mzima?? Magonjwa ya akili nataka kufanya research kwenye hilo eneo...acha kuzingua bob..
 
Back
Top Bottom