Kumpata mpenzi mara nyingi huwa ni ngekewa

rula

Member
Aug 26, 2019
66
146
Habari wana JF

Suala la kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi ni suala la msingi sana katika maisha ya kila mwanadamu.

Kuna muda kupata mtu wa kuwa nae kwenye mahusiano inakuwa ni changamoto kubwa sana hasa kwa baadhi ya sisi ambao unakuta Muonekano hauna haiba, huna elimu, huna pesa, mfupi, maisha hayaeleweki, hata ukifanikiwa kuwa na msichana anakuta maumbile ni madogo, huwezi kuperform mda mrefu yani kila kitu kiko upside down. Ukikutana na mwanamke mkadumu miezi sita unaona kama anakuonea tuu huruma na wala hakupendi

Ila kila mtu ana wa kufanana nae
 
You are not alone Sir
Wanao kama Wewe Tupo uskonde
Japo ni kweli kabisa kuwa ktk Mahusiano ni jambo la msingi

I only dated once and it lasted for 4 months
 
Unaweza jishangaa kwanini muda mrefu hupo single kumbe ndugu zako wa kijiji huko wanakuombea husiwe Malaya


Atletico Madrid wamechimba kaburi refu Nina wasiwasi watashindwa kulifukia

Am not fan of liver but am speak about football
 
Utapata tabu kama unapenda kuwa na mahusiano na watu wasiokuwa type yako,nenda na wale unaofanana nao,mbona wako wengi sana,yaani ni wa kumwaga.Mfano,wewe ni mfupi lakini unatamani wanawake warefu ambao hata maumbile yenu ni tofauti,wewe huna hela unajingiza kwenye mahusiano na mwanamke mwenye hela au ambaye kazoea kuhongwa hela ndefu,wewe unajijua una maumbile madogo unatafuta mahusiano na mwanamke mrefu ambaye kibaiolojia hata maumbile yenu yanapishana sana,wewe huna gari unaenda kuanzisha mahusiano na mwanamke ambaye ana usafiri n.k.n.k...tafuta yule unayefanana naye...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom