Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
Nilikutana na huyu binti miaka 3 iliyopita akifanya kazi hoteli moja hapo DSM ambapo nilikuwa nimefikia, kutokana na macho kupenda tukakubaliana na kucheza mechi ugenini. Baada ya hapo tukaendelea kuwasiliana, na wakati mwingine nikienda mikoa mingine nilikuwa nawasiliana naye anakuja kunipa kampani.
Tulikuja kuachana, baada ya kukaa naye siku 3 tukipeana dozi, na baada ya hapo nilitakiwa wiki inayofuata nikaonane na familia yangu. Baada ya kufika kwa bi mkubwa, mashine iligoma kusimama, ndipo bi mkubwa akafanya utafiti ikagundulika nilichepuka; na huyo mchepuko kuna kitu alinifanyia. Baada ya hapo nilivunja mawasiliano.
Sasa leo, nimeingia kwenye akaunti yangu fb nakuta meseji ya urafiki....kuangalia vizuri, ni yeye. Nikamkubalia, baada ya hapo tukaanza kuchat..pamoja na kunitumia picha za kiutu uzima..huku akisema amelikumbuka penzi langu na hata sasa kama namuhitaji anaweza kuja ili tupeane raha.
Nikiangalia hizo picha kweli amenona, na kichwa kikubwa kimezidiwa maarifa na kichwa cha chini. Hofu niliyonayo, sina uhakika na mabaharia aliokutana nao kiafya, kwa sababu mimi huwa napenda mechi kavu.
Nataka nimwambie kama inawezekana apime afya kama iko powa ndio aje anitembelee. Kwa hali hiyo wakuu mnanishauri je?