Je ni sahihi kumpangia Mpenzi wako aina ya mavazi ya kuvaa na ambayo hapaswi kuyavaa? Ama kumwambia kufuta aina ya picha kwenye mitandao ya kijamii?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha

Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na ni sahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
 
Ni sahihi kabisa kumkataza mpenzi (wa kike au wa kiume) wako kuvaa baadhi ya mavazi ambayo siyo ya stara, au hayana hadhi kuonekana machoni kwa watu wengine na ambayo ni ya "kihuni" (kwa wanaume) kama hayakupi amani moyoni.

Kuhusu picha za kupost mtandaoni ni sahihi pia kumwambia "picha fulani sijaipenda naomba uiondoe ". Ndiyo mapenzi hayo ili wote muwe kwenye right track asiwepo anayekereka na tabia za mwenzake huku zinawezekana kubadilishika.
 
Alikua hvyo kabla hamjaanza mahusiano na uliona kawaida na inawezekana ulivutiwa navyo pia kwa wakat huo...

Swala la kumbadilisha Kimavazi ama kufuta picha halitakiwi kua la shuruti bali hiari yake....

Kuna dada alikua mtu wa Vimin sana kipindi tunasoma, Akapata mume akambadlisha akawa full tym hijab kuja kumuona nkashangaa ila akaniambia tu Nampenda mume wangu nmefata anachokipenda yeye.
 
Ni sahihi kabisa kumkataza mpenzi (wa kike au wa kiume) wako kuvaa baadhi ya mavazi ambayo siyo ya stara, au hayana hadhi kuonekana machoni kwa watu wengine na ambayo ni ya "kihuni" (kwa wanaume) kama hayakupi amani moyoni.

Kuhusu picha za kupost mtandaoni ni sahihi pia kumwambia "picha fulani sijaipenda naomba uiondoe ". Ndiyo mapenzi hayo ili wote muwe kwenye right track asiwepo anayekereka na tabia za mwenzake huku zinawezekana kubadilishika.
Wewe jamaa yako alishakuzuia?
 
Wewe jamaa yako alishakuzuia?
Unajua tukisema kupangiana mavazi haimaanishi kumzuia tuu kuvaa mavazi yasiyositiri mwili. Inamaanisha kimzuia stail yoyote ya mavazi ambayo hayakufurahishi.

Mfano "dera" linasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae wangu akiwa namba moja.
Magauni marefu, yanasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Kuvaa nguo nyingi, kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.

Suti ni vazi la heshima ila kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae pasipo ulazima , mfano mimi.
Surual zile za kubwaga au pana za wanaume ni za heshima lakini kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae.

Sijui kama unanielewa ninachojaribu kusema.

Mavazi unayoyaona siyo ya kustiri mwili huko mtaani, kuna wanaume ndiyo wanapenda akitoka na mpenzi wake ndio awe amevaa hapo ndiyo wanasikia raha, na siyo uvae kama unaenda kuimba kwaya kanisani. Hivo hamna kanuni.

Kwahiyo Mzee toboa sitakujibu kuhusu mimi ila nimejiskia kukupa hii, ila ukisoma vizuri utapata jibu.
 
Ni sahihi kabisa kumkataza mpenzi (wa kike au wa kiume) wako kuvaa baadhi ya mavazi ambayo siyo ya stara, au hayana hadhi kuonekana machoni kwa watu wengine na ambayo ni ya "kihuni" (kwa wanaume) kama hayakupi amani moyoni.

Kuhusu picha za kupost mtandaoni ni sahihi pia kumwambia "picha fulani sijaipenda naomba uiondoe ". Ndiyo mapenzi hayo ili wote muwe kwenye right track asiwepo anayekereka na tabia za mwenzake huku zinawezekana kubadilishika.

Nakuunga mkono Paula ushauri wako mzuri kama lilivyo jina lako.

Binafsi naona pia ni sahihi kumkataza mpenzi wako kuvaa baadhi ya mavazi ya aina fulani au kupost picha au ujumbe wa aina fulani ambao kiuhalisia sio maadili katika jamii.
 
Kina wapenzi we ng I alba iwekeana ma's hart kasha was kadha

Ikiwa mpenzi wako anavaaa mavazi yasiyo mpendeza Mungu, yanayochora maumbile yake ni sahihi kumwambia afute picha alizopiga akiwa na nguo hizo? Na nisahihi kumkataza demu wako baadhi ya nguo kuzivaa?
Kimsingi tuanze kuhoji uvaaji wenyewe kabla hatujafika huko kwenye kukataza cha kuvaa. Kwa binti ambaye umekulia na kulelewa katika maadili yenye staha na kujiheshimu huwezi kutana na matatizo ya kurumbana na mpenzi wako.

Kwann uvae mavazi ya kushawishi na ukijua wazi yatavutia na kuwapa mfadhaiko wanaume ambao wanatakufuata na kukutaka kimapenzi kisha uanze sema unasumbuliwa.....

Sijawahi kuona mwanamke mwenye uvaaji wa heshima akisumbuliwa ila hawa wavaaji viwalo vya kisasa mnavyoita ni fasheni....

Kuna mavazi na fasheni inatakuwa ujue tu kuwa zitakupita bila wewe kupita nazo..... Hii ni kwa wale wanaojua kuwa mbeleni wanafuture ya kuishi hivyo hawatafanya upuuzi leo utakaowaletea shida mbeleni.

Kwahiyo mwenzako kukukataza mavazi ya aina fulani na kukutaka ufute baadhi ya picha katika mtandao ni mojawapo ya namna ya kukwambia anataka ujieshimu usimharibie amani yake ya moyo...... Mbona tukizeeka hatuvai tena nguo za kuachia maungo ili makunjanzi na matumbo yetu ya uzazu yaonekane....!!

Ni busara na hekima tu humuweka mwanamke katika uhalisia wake....

Yangu ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua tukisema kupangiana mavazi haimaanishi kumzuia tuu kuvaa mavazi yasiyositiri mwili. Inamaanisha kimzuia stail yoyote ya mavazi ambayo hayakufurahishi.

Mfano "dera" linasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae wangu akiwa namba moja.
Magauni marefu, yanasitiri mwili lakini kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.
Kuvaa nguo nyingi, kuna wanaume hawapendi wapenzi wao wavae.

Suti ni vazi la heshima ila kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae pasipo ulazima , mfano mimi.
Surual zile za kubwaga au pana za wanaume ni za heshima lakini kuna wanawake hawapendi wapenzi wao wavae.

Sijui kama unanielewa ninachojaribu kusema.

Mavazi unayoyaona siyo ya kustiri mwili huko mtaani, kuna wanaume ndiyo wanapenda akitoka na mpenzi wake ndio awe amevaa hapo ndiyo wanasikia raha, na siyo uvae kama unaenda kuimba kwaya kanisani. Hivo hamna kanuni.

Kwahiyo Mzee toboa sitakujibu kuhusu mimi ila nimejiskia kukupa hii, ila ukisoma vizuri utapata jibu.
Naam Miss. Nimekupata.
 
Wakati mnatongozana ulimkuta na mavazi yapi?. Tuanzie hapo kwanza
 
Hahahah we jamaako anaonekana anapenda usasa, uonekane sexy 🤣🤣🤣
 
Kimsingi tuanze kuhoji uvaaji wenyewe kabla hatujafika huko kwenye kukataza cha kuvaa. Kwa binti ambaye umekulia na kulelewa katika maadili yenye staha na kujiheshimu huwezi kutana na matatizo ya kurumbana na mpenzi wako.

Kwann uvae mavazi ya kushawishi na ukijua wazi yatavutia na kuwapa mfadhaiko wanaume ambao wanatakufuata na kukutaka kimapenzi kisha uanze sema unasumbuliwa.....

Sijawahi kuona mwanamke mwenye uvaaji wa heshima akisumbuliwa ila hawa wavaaji viwalo vya kisasa mnavyoita ni fasheni....

Kuna mavazi na fasheni inatakuwa ujue tu kuwa zitakupita bila wewe kupita nazo..... Hii ni kwa wale wanaojua kuwa mbeleni wanafuture ya kuishi hivyo hawatafanya upuuzi leo utakaowaletea shida mbeleni.

Kwahiyo mwenzako kukukataza mavazi ya aina fulani na kukutaka ufute baadhi ya picha katika mtandao ni mojawapo ya namna ya kukwambia anataka ujieshimu usimharibie amani yake ya moyo...... Mbona tukizeeka hatuvai tena nguo za kuachia maungo ili makunjanzi na matumbo yetu ya uzazu yaonekane....!!

Ni busara na hekima tu humuweka mwanamke katika uhalisia wake....

Yangu ni hayo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mwanamke wa kumpangia hivyo labda uwe umemzidi kila kitu na yeye na familia yake wanakutegemea 100% !!! Hawa watoto wa kileo mtaishia kubishana tu...
 
Utaambiwa unamkosesha uhuru au unamfatilia sana 🤣🤣🤣!!! Ila haya hutegemea na umri, lets say una date na katoto ka 21 yrs unategemea utampangia kuvaa vitenge wakati anataka aende sawa na fasheni aache mapaja wazi😂😂😂!!!

Limit labda uifanye akija kwako au akijua mnakutana avae hayo upendayo! Ila ukitaka kulazimisha aishi utakavyo utaishia kuitwa Controlling freak.
 
Back
Top Bottom