mpenzi

  1. sungura23

    JamiiForums Tanzania Upweke umenishinda jamani... mdada karibu kwenye maisha yangu

    Habarini wana JF? Hatimaye nimenyoosha mikono, upweke unanikondesha hivyo nimeamua kufunguka. Nahitaji kampani ya kike, sina ubaguzi sana ila yafuatayo yazingatiwe: 1. Uwe mchangamfu. Yaani uwe mdada ambaye unaweza kuwa huru kunitania, kunichokoza, uwe na stori za hapa na pale yaani kifupi...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo dada zetu wanapoanguka

    Hivi sasa kumekuwa na jopo la wanawake kurudia wapenzi wao wa zamani baada ya kuona kule walipoenda mambo si mambo. Si kwa wote lakini. Moja kati ya kiu kinachowasumbua viumbe hawa ni ile ndoto yao ya kuwa na mpenzi wa aina fulani. Kuwa na ndoto si kosa ila ndoto na uhalisia wa maisha ni vitu...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Jamani mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi saa, inawezekana ana mimba au?

    jamani habari za saa hizi mpenzi wangu hajapata siku zake mwezi sasa hivi ina wezekana ana mimba au?
  4. Mstarabu kiona

    JamiiForums Tanzania MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

    Binadamu ni walele walioko mitandaoni na walioko majumbani au mtaani ni walele tu. Naona kuna wanaume au wanawake maneno yanawatoka kusema ety ""siowezii kuwa na mahusiano ya kimapenzii na mtu tuliekutana mtandaoni"". Huko ni kutokujiaminii maana ata wewe unaejifanya unazo Akili na kujitambua...
  5. DLRider

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda wa nilivyoumizwa na mpenzi wangu - NAWE ANDIKA WA KWAKO TAFADHALI

    Wote tumekuwa katika mapenzi. Kwa bahati mbaya mapenzi huwa yanaumiza na watu tunaumia sana hadi baadaye ndio hayo maumive yanatupa mafundisho. Tusaidiane kwa kuandika visa mbalimbali vya tulivyoumizwa na wapenzi wetu. Mimi Nitaanza: Mwaka juzi nilimpenda sana mdada mmoja Arusha. Tukawa na...
  6. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Ladies kama mpenzi wako hana pesa solution ni kutafuta kazi sio mpenzi mpya

    Sio siri hii kitu iko wazi na nimeshawahi kushuhudia watu wangu kadhaa wakikumbwa na hii kadhia! Unakuta mtu yupo na mpenzi wake katikati ya mahusiano mambo yanakuwa tight ghafla labda mchizi kapoteza kazi hela imekata, approach ambayo ataitumia mpenzi wake ni kuhama tawi yani kuhamishia mapenzi...
  7. J23

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 27, natafuta mpenzi wa kike Dar

    Habari wana JF, Mimi ni mvulana miaka 27 ni mfanyakazi katika taasisi fulani hapa Dar. Mimi naingia kazini kuanzia saa 1.30 asubuhi na kutoka saa 12 jioni hivyo mda mwingi nakua kazini. Naishi temeke. Natafuta mpenzi awe sifa zifuatazo; 1. Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 25 2. Asiwe...
  8. Saguda47

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukifanya maandalizi kibao halafu mpenzi asitokee kwenye miadi?

    Habarini za wikend wadau, bila shaka mu wazima na kwa wenye hitilafu kiafya Mwenyezi Mungu awapeni wepesi. Ipo hivi: Unamfatilia binti kwa mda mrefu weee halafu mwishowe anakubali mnapanga siku ya kukutana (appointment) unamsihi aje kwako ( yaani gheto) mtoto anakubali anakwambia atakuja...
  9. Hornet

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kuvaa nguo ya mumewe/mpenzi....

    Umeshawahi kukutana na hili? Utajisikiaje/unajiskiaje unavyorudi nyumbani unamkuta bibie amevaa shirt/t-shirt/pensi ama surual yako? Au akaomba kuvaa saa yako wakati anatoka! Unafikiria nini juu ya mwanamke kama huyo?
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?

    Baada ya hayo sasa tunarudi katika mada yetu ya leo, nazungumzia juu ya tabia za baadhi ya watu walio katika uhusiano kupenda kuwapiga 'mizinga' sana wenzi wao. Tabia hii ipo zaidi kwa upande wa wanawake, ingawa siku hizi hata wanaume nao wameingia katika mkumbo huu. Siyo ajabu kumsikia...
Back
Top Bottom