Ulishawahi kuwa na mpenzi aliyekeketwa

KING HAM

Member
Nov 25, 2019
23
11
Habari zenu wakuu,

Kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliyekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo.

Je, nikweli au niuzushi tu? Nawasilisha ✍️
 
Kufika kileleni ni atafika tu kwakua kisimi siyo chenyewe tu chenye uwezo wa kufanya mwanamke afike kileleni.

Hilo la kwanza. La pili kuna utafiti ulionyesha ya kua kisimi ni zaidi ya haka kaishu ka hapa juu. Kimeanzia ndani mpaka huku nje, hata inayodaiwa ni G Spot actually ni sehemu ya kisimi ya ndani.

La tatu. Kumekua na ripoti za watu kufika kileleni kwa kupapaswa nywele au mikono, au kwa kupitia kuchezewa mknd so kukeketwa siyo mwisho wa mdada kufika kileleni.

Badala yake kukeketwa ina hatari zaidi ya kufika kileleni, mfano ni chanzo kikuu cha fistula na kumuachia mkeketwaji PTSD.
 
Kweli kabisa maana wangu anamwaga bila kuchezewa kisimi ndani kuna miguso utakayo gusa bao hiloo anatoa labda aseme mwanamke anahofia kujiweka kwa mwanaume sababu ya maumbile yake yalivyo
 
HABARI ZENU WAKUU, kuna story leo kijiweni kwetu tulikua tunaizungumzia wadau wanadai eti mwanamke aliekeketwa hawezi fika kileleni wala hana hamu na tendo Je nikweli au niuzushi tu? Nawasilisha ✍️

Mie nilikutana naye, mmasai buana. Mechi ilikuwa mechi ngumu kiukweli nilipigiza kila style hakuonyesha hata dalili za kufika kileleni.
 
Back
Top Bottom