Habar Mwanajukwaa la Mahusiano.
Kuna jambo nimelifatilia sana ila sijapata majibu shida hua ni nini haswa?
Yani Mwanamke A anakua yupo kwa mahusaiano na mwanaume B ikitokea A Na B wakaachana Hua haichukui Round Mwanamke unasikia ana Mtu wake Mwingine tena mbaya zaidi Asilimia kubwa unakuta...
Jamani, kichwa cha Habari kinajieleza.
Mimi nilikuwa na mwanaume nimemzidi miaka 10, mwanzoni hata haikuwa serious maana tuko tofauti,
ila mi ni wale wanawake ambao nikiwa na mwanaume basi bahati hazimkauki (nna walinzi)
Baada tu ya miezi 3 nikapata kazi na kijana akapata kazi ya pili tena...
Dear men,
Unapokutana na mwanamke na ukatokea kumpenda, tenga muda wa kumfahamu vizuri ujue size yake.
Muhimu kufahamu vitu anavyopenda na gharama zake. Mfano: mavazi, mitindo ya nywele na mambo mengine kadha wa kadha.
Muhimu sana kuwa makini na mazungumzo yake. Lugha yake kama ni ya staha au...
Kwenye pitapita zangu mtandaoni nikakutana na hii convo ya wapenzi wanaoishi mbalimbali.
Angalia hapa jinsi mahusiano ya mbali yanavyoendeshwa na hawa watu.
Nimekupenda/ kukutamani nimekuvuta kwa hela nawe ukavutika,nikakutunza,nikakutumia vya kutosha mpaka nikawa sioni tena jipya kutoka kwako.
Siku nikitaka kubadili ladha,tafadhali usinikatalie maana natumia pesa zangu kuwa enjoy nyie omba omba.
Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike.
Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
Kwema?
Jamani, kina dada wenzangu kuna aina flani hivi wa viumbe vya kiume wamekuwa adimu sana, sasa ukimpata anayekufikisha kibo, halafu anakupa hela, yaani anakutunza aiseee huyo shikamana nae, weka ugolo machoni na pamba sikioni usione mwingine yeyote maana hiyo ni Total Package.
Kuna wale...
Hii ni kwa ma men.
Wengi wenu hamna wapenzi, mko single sema tu mna mabinti ambao wanawauzia bidhaa zao ingawa mnawaita wapenzi. Hata kama jana mlikutana mkazurura (kula bata) ukagharamia kila kitu, 60k- 70k ilikutoka.
Leo asubuhi mwambie akutumie 10k chap una shida utaona sarakasi zake...
Inatokea kuna umepata mwenzako penzi ni moto ila ghafla mkapotezana bila mawasiliano hata kwa miaka kumi
Ghafla mnakutana upya hasa ukiwa kwenye ndoa ama mwenzako akiwa kwenye ndoa
Je uliwahi kutana na aina hii kitu ?
Katika mahusiano kukosoana hata ikiwa kwa ukali si kumshambulia mpenzi wako, bali ni kuboresha uhusiano wenu.
Lakini hili litafanikiwa pale tu utakapoweka kila kitu pahala pake, sio sehemu ya kukemea unakaa kimya sehemu ya kuongea kwa upole unafokafoka.
Kwa mtazamo wangu dondoo ni hizi hapa...
Kuchoka ktk uhusiano huonekana kwa mtu kujitenga au kumuepuka mwenzi wake kwa sababu mbalimbali. Baada ya muda, mtu anaweza kujitenga kwa ufahamu au kwa makusudi kutokana na hisia za kutojali na kukosewa jambo katika uhusiano. Ingawa hii inaweza kuathiri sana mahusiano, kuna mambo hufanya ili...
Yaani tangu nihamie Dodoma 2019 nimekuwa mpweke sana, kama sio Madame B yule niliyejizoea wakati niko Dar 😔
Nikiamka asubuhi na kwenda kazini. Nikisharudi, kampani yangu ni Tv na games au simu yangu tu, nitajipikilisha pale au nitaoka kuku/beef na k vant kubwa pembeni pamoja na tonicwater...
Daah ama kweli ule usemi wa fear woman una ukweli.
Nilikua na mpenzi wangu mashallaah navimba naye kitaa. Mtoto kachanganyia mama mmoroni baba mbongo mweupeee. Full kuvimba naye mtaani kama hamo vile.
Siku zinakatika kila siku ananihimiza nimwoe wakati mi mpango sina, (nakula kisela).
Si...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Kijana mmoja kutoka Arusha ajulikanaye kwa jina la Idrisa Baltazari (30) amefanikiwa kumuua mpenzi wa mama yake aitwaye Manzi Yambayamba (34) kwa sababu za wivu wa kimapenzi.
Habari kamili kutoka eneo la tukio zinadai kuwa kijana huyu pia...
Msanii Harmonize amepost video inayomuonyesha akifanya jambo ambalo sio la kawaida kwa walio wengi.
ANGALIA VIDEO HAPA
Je, wewe unaweza kukunja nguo za mpenzi wako na kuzipost mtandaoni?
Written by Mjanja M1 ✍️
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025
Nimekaa chini nimefikiria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.