Mpenzi wangu sild hataki kunipa mpaka nimuoe kwa ndoa!

Mr Why

JF-Expert Member
Nov 27, 2019
1,118
1,915
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025

Nimekaa chini nimefikiria sana nimeona ni ujinga kwasababu siwezi kuvumilia nikisubiri kupita ndani kwa muda wote huo pia siwezi kutumia fedha zangu kufunga harusi ya mamilioni na mtu ambaye ameninyima Valve

Lengo langu lilikua moja tu anipe Valve nijaze upepo na niende kwa wazazi wake hata leo nipo tayari ila yeye ndiye chanzo
Nimeona nikimsikiliza inamana kuwa atakuwa amenikosea sana kwa kunipeleka atakavyo yeye wakati mm ndiye nitamgharamikia

Wakulungwa hii kwenu imekaaje kwasababu kitendo cha kukataa kutoa Valve tayari ni kosa kubwa ni sawa na kutokunipenda kwangu hiyo ndiyo tafsiri yangu

Kubwa kuliko yote anataka nibadilishe dini jambo ambalo siwezi kamwe kwanza sitaki kusikia mtu yeyote akineleza maswala ya dini

Vilevile katika maisha yangu sitaki mtu yeyote anayeneleza ujinga unaoitwa Masharti, nachukia sana masharti kwasababu siwezi kuhangaika kufanya maswala kwa fedha zangu huku nikiwekewa mashart

Blal faken….
IMG_0245.jpeg
 
Wakulungwa nimedate na binti mmoja ambaye ni bikra kwa miezi mitatu na nimempenda sana niko tayari kumuoa hata leo ila tangu nimedate nae hataki kunifungulia mlango nipite kwasababu anadai siku atanifungulia mlango ni baada ya ndoa yetu na anataka ndoa ifanyike 2025

Nimekaa chini nimefikiria sana nimeona ni ujinga kwasababu siwezi kuvumilia nikisubiri kupita ndani kwa muda wote huo pia siwezi kutumia fedha zangu kufunga harusi ya mamilioni na mtu ambaye ameninyima Valvu

Lengo langu lilikua moja tu anipe Valvu nijaze upepo na niende kwa wazazi wake hata leo nipo tayari ila yeye ndiye chanzo
Nimeona nikimsikiliza inamana kuwa atakuwa amenikosea sana kwa kunipeleka atakavyo yeye wakati mm ndiye nitamgharamikia

Wakulungwa hii kwenu imekaaje kwasababu kitendo cha kukataa kutoa Valvu tayari ni kosa kubwa ni sawa na kutokunipenda kwangu hiyo ndiyo tafsiri yangu

Kubwa kuliko yote anataka nibadilishe dini jambo ambalo siwezi kamwe kwanza sitaki kusikia mtu yeyote akineleza maswala ya dini
Unauhakika ni sild? Isiwe anataka kukuuzia mbuzi kwa gunia?
Usikubali onja kwanza mzee hapa ni mjini usifanye biashara gizani.
 
Unauhakika ni sild? Isiwe anataka kukuuzia mbuzi kwa gunia?
Usikubali onja kwanza mzee hapa ni mjini usifanye biashara gizani.
Mkuu umenena, familia yake ile hela zangu za posa na harusi wakati mzigo siujui? Labda ingekuwa chupa ya bia ndo ningesema nikifungua itapoa dadadeki
 
Back
Top Bottom