Nimesalitiwa na mpenzi wangu ambaye ni mke wa mtu

Confundido

Member
Mar 17, 2021
27
112
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu kwa zaidi ya mwaka sasa.

Nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake (alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja.

Hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande wa massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.

Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha, sijui nifanyaje?

Bado hajajua kama na fahamu lolote.
 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu. kwa zaidi ya mwaka sasa, nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake(alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja, hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande WA massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha , sijui ni fanyaje.?
Bado hajajua kama na fahamu lolote.
Andaa jeneza, sanda, sukari, mchele na unga wa uji.
 
Hongera sanaaa, ngoma droo. Kusalitiwa nayo ni mapenzi tulia kama unanyolewa, ukitaka usisalitie jifunze maubunifu na ww, mpe mpenzi wako mikito ya nguvu na uhakikishe anakojoaa, alaf unywe juice ya vitunguu ikuongezee mahanjumat
 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu. kwa zaidi ya mwaka sasa, nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake(alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja, hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande WA massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha , sijui ni fanyaje.?
Bado hajajua kama na fahamu lolote.
Wewe mjinga sana, msemee kwa mumewe.
 
Bado hushtuki kiongozi mke wa mtu kaolewa kutoka kuwa single mother , wewe umechapa na bado jirani ana chapa kwa wine .....huo si uchafu? Magonjwa ya kishamba tunayataka wenyewe na bado hujajua be alerted Taa nyekundu inakuwakia we bado unaendesha gari ngoja tuone!!!!
 
Duuh, kuchapiwa inauma sana aisee, nipo kwenye mahusiano na dada mmoja ambaye ni mke wa mtu. kwa zaidi ya mwaka sasa, nimekuwa nikimuhudumia vizuri tu yeye pamoja na mwanaye, kwani mume aliye naye ni mtu wa kusafiri hata miezi mitatu, bila kuacha matumizi, Wala hamjali huyo mtoto kwa sababu siyo wa kwake(alioa single mother), tunaishi naye jirani wote tumepanga nyumba Moja, hivi karibuni nimegundua anamahusiano na mtu mwingine, naye ni mpangaji, hapahapa na huwa wanaonana siku Moja Moja au hata mchana wakati Mimi nikiwa kazini, hiyo ni baada ya kupitia simu yake kwenye upande WA massage, nikaona msg zao wanavyo chati. Msg inamwambia Leo kina eleweka naye anamwambia poa njoo na wine.. hapo ndipo nilipochoka ni kasema kweli wanawake ni hatari.
Huyu mwanamke nampenda sana na shindwa kumuacha , sijui ni fanyaje.?
Bado hajajua kama na fahamu lolote.
Daaah jiran kumbe anakula huyu mwanadada, ndiomana ukiwepo shoo ananibania sana. Nikawa najua wew ni rafiki na mume wake
 
Hapo mjanja ni mumewe huyo dada..alishajua hapa nina takataka tu acha niisaidie mahala pa kuishi mengine acha aendelee kujidangia.. mtu haach matumiz ya miez mi 3 unafikir ni kawaida? Bwana huruma akajifanya kama saviour ?!..komaaa 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom