mpango

  1. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango amtembelea Mjane Janeth Magufuli

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango.
  2. Kifaru86

    JamiiForums Tanzania Wanaume ambao hawana mpango kuoa hebu njooni mtueleze nini kiliwafanya mfikie maamuzi hayo

    Kama kichwa cha habari kinavuojieleza ilikuweje ukafikia hatua ya kufanya maamuzi ya hutokuja kuoa au hiutokaa Luciano Je, tazizo ni nini?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba kwa Wazee wa Dar: Rais Samia kuteua Viongozi bila kujali itikadi za Vyama

    Rais Samia amesema kuanza sasa ataanza kuteua wachapakazi bila kujali itikadi ya kisiasa katika Serikali yake. Amewataka watanzania kujiandaa kisaikolojia kupokea mabadiliko yatakayoleta Umoja wa Kitaifa. Huko mbele katika kupanga safu za kujenga uchumi sitochagua, Mtanzania yeyote mwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

    Mh.Makamu wa Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano! Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake! Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%. Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kupata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨 Leo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Hasunga: Ushirika unalazimisha wasio wanachama kuuza mazao yao kupitia Vyama. Serikali ina mpango gani kuruhusu Wafanyabiashara kununua kwa wakulima?

    Mbunge wa Vwawa, Japhet Hasunga amesema kwa mujibu wa Sheria, Ushirika ni kwa Wanaushirika wenyewe lakini hali ilivyo sasa, Ushirika umekuwa ukiwalazisha watu wasio Wanachama kuuza mazao yao kupitia kwenye Vyama vya Ushirika. Akiwa Bungeni Dodoma, Hasunga ambaye amewahi kuwa Waziri wa Kilimo...
  6. Consultant

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

    Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango: Sitakuwa mpole kwa wanaochezea Muungano

    Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa Amesema, "Sitakubali kabisa wanaochezea Muungano wetu adhimu. Kuna baadhi ya mambo huwa watu wanasema mimi ni mpole...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango: Changamoto hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa wananchi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Kongamano Maadhimisho Miaka 57 Ya Muungano

    Kongamano hilo muhimu kuadhisha miaka 57 ya Muungano litafanyika Aprili 26, 2021 kuanzia saa 3 asubuhi Ukumbi wa Chimwaga Dodoma https://www.jamiiforums.com/threads/chato-rais-magufuli-atoa-salamu-za-maadhimisho-ya-miaka-56-ya-muungano-asamehe-wafungwa-3-973.1719702/
  10. mwanzo wetu

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Buhigwe lageuka kitendawili baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Nianze moja kwa moja kusema kuwa siasa Sasa imegeuka kuwa bidhaa Bora na biashara Bora katika maisha ya viongozi wengi hapa duniani hasa Tanzania Bila kuwaza kuwa watanzania wanahitaji maendeleo kupitia wawakilishi wao ila zaidi kujineemesha pekee. Kufuatia mh. Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa...
  11. A

    JamiiForums Tanzania Ili kuboresha elimu, Serikali iachane na mpango wa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti 'grade A'

    Katika kuboresha sekta ya elimu nchini, ni wakati sahihi wa serikali kupitia wizara ya elimu na tamisemi kuachana na mpango wa kutoa mafunzo ya ualimu ngazi ya cheti almaarufu 'grade A' Sababu ni hizi, 1. Mafunzo ya ualimu wa 'grade A' hayawaandai walimu hao kuendana na soko la dunia kwenye...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kikao Kizito: Rais Samia akutana na Makamu wake Dkt. Philip Mpango na Gavana wa BoT, Prof. Luoga

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Makamo wa Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Philip Isidor Mpango na Gavana wa Benki Kuu nchini Prof .Florens Luoga ,Ikulu jijini Dodoma leo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. Donyongijape

    JamiiForums Tanzania Open Letter: Rais Samia, TRA isiyo na Support yako, ni Kifo cha Taifa

    Mhe Rais, naomba utumie dakika chache kusoma barua hii wewe mwenyewe, na kama hautapata muda naomba wasaidizi wako wakusaidie kuusoma na kukufikikishia. Naandika haya kama Raia aliye na wasiwasi baada ya kutafakari kwa kina juu ya "TONE" yako uliyokwishaitoa hadharani kuhusu taasisi hii nyeti...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam na mpango wa eneo la Kurasini

    Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu! Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia wateja wapya toka sehemu mbalimbali, hasa majirani zetu wasiokuwa na bandari, kama DRC, Zambia...
  15. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu akutana na Makamu wa Rais Philip Mpango Ikulu ya Dodoma

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14 Aprili, 2021. -- Mama Samia hakika ni alama ya uongozi uliotukuka, anajua kupanga, anajua...
  16. Ngaliwe

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Mpango ni mpango kamili?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameendelea kuwashangaza na kuwapa matumiani Watanzania kwa namna alivyoanza utendaji wake wa kazi, taratibu na kwa uhakika anathibitisha kwamba kauli yake kwamba nchi iko kwenye mikono salama na hakuna kitakachoharibika. Uteuzi wa Dk...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

    Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga. Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje? Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo? Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Huu wote ni mpango wa kulegeza vyuma,Rais Samia bado hana slogan lakini si mbaya akichukua ile ya kazi na bata

    Habari wakurugenzi..! Kiukweli mama mpaka sasa hana slogan au msemo au kauli mbiu yeye kama rais .Maana yule alikuwa na hapa kazi tu 2015 na Kazi Iendelee 2020 .Vipi mama akiamua kuchukua ile "kazi na bata" mkamuazima mara moja mpaka miaka yake itakapokwisha 2025. Mama kweli amekusudia...
  19. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, mpango wa namba mpya za simu zitakazosajiliwa Julai Mosi kuwa na namba ya siri upoje?

    Habari wadau! Kuna SMS tunapokea kwenye simu zetu toka TCRA zinasema kwamba kuanzia sikutajwa hapo juu namba zitakazosajiliwa zitakuwa na namba ya siri ambayo ukizima simu ili kuwasha utahitaji kuingiza namba ya siri. Hili lipoje? Je, ndio litasaidia simu zetu zisiibiwe? Au ndio litakuwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia: Nafasi za uteuzi wa Ma DED na wakuu wa taasisi amwachie Dkt. Mpango huku yeye akibaki na Ma DC, RC, Mabalozi nk

    Habari zenu Wana wa JF siasa. Mama Samia Suluhu amemkabidhi VP Dr Mpango kusimamia Uchumi kwa kuwa ni mtaalamu wa nyanja hii. Nashauri pia aachiwe ateue wakurugenzi watendaji wa halmashauri mbalimbali nchini. Pia ateue wakurugenzi wa mashirika mbalimbali ya umma Kama TRA, TPDC, TPA, TCRA, nk...
Back
Top Bottom