Wasifu wa Dkt. Philip Isdor Mpango

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,945
2,000
Wakuu naomba C.V ya huyu Dr. Mpango aliyetuandalia mpango wa maendeleo unaoendelea kujadiliwa bungeni.

DKMPANGO.jpg

Education History

School Name/LocationCourse/Degree/AwardFromToLevel
University of Dar es SalaamPh.D Economics19931996PhD
Lund UniversityPh.D Coursework19901992PhD
University of Dar-es-SalaamM.A Economics19861988Masters Degree
University of Dar-es-SalaamB.A (Hons)19811984Bachelor Degree
Ihungo Secondary SchoolACSEE19761977Secondary School
Itaga SeminaryCSEE19741975Secondary School
Ujiji Seminary-19711973Secondary School
Muyama Primary SchoolCPEE19681970Primary School
Kasumo Primary School-19651967Primary School
Kipalapala Primary School-19641965Primary School

Employment History

Company/InstitutionPositionFromTo
Elimu Supplies LTDReseach Assistant19801981
Ministry of LaborEconomist19841988
Tanzania Revenue AuthorityAg.General Commissioner20152015
Ministry of FinanceDeputy Permanent Secretary20092010
President's Office Planning CommissionExecutive Secretary20102015
President's Office-State HouseEconomic Advisor to the President20072009
World BankSenior Economist20022006
University of Dar-es-SalaamEconomics Lecturer19882002
NPFPublic Relations Assistant19801980

Political Experience

Political PartyPositionFromTo
Parliament of TanzaniaMember of the Parliament20162020
Ministry of Finance and PlanningMinister20162021
 
Kimbunga

Platinum Member
Oct 4, 2007
14,357
2,000
Ana PhD ya Uchumi. Kabla ya kufanya kazi World Bank Tanzania alikuwa Mhadhiri wa Uchumi UDSM. Baada ya kutoka WB akateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla ya kuwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango. Ni mzaliwa wa Kigoma.
 
Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
5,945
2,000
Ana PhD ya Uchumi. Kabla ya kufanya kazi World Bank Tanzania alikuwa Mhadhiri wa Uchumi UDSM. Baada ya kutoka WB akateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla ya kuwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango. Ni mzaliwa wa Kigoma.
asante mkuu!kumbe alikuwa wizara ya fedha!kwa hivyo alikuwa anatupangia mipango 5 years ago leo hii tumuamini kwa kutupangia mpango wa coming 5 years.haya bana mi yangu macho.
 
rsvp

JF-Expert Member
Dec 13, 2012
841
1,000
Alikuwa anapanga mipango,lakini ilikuwa mipango haitekelezeki kwa sababu mbalimbali.sasa amepelekwa aone pesa inapopatikana ili aone ni vipi pesa ilikuwa haitoshi kupanga mipango!!!
 
jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
33,973
2,000
Alikuwa anapanga mipango,lakini ilikuwa mipango haitekelezeki kwa sababu mbalimbali.sasa amepelekwa aone pesa inapopatikana ili aone ni vipi pesa ilikuwa haitoshi kupanga mipango!!!

Tumuombee kila lililo na heri
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,089
2,000
Ana PhD ya Uchumi. Kabla ya kufanya kazi World Bank Tanzania alikuwa Mhadhiri wa Uchumi UDSM. Baada ya kutoka WB akateuliwa kuwa Naibu katibu Mkuu Wizara ya Fedha kabla ya kuwa Katibu Mtendaji Tume ya Mipango. Ni mzaliwa wa Kigoma.
Ana undugu na Kikumbi Mpango?!
 
Uliza_Bei

JF-Expert Member
Feb 17, 2011
3,203
2,000
Wachache nasema wachache, walivurugwa na utawala mbovu wa Kikwete, wanaweza kuwa watendaji wazuri katika utawala wa Magufuli
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
4,769
2,000
Kikumbi Mpango sidhani kama wanaundugu lakini huyu jamaa ni mwenyeji wa kijiji cha kasumo wilayani kasulu mkoa wa kigoma na alisomeshwa na wamisionari enzi hizo na ni dep moja nadhani na akina prof yanda ambae anazaliwa kijiji cha kajana, na kuhusu askofu Mpango wanaundgu wa ukoo na zaidi huyu bwana ana mtoto anaitwa Elisia ni daktari na hupendelea kunywa Whiskey sana mida ya jioni na ameolea Arusha pia.
 
Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
4,769
2,000
Kiutendaji yuko vizuri na ni mtu mwenye vision sana waliowahi kufanya nae kazi wanasema jamaa ni intelligent sana na hua yuko strict na kazi zake sema utawala uliopita alikwamishwa na Kikwete na yeye alikua moja ya waliokua wanaumia kuandaa mipango mizuri lakini inatupwa kabatini bila kutekelezwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom