Nyie wanadamu wenye nia ovu ya kutaka kuiua au kuidhoofisha CHADEMA, tambueni CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, na ndio maana mpaka leo kiko imara licha mabavu na hujuma zote zilizodumu kwa miaka zaidi ya kumi sasa.
Mungu haturuhusu kiumbe yeyote avuruge hiki chama mpaka pale mpango...
Nchi za kibeberu na vibaraka wao wana tabia ya kuwazushia viongozi wanamapinduzi ubaya waonekane wabaya kama shetani.
Walipofanikiwa kumpindua Kwame Nkurumah wa Ghana walimzushia uongo mwingi hadi ikawa kisiasa ghana huwezi kufanikiwa kwa kuunga mkono siasa na sera za Nkrumah. Kutokana na...
Kuna mpango mkakati uko juu unaandaliwa.
Mpango huo unahusisha kuvitumia vikamilifu vyama vya michezo mbalimbai nchini hasa Mpira wa miguu ili ku-push idadi ya watu ambao hawaja chanjwa ili wachanjwe.
Kutatokea na kikao cha siri baadhi ya watu wale walio simamisha mechi ya simba na yanga na...
SHAKA: UUZENI PROPAGANDA ZA SERIKALI KUSITISHA MPANGO WA ELIMU BILA MALIPO
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna ahadi iliyotolewa kwenye ilani ya uchaguzi ya mwaka 2020-2025 ambayo haitatekelezwa ikiwemo mpango wa elimu bila malipo na utatuzi...
Hello ,Mimi ni daktari mafunzoni ,karibu katika uzi wangu.
Punde tu baada ya wapenzi wawili kukutana kimwili wengi wazo la kwanza kuja kichwani ikiwa hawajapanga kuwa na mtoto huwa ni P2(morning after pill),haijalishi wanakutana mara ngapi,kila wakutanapo ni P2 tu.
Hivi hizi ni kanakwamba...
Magonjwa, ufukara, ujinga, wingi wa rasilimali tulizonazo, uhaba wa nguvu kazi, ukubwa wa ardhi, teknolojia duni.
Tujikite zaidi kwenye haya.
Tuna Corona, wataalam wewe hawezi hata kutengeneza chanjo ya kuzuia tauni ugonjwa uenezwao na panya
Tusimlaumu Raisi kwenye kila kitu. Hakuna mtu nambaye anajua mambo ya pesa, miradi na jinsi ya kuendesha serikali na gharama zake kuliko Makamu wa Raisi Philip Isdor Mpango. Lakini pamoja na ahadi zake za kupambana na ufisadi hajafanya kazi nzuri kupambana na matumizi mabaya ya serikali...
Rais Wetu Samia Makamu Philipo Mpango mtuongoze Milele hapa Tanzania
Hiki ni kibwagizo cha wimbo wa kikundi cha ngoma na uimbaji cha Buyegu , kwenye tamasha la Utamaduni Mwanza.
Kimenipa maswali mengi.
1. Kuna ujumbe tunaandaliwa kisaikolojia?
2. Wandaanji wa wimbo hawajui wanacho imba ama...
Ni muda kidogo huyu Makamu wetu wa Rais Dr. Philip Isdor Mpango hajasikika!
Huyu ni Mchumi japo mimi binafsi sina imani na aina ya uchumi anaosimamia ( uchumi wa kijamaa).
Inavyoonekana huyu Makamu wetu wa Rais Dr.Mpango ana mchango mkubwa sana katika kupatikana kwa mchumi mwingine katika...
TAHADHARI TAHADHARI
Punguza usumbufu kwa kutojiagizia gari mwenyewe
Na KIMOMWE MOTORS (T) Ltd- Waagizaji Magari
Mada hii fupi inakuja baada ya kuona baadhi ya ndugu zetu waliojiagizia wenyewe au kupitia watu wao wa karibu wenye uzoefu na matokeo yake gari zao zikachelewa mpaka miezi 6...
Ndugu nina wazo la kujenga ila kuweka pesa yoote kwa pamoja siwez kwa maana pesa yangu muda wote inazunguka
Likanijia wazo la kuwa nnanunua vitu vya ujenzi kama cement na vinginevyo kidogo kidogo na kuvihifadhi stoo
Naomba kwa wale wenye uzoefu tusaidiane mawazo yafuatayo;
1. Vitu gan...
Mazingira yanaoizunguka katiba mpya ni muhimu yakajulikana yote wazi wazi.
Inafahamika kuwa CCM walio wanufaika wa katiba iliyopo, hawana sababu yoyote ya kujitia kitanzini kwa kuridhia ujio wa katiba mpya kirahisi.
Kutokupatikana kwa katiba mpya kutaifanya CCM kuwa imefanikiwa katika...
Habari za midaa hii wa JamiiForums.
Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya.
Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
WIZARA YA MADINI YAWASILISHA MPANGO MKAKATI KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU NA TB MIGODINI
Na. Emmanuel Kasomi - Dodoma
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Masuala ya UKIMWI (VVU)...
UTANGULIZI:
Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania 2015-2016, umebaini kuwa kwa kipindi cha miaka mitatu kabla ya utafiti huo, wanawake wa Tanzania wanazaa wastani wa Watoto 5.2. Vilevile, uwezo wa kuzaa kati ya wanawake unatofautiana kwa makazi yao, viwango vya...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Philip Isdory Mpango amekutana na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa Diwani Athumani Msuya na kumpa pole kufuatia kifo cha Kakaye aitwaye Bisward Msuya kilichotokea Agosti 03, 2021
MHE MWENDA ATAKA MPANGO MKAKATI WA KUTEKELEZA MAJUKUMU, AKAZA KAMBA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba Mhe Suleiman Yusuph Mwenda ameendelea na ziara yake ya kupita kata kwa kata kusikiliza kero za wananchi na kuzitolea maelezo na ufumbuzi wake. Akiwa kata ya Kiomboi leo Ijumaa Julai...
Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi ambazo ni Socio-Cultural infuenced.
1. Chanjo ya Corona ni mpango wa wazungu kutuua?
JIBU: Wazungu...
Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini.
Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli.
1. Tozo ya Miamala
2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.