moto

Grand Prix motorcycle racing is the premier class of motorcycle road racing events held on road circuits sanctioned by the Fédération Internationale de Motocyclisme (FIM). Independent motorcycle racing events have been held since the start of the twentieth century and large national events were often given the title Grand Prix. The foundation of the Fédération Internationale de Motocyclisme as the international governing body for motorcycle sport in 1949 provided the opportunity to coordinate rules and regulations in order that selected events could count towards official World Championships. It is the oldest established motorsport world championship.Grand Prix motorcycles are purpose-built racing machines that are unavailable for purchase by the general public and unable to be ridden legally on public roads. This contrasts with the various production-based categories of racing, such as the Superbike World Championship and the Isle of Man TT Races that feature modified versions of road-going motorcycles available to the public. The current top division is known as MotoGP since 2002 when the four-stroke era began. Prior to that, the largest class was 500cc, both of which form a historical continuum as the official World Championship, although all classes have official status.
The championship is currently divided into four classes: Moto Grand Prix, Moto2, Moto3 and MotoE. The first three classes use four-stroke engines, while the MotoE class (new in 2019) uses electric motorcycles. The 2019 MotoGP season comprises 19 Grands Prix, with 12 held in Europe, three in Asia, two in the Americas, and one each in Australia and the Middle East.
The most successful rider in Grand Prix history is Giacomo Agostini with 15 titles and 122 race wins. In the top-flight series, Agostini holds the title record with eight, followed by active riders Valentino Rossi with seven and Marc Márquez with six. As of 2019, Rossi holds the record for most top-flight race wins with 89.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Duniani Moto kwa Pinguni moto

    Ukiwa masikini duniani unapigika na maisha, ni Bora uwe masikini lakini utende mema na kusali sana. Usipoangalia Duniani utapigika na ukifa unapigika tena Tenda wema na swali sana kabla hujaswaliwa
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kukosa bima ya chombo cha moto kwasababisha nyumba zipigwe mnada kulipa majeruhi

    Kuna jamaa kule maeneo ya Ununio nasikia ni mgambo pale Kunduchi Pwani, mwaka 2020 aliwagonga watu wawili na gari lake akawajeruhi vibaya, na gari haikuwa na bima. Juzi Mahakama imetoa amri, zimepigwa mnada nyumba zake tatu ili kuwapa wahanga fidia ya milion 105, nyumba tatu zishauzwa...
  3. Komeo Lachuma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Leo kutawaka moto...

    Namtizama nasema hiiiiiiiih. Hatari sana. Lazima game ipigwe hata kama uwanja utakuwa umejaa maji. Lazima. Nasubiria tu aseme ameshafika nikampokee. Maandalizi yake ni bab kubwa.
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya kaburi linalotoa moto, watu wanashangaa hawana kitu cha kufanya

    Maajabu ya Mwenyeezi Mungu Watu wameshangaa kuliona kaburi Moja likitoa moto Hawana kitu cha kufanya.
  5. Nakadori

    JamiiForums Tanzania Jiji la moto hilii

    Tusipoteze muda na salamu Kwanza kabisa naomba sana habari za kusoma halafu unaanza kulinganisha na marehemu kwenye uandishi sipendi, kama uko hapa celeb kulinganisha mtu na marehemu unakwama sana. Haya turudi kwenye hoja ya msingi..... Mjini kuna msiba wa wa kaka/baba mmoja wa mjini kwa jina...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Watakiona chamoto watakaobainika Kuchezea fedha za Umma katika uongozi wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia alishaweka wazi na kujipambanua kimaneno na kimatendo juu ya hasira zake Kali na maamuzi yake magumu kwa yeyote atakaye chezea fedha za umma,Hana Cha Nani Wala Nani katika Hilo,hamuogopi mtu Wala haangalii sura katika hili, Hana uvumilivu Wala Subira katika...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasha moto wa Maendeleo usiozimika

    Ndugu zangu watanzania Rais Samia Amewasha moto wa Maendeleo Usiozimika, Ni Moto katika Elimu, Afya, Miundombinu, huduma za maji Safi na salama, umeme mpaka vijijini, Moto katika miradi ya kimkakati, Moto katika utalii, uwekezaji na Biashara, Amewasha Moto katika kilimo. Ni Moto uwakao pasipo...
  8. NUNEZ DIAZ

    JamiiForums Tanzania Pedal ya accelerator inachelewa kupokea moto

    Habari wakuu, Nimenunua gari mwaka jana mwishoni but leo hii limeanza kitatizo kidogo inachelewa kupokea moto mpaka niikanyagie vizuri mpaka chini ndo inapeleka moto vizuri, shida inaweza kua nini wadau... Gari ni nissan juke.
  9. Mimi Ni Mtu Wa Mungu

    JamiiForums Tanzania Chakula cha moto kina madhara gani mwilini?

    Chakula cha moto kina madhara gani mwilini? Nikimaanisha ni viungo gani vinaathirika?
  10. Moronight walker

    JamiiForums Tanzania Quran yachomwa moto Sweden

    Mwanasiasa mmoja nchini Sweden kachoma quran mbele ya balozi wa uturuki. Kitendo hicho kimewakasirisha watu hasa RAIA wa uturuki mpaka kusababisha watu kuchoma Bendera ya sweden
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watoto watatu wateketea kwa moto Rombo

    Watoto watatu wa familia moja katika kijiji cha Lessoroma wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro wameteketea kwa moto baada ya nyumba yao wanakolala kushika moto. Akizungumzia tukio hilo leo Januari 21, Mtendaji wa kijiji hicho, Emma Mosha amesema tukio hilo limetokea usiku wa saa mbili Januari 20...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Gari lalipuka Moto Mbezi Beach!. Hakuna Msaada Wowote wa Zimamoto/Wananchi ni Kukodoa tu Macho Kuangalia kama Sinema!

    Wanabodi Hii ni sasa hivi maeneo ya Mbezi Beach Tangi Bovu, Ingekuwa ni maeneo ya Uswazi watu angalau wangejitahidi kidogo, japo kusaidia kuzima kwa mchanga!, lakini haya maeneo ya kishure, washure wanakodolea tuu macho!. Zimamoto ndio usizungumzie kabisa!. Mtanisame nili staafu uandishi wa...
  13. mcshonde

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Messi na Ronaldo walivyokutana

    Kwenye mechi ya kirafiki kati ya PSG na wachezaji wa Al Nassr & Al Hilal Messi na Ronaldo wameonyesha ni namna gani mgawano wao wa ushabiki upo kwa ajili ya kutengeneza pesa na sio uadui. Kama Ronaldo kaanza vizuri namna hii basi ligi ya uarabuni itakuwa moto na kawaaminisha waarabu kuwa mzigo...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuzuia majanga ya moto yazua taharuki TRA Dodoma, mmoja akimbizwa Hospitali

    Baada ya watu 191 kunusurika kwenye tukio la moto katika jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), tukio hilo limetajwa kuwa ni mazoezi ya kukabiliana na majanga ya moto. Licha ya kunusurika huko mmoja wa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo alikimbizwa katika kituo cha afya cha Makole kupatiwa...
  15. MK254

    JamiiForums Tanzania Magaidi wamtia kiberiti kasisi wa kanisa la katoliki kule Nigeria

    Magaidi kwenye jimbo la Niger (ambalo asilimia 98% ni waumini wa dini isiyopenda kutajwa humu), wamemchomea ndani kasisi wa katoliki huku kasisi mwingine akapigwa risasi alipojaribu kutoroka....Mungu ailaze roho yake pema peponi... ===================== Until his death, Achi was attached to St...
  16. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Anayefikiri kuwa moto wa Arsenal ni wa mabua, ni kama fisi anayemnyatia mtu akidhani mkono wake utadondoka apate kitoweo

    Tunavyozungumza Arsenal anamnyanyasa Tottenham kwa goli mbili kwa sifuri hadi mapumziko!! Anaongoza ligi kwa pointi 8. Moto aliouwasha hauna dalili ya kuzimika, sana sana unazidi makali!! Ni kweli ligi bado sana lakini dalili za mvua ni mawingu!! Musimu huu Liverpool na Chelsea ni choka...
  17. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Vifaranga kwa maelfu vyachomwa moto awamu ya sita! Uchokozi kwa Rais Samia

    VIFARANGA KWA MAELFU VYACHOMWA MOTO AWAMU YA SITA! UCHOKOZI WA RAIS SAMIA! 1.0 Utangulizi 1) Rais Samia Suluhu Hassan alimkashifu Hayati John Pombe Magufuli hadharani kwa eti kuchoma moto vifaranga. Mbaya zaidi, hii ilitokea mbele ya mgeni, Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya. 2) Ndio maana...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya ndoto hii ya kuendesha vyombo vya moto?

    Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma. Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kuchomeka milele kwenye ziwa la moto, mbona naona ni kubwa sana kuliko? Majini mliopo humu mnaionaje?

    Najiuliza sana hili fundisho lililopo Kwenye uislamu na ukristo la wenye dhambi kuchomwa milele kwenye moto wa jehanum, logically haliingii akilini. Kwasababu 1)Mungu anajua kila kitu, kama kabla ya kutuumba alijua kuwa baadhi ya binadamu na viumbe ntakaoumba wataniasi na ntawapeleka kwenye...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuacheni kuwa Wanafiki kwahiyo tulisubiri mpaka Pele 'Akate Moto Mazima' ndiyo tumpambe kwa hii Misifa?

    Hivi tungekuwa tunampa hizi Sifa zetu zote za Kinafiki tunazozitoa sasa sehemu mbalimbali asingezifurahia na hata Kumfariji alipokuwa bado Hai anapambania Maisha yake Hospitalini? Hakuna Kitu nachukia kama Unafiki. Na hasa hasa tabia hii tunayo Sisi Miafrika ila zaidi kabisa Sisi Mitandania...
Back
Top Bottom