money

  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Value for Money ya kitita alichotumia Samia kupeleka wasaa Korea?

    Mpaka sasa tumefichwa ni bilioni ngapi zimetumika. Lakini najiuliza hii ndio value for money?
  2. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu ni "Education is better than money"

    Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than money" nilikuwa naitetea sana elimu nikiamini ndiyo kila kitu kwenye maisha Leo nimehitimu chuo nina...
  3. Sijali

    JamiiForums Tanzania Namna nzuri za kutumia pesa za mkopo wa Bilioni 2.5

    Kama mkopo wowote, kama hakuna udhibiti madhubuti, pesa zitakwisha bila kujua zilikokwenda! Na kama mkopo wowote, hiyo miaka arobaini ya grace itapita kama maji. Kama hujasikia, Tanzania imekopa na kupatiwa mkopo mkubwa zaidi kuwahi kutokea, na Jamhuri ya Korea Kusini. Pamoja na kupewa mkopo...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Siioni Simba SC ikishika nafasi ya Pili japo jitihada za Airtel Money na Magumashi zinafanyika mno

    “Kikubwa kilichotuleta Arusha ni mechi ya Ligi Kuu dhidi ya KMC, mchezo ambao utachezwa tarehe 25 majira ya saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.” “Tangu nimekuwa msemaji wa timu yenu timu haijawahi kuja Arusha hivyo nikaona hii ni nafasi nzuri ya kuja tuonane. Nimefurahi kwa...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tusilazimishe kwa Magumashi ya Airtel Money ili tuwe nafasi ya Pili NBC Premier League, ukweli ni kwamba bado tuna Shida Kubwa za Kimsingi

    Tena natamani sana wana Simba SC Wenzangu wangeingia katika Mawazo yangu ya kutaka tuwe nafasi ya Tatu ili twende Kombe la Shirikisho ( kama litakuwepo ) ili taratibu tunapoanza Kukijenga Kikosi chetu kwa Msimu ujao tuanzie huko kwa Kujipima ila kwa Jicho la langu Tukuka la Kiufundi hata Simba...
  6. Mathanzua

    JamiiForums Tanzania The Cuban Banking system has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media that all their money is gone from their accounts

    The Banking system of Cuba has reportedly collapsed. Cubans are reporting via Social Media all their money is gone from their accounts, and all Automated Teller Machines (ATM's) have been emptied. This news is being heavily suppressed but it is getting out slowly. At banks all over the country...
  7. Foffana

    JamiiForums Tanzania Msaada wachumi, how banks create money?

    Habari wakuu, natumaini mnaendelea vizuri kabisa Katika harakati za kuendelea kujifunza nimekutana na hii kitu ambayo inaitwa Credit Creation ambayo ndo inasemekana kuwa ndo njia ambayo hizi banks wanatumia kucreate money Hii Concept imeniwia vigumu sana kuielewa kwani ina kamkanganyiko...
  8. mbongowakweli

    JamiiForums Tanzania What's your problems guys? Money or Women?

    Hiyo ni salamu wanaume tunapokutana, hasa pub, cafe au kwenye jumuiko lolote. Haya semeni kati ya hayo mawili, lipi linawasumbuwa?
  9. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Pesa, unahitaji nini sasa hivi?

    Mm nahitaji kumzaba Kofi Olomide shabiki yoyote wa Uto, maana wanasumbua sana kitaaa Tiririka Mkuu.....
  10. Tinnvibez

    JamiiForums Tanzania Payoneer account verification

    Habari, Bila shaka uko poa. Mimi ni Freelancer na nauza mziki wangu kwenye majukwaa mengi ya kimuziki. Nimejiunga na Payoneer NIDA na kila kitu kimekubali shida kwenye Utility au Bank Statement. Nishafanya ku-upload Bank Statement, utility ili wa-verify address wanavosema ila inakaa. Nikawa...
  11. voicer

    JamiiForums Tanzania Tukisema Royal Tour Tulipigwa tunamaanisha ukweli

    Kwamba Tanzania Royal Tour ilikuwa ni siasa, Royal Tour ilikuzwa kuliko uhalisia wake. Na pia Royal Tour Documentary haikuwa na maudhui yoyote makubwa yenye ushawishi kwa watalii kuweza kuijua Tanzania pamoja na vivutio vyake. Bali Royal Tour ilitumika na kundi la wajanja ndani na nje ya nchi...
  12. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania JOHN CENA: Chose Money Over Morality

    John Cena went live on stage at the Oscars naked. This is symbolism at it's peak, the emasculation of men. They take masculine figures in society and humiliate them, from wearing dress to walking nude Imagine all the little children who look up to him, particularly little boys, watching him...
  13. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Love don't pay bills and money don't cheat

    Vegas Gamblers girlfriend leaves him over gambling addiction so he makes new one out of money.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Airtel money master card

    Je kila MTU ana experience ratizo hili? Ukitaka kuangalia taarifa za kadi au kutengeza mpya kuna ujumbe napokea ona Toka juzi, nimeshindwa kununua bidhaa, nambieni Voda kukoje nizame maana ni haraka oda isije fungwa
  15. maganjwa

    JamiiForums Tanzania Money printing maana yake nini?

    Imani yangu mko vema sana humu. Mimi Naenda moja Kwa moja kwenye mada naomba kuelezwa kwamba Kuna notion ya taifa kutumia fedha yake Kwa Kila kitu hata kununua bidhaa kutoka nje kw Hela yake. Lakini sisi hasa nchi zetu hizi Ili ununue bidhaa kutoka nje lazima utumie Dola ya marekani. ---...
  16. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Real Estate Money Maze: Escaping Broke, Building Fortune

    Introduction: Are you ready to take control of your financial future? Real estate investing offers a path to success, but it's not without its challenges. Let's navigate the money maze and learn how to escape broke and build a fortune through smart real estate strategies. The Power of Passive...
  17. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Don't promise anything if you can't keep your promise

    One cold night, A billionaire met an old poor man outside. He asked him, "don't you feel cold being outside, and not wearing any coat?" The old man replied, "I don't have it but I got used to that. " The billionaire replied, "Wait for me. I will enter my house now and bring you one." The poor...
  18. 2 of Amerikaz most wanted

    JamiiForums Tanzania Is knowledge greater than money?

    Mike Tyson earned up to $30 million per fight at the peak of his career. Some estimate he made over $300 millionthroughout his career. (Foto source, Google) After living an extravagant lifestyle, in 2003 Mike filed for bankruptcy with over $27 million in debt. We may learn from multiple...
  19. M

    JamiiForums Tanzania America is in serious trouble': Robert Kiyosaki warns the US is broke, bankrupt, says that printing money to solve problem won't work

    'America is in serious trouble': Robert Kiyosaki warns the US is broke, bankrupt, and our dollar is 'trash' — says that printing money to solve problems can't go on much longer. Is he right? aol.comDec 6, 2023 1:00 PM 'America is in serious trouble': Robert Kiyosaki warns the US is broke...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Jiajiri mwenyewe kwa kufanya kazi ya ‘kubadilisha upepo’ wa matukio mbalimbali, niamini lazima utoboe!

    Siku hizi hakuna ajira tena. Sorry did i say "Hakuna!" I was supposed to say " HAKUNAGA". Yale mawazo ya nisome nifike chuo nipate G.P.A kali nitaajiriwa kwenye kampuni kubwa au taasisi kubwa au nafasi kubwa serikalini, anasema Robert Kiyosaki kwenye kitabu chake " Rich Dad Poor Dad", yalikuwa...
Back
Top Bottom