money

  1. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Secret of money.( Siri ya pesa)

    Kwa nn tajiri anaendelea kua tajiri na maskini anaendelea kua maskini. 1- Saving (Kuhifadhi) Tajiri ataweka ili kizidi kuongezeka, na afanye jambo lingne zaid ya anacho fanya kama biashra afungue nyingne. Maskini akipata anatumiq tu anajua kesho akiingia town atapata tena. 2-Fear of being...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Airtel inabidi mjitafakari. Kwanini mnawabebesha mawakala uzembe wa wateja?

    Kuna mdada anayeishi Tabata, ambaye aliwasajiliwa laini na mawakala wa Airtel waliokuwa wakipita mitaani. Bila yeye kujua, mawakala hao walifanya SIM swap kwenye laini yake. Baadaye, wale waliosajili laini hiyo waliitumia kwenda kwa wakala wa Airtel Money na kutoa pesa kwa njia halali—simu...
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania Babe I don’t have money

    Hii kauli nikisikia tu na badilika.
  4. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Money Penny ana bonge la wowowo, ivi mume wake nani huyu mama?

    Kuna mahali nimekuta mtu ameniandika hivi Like why? Mmeniona wapi? Wowowo gani tena? Nyiee me mke wa mtu msiniandike andike plz, Wowowo kwiyoo?
  5. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania Nini sababu.ya.wakala mdogo kugawana pesa na wakala mkuu kwenye mobile money business

    Nini manitiki ya wakala mdogo wa pesa anayeanza biadhara kuwa attached.ana.wakala mkuu na.pesa akipata anapunjwa anagawana.na.wakaala.mkuu. Kazi ya.msingi.ya.wakala.mkuu.ni.nini.kwenye mobile.money.business
  6. Mallerina

    JamiiForums Tanzania I'll marry for money and my kids will marry for love

    Asante sana Hamissa Mobeto
  7. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Je Kuna uwezekano wa kubadilisha airtime kwenye airtel kuwa airtel money...

    Naomba kuuliza kama inawezekana kubadili airtime kwenye airtel iende kwenye airtel money na kutoa Kwa wakala cash?
  8. Amba Samedi

    JamiiForums Tanzania Parkinson's Law of Money (Sheria ya Parkinson Kuhusu Fedha)

    Habari wanaJF, Ni mimi tena, na nimeamka salama. Nimechelewa kuingia kazini leo, ila Mungu ni mwema nimeanza. Kuna habari njema naitegemea kutoka sehemu (ntawajuza mambo yakiiva). Ngoja tuendelee kuongea kupoteza pressure... Umewahi kushangaa kwa nini kuna watu wanapiga hatua, hata endapo wana...
  9. barakachaplin

    JamiiForums Tanzania Airtel Money Merchant Business Support Officer - Job position

    Company Overview Tanzania Empowerment Forum Limited (TEF Consult) is a management consulting firm specializing in organizational change, talent search, acquisition, and executive selection. We are currently recruiting on behalf of our client, a well-established Telecommunication Company, for a...
  10. Ezbon Babwira

    JamiiForums Tanzania How to save money everyday

    Saving money is one of the most effective methods to secure your economic destiny. Whether you are planning for a prime purchase, constructing an emergency fund, or clearly looking to control your finances higher, saving performs a crucial role in accomplishing your desires. Here’s a...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Katika Album ya Zuchu "Peace and Money" nyimbo ipi umekuibali?

    Kwa mim nimeipend hujanizidi feat dvoice na makonzi Wew je umetokea kuipenda nyimbo ipi
  12. U

    JamiiForums Tanzania How money laundering is done through fake pastors and preachers

    Money laundering through fake pastors and preachers typically exploits the reputation of religious institutions as trustworthy and charitable. Here’s how it works: 1. Establishment of a Religious Institution A fake preacher establishes a church, ministry, or religious organization. Since many...
  13. Brave_Idiot

    JamiiForums Tanzania Online money making ideas👇

    Jamani mwenye working idea ya kumake money online aishushe hapo chini. Sio uweke zile za ata tukisearch google tunaziona. I mean working ideas, like una specify niche au product au service inayouzika na soko husika, mtaji needed, risk and much more 🙏🙏🙏
  14. zyuho

    JamiiForums Tanzania kununua vipande UTT AMIS kwa airtel money najaribu ina goma!

    Naomba kujuzwa namna ya kuweka hela UTT kwa kutumia airtel money . Kila nikijaribu inataka niweke namba ya kampuny na mimi siijui
  15. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Je,kuna money laundering kwenye timu zetu? Baadhi ya timu zina matumizi ya kufuru kuliko mapato

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuna bendi moja iliitwa Mviko Sound ,ilikuwa ikimilikiwa na mmoja wa wanafamilia yetu Kufikia mwaka 2004 bendi ikafa,huyu ndugu yangu akasema ni bora kuwa na wanawaje kumi kuliko kumiliki bendi. Wanawake kumi unaweza kuwatumia kama nguvu kazi au hata wakakuzalia...
  16. Logikos

    JamiiForums Tanzania Follow the Money; Baada ya Shutuma za ADANI kutoa Rushwa, Tuwachunguze Madalali waliowapigia Chapuo kama walipewa chochote wakae mbali na mali za UMMA

    Kuna mambo wengi tuliyaona hususan katika suala la Umeme, kuna nchi kama Bangladesh baada ya ADANI kwenda bei za Umeme zikaongezeka.... https://www.jamiiforums.com/threads/how-questionable-adani-deal-makes-electricity-costlier-bangladesh-case-study.2267500/ Na sio hivyo tu hata Kenya ni kwamba...
  17. doup

    JamiiForums Tanzania DAWASA how do you make money?

    Kwanza asanteni Kwa kuwa wakweli, maana maji yenu imekuwa bidhaa adhimu huku Kwetu. Kama notisi 👇 Ndugu mteja A/C A1049*31*76*, KUMBUKUMBU 99104*30*06* , Bill yako ya Novemba/2024 umetumia uniti 0, kutoka 427 mpaka 427 sawa na Tshs. 0. Salio/Ziada ni Tshs. 0, jumla Tshs. 0. BILI HII NI NOTISI...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Money is never enoug! Utapata pakubwa utaspend vikubwa, utaona haitoshi maana bado haujafanya makubwa zaidi.

    Dogo kama huyu unaweza kuta miaka 7 nyuma baba yake alikuwa akifanya kazi shift mbili ili akidhi bills ila ona leo dogo anatupia mwilini kwake pesa ambayo robo tatu ya waafrika hawatakaa waishike kwa mkupuo
  19. O

    JamiiForums Tanzania Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine.

    Nauza laini za wakala Tigopesa, Mpesa, Airtel money na Halopesa na Selcom Machine Laini za uwakala zote nne nauza kwa 300,000 Mashine ya selcom nauza kwa 200,000.(Inafanya kazi na ia hali nzuri) Laini zote zimesajiliwa kwa jina moja la biashara,hivyo ni rahis kwa wewe kwenda kuzibadilisha...
  20. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips

    YouTube Niche Analysis: Make Money Online, Finance, and Social Media Tips Here's a breakdown of profitable YouTube sub-niches within Make Money Online, Finance, and Social Media Tips, incorporating current trends and monetization strategies: I. Make Money Online ($13.85/1000) Main Niche...
Back
Top Bottom