money

  1. Jane Lowassa

    JamiiForums Tanzania Pocket money ya Maulid Kitenge eti 1 million

    Juzi kati nilikuwa naangalia kipindi cha Bartender cha Wasafi TV Maulid Kitenge akiwa mgeni. Akaulizwa anatumia sh ngapi kwa siku, eti akatoa mfukoni bulungutu la milioni moja. Jamani hizi si kufuru hizi kwa usawa huu wa Magu. Kakangu kitenge acha dharau ukizingatia una ndugu zako wazaramo kibao...
  2. Shukrani A. Ngonyani

    JamiiForums Tanzania Nahitaji namba ya uwakala ya airtel money

    nahitaji lain ya wakala ya airtel money, mmiliki awe na document zote. Offer yangu ni 100,000/= njoo pm, au niandikie ktk baruapepe sirngonyani@mail.com
  3. EIFFEL

    JamiiForums Tanzania Airtel/ Airtel Money acheni hizi dhuluma, Mamlaka husika liangalieni hili suala

    Habarini za jioni wakuu, Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa letu. Binafsi naomba niwasilishe malalamiko yangu kwa hawa AIRTEL TANZANIA kutokana na vitendo vyao hivi ambavyo ni viashiria wazi vya dhuluma kwa wateja wao. Kwa kawaida hua sipendi kununua bundles kwa vocha za kukwangua kwa...
  4. ONTARIO

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...
Back
Top Bottom