moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unatabiri nafasi moja iliyobaki itaenda kwa timu gani kutoka Africa kushiriki kombe la dunia la vilabu ?

    Kati ya Cr Belouizdad, Petro De Luanda na Simba Kuna timu itaweza kufikia points 75 za ES TUNIS ?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwa taarifa yako Israel limetajwa mara 2200 ndani ya Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja

    Wadau hamjamboni nyote Niende kwenye hoja moja Kwa moja Huu ndiyo ukweli wa Maandiko matakatifu Taifa la Israel limetajwa mara 2,200 kwenye Biblia wakati Palestina haijatajwa hata mara moja Je Taifa la Israel limetajwa mara ngapi ndani ya Quran tukufu? Je Palestine imetajwa mara ngapi ndani...
  3. JamiiForums Tanzania Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

    Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka kama maagizo ya papa yalivyo agiza kwa viongozi wa kiroho kutekeleza agizo hilo. We need your help to continue and expand the Outreach ministry. Donate today As a married gay...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” limesaidia kuchochea maendeleo ya Afrika katika mwaka 2023

    Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio hayo muhimu China ilitajwa mara kadhaa, na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” lilionekana kuwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  6. JamiiForums Tanzania Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

    Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali Kuumwa na nyuki...
  7. JamiiForums Tanzania Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ametoa waraka unaoelezea kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo suala la mahusiano baina ya waumini. Katika waraka huo Kiongozi huyo ameruhusu makasisi wa kanisa hilo kuwapokea na ikibidi kuwabariki wale wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja. Akisisitiza kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania TLS yadhoofika, Mahakama yahusishwa: Sungusia amezidiwa na Makada: Wanachama 3000 toka mikoani Wazagaa Dar. Kikao chapigwa stop usiku saa moja

    Walah itamuhitaji mtu wa ajabu sana kuona merit kwenye application ya wakili kada wa CCM aliyetumwa na "mfumo" kusimamisha kikao cha dharura cha mawakili. "Mfumo" umefanya mabadiliko ya Sheria ambapo kwa sasa ili wakili ateuliwe kuwa jaji , yampasa kuwa na Law firm, na hiyo /law firm iwe na...
  9. JamiiForums Tanzania Baba Mtakatifu hajabariki ndoa za jinsia moja!

    Catholic church cannot and will never bless same sex mariage! This Declaration considers several questions that have come to this Dicastery in recent years. In preparing the document, the Dicastery, as is its practice, consulted experts, undertook a careful drafting process, and discussed the...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Msipotoshe kuhusu Papa na ndoa za jinsia moja

    Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa...
  11. JamiiForums Tanzania Ingawa kwangu roman catholic sio kanisa la Yesu Kristo lakini media zinapotosha tamko la baraka kwa ndoa za jinsia moja

    Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi. Sasa kilichopitishwa na papa...
  12. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali imfukuze Balozi wa Palestina nchini

    Ukiangalia ile video ya mauaji ya kijana mdogo kabisa wa Kitanzania ambaye alikuwa anajitetea kwa kujieleza kuwa ni Mtanzania, lakini ukiacha utetezi wake, wauaji walijua fika kuwa yule siyo Muisrael kulingana na wajihi wake na rangi yake. Ukatili aliofanyiwa Joshua hauvumiliki.. Haiwezekani...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nimeota yanga Leo anafungwa na mtibwa goli moja bila

    Ngoja tusubiri muda utaamua
  14. JamiiForums Tanzania Serikali, wazazi na mashirika ya kidini kwa ujumla chagueni mwanga au giza

    Salaam, Binafsi ni kawaida kwangu kuja na bandiko za kukemea tabia na mmonyoko wa maadili kwa jamii nyingi za kiafrika na hususani Tanzania. Jamii nyingi za kiafrika zimepoteza asili yake ya kimalezi na heshima (Tamaduni) kutokana kuvamia dude kubwa ambalo lipo imported halikuwahi kuwepo...
  15. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  16. JamiiForums Tanzania Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  18. JamiiForums Tanzania Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

    Watu 50 labda zaidi wamefariki. Miundo mbinu haswa ile ya familia masikini imeharibika vibaya mno. Majeruhi wengi wapo hospitalini. Nyakati kama hizi Sadaka yako inaweza kubadilisha mustakabali wa maisha yako. Sadaka yako inaweza tumika kuwapa faraja masikini walioathirika na naamini Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Samia akitoka Dubai kutua moja kwa moja Tanesco Nyakato Mwanza

    Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza. Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa. Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa...
  20. JamiiForums Tanzania Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…