Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

jonas2011

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
300
111
Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi.
Asante kwa anayejua..!
 
Fuso ndogo ya kwaida kwenye bodi yake wameweka ujazo wake kama 4 cubic metre, sasa ndoo ya lita 20 ni sawa cubic metre 0.02 hivyo 4cubicmetre gawa kwa 0.02 cubic metre utapata kiasi cha ndoo 200 ya lita 20.
 
Shukran sana Mkuu , nimepata pa KUanzia..
 
Kwa nini unatesa watu kiasi hiki??
Kuna jamaa wametega mchanga wa Kolongo sasa wanataka kuniuzia kwa ndoo ndo maana nilikuwa na taka kujua hivi vipimo ili nilinganishe na bei ya sokoni(tipper)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom