mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Tulipeleka barua za kufukuzwa uanachama Wabunge mara mbili

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12 Mnyika ametoa ushahidi huo leo, baada ya Naibu Spika wa bunge kusema kuwa hawana taarifa ya wabunge kufukuzwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa afya ya demokrasia mteue ndugu Zitto na Mnyika kwenye Ubunge

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu. NB: Mimi sio mfuasi wa...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

    Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika . Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la...
  4. Ronal Reagan

    JamiiForums Tanzania John J. Mnyika - 2025 And Beyond

    Ndugu John John Mnyika ni aina ya watu na kiongozi ambaye kama Taifa tunamhitaji sana (itikadi, mambo binafsi pembeni). Kijana huyu ni mtu wa kuandaliwa, kufundishwa, kuelekezwa, kutiwa moyo, kutunzwa vema, ndio na kuombewa; ili siku moja alitumikie Taifa letu Tanzania katika nafasi ile, kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Press za John John Mnyika mwezi huu zinafikirisha sana

    Wiki iliyopita Katibu mkuu wa CHADEMA J J Mnyika aliitisha kikao cha waandishi wa habari na kuhoji alipo Rais Magufuli na kama yupo salama. Waziri mkuu mh Majaliwa alijibu siku hiyo hiyo akiwa mkoani Njombe kikazi. Jana J J Mnyika alitangaza kikao kingine cha waandishi wa habari ambacho...
  6. Francis12

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CHADEMA, John Mnyika: Wapi alipo Rais wetu?

    WAPI ALIPO RAIS WETU? Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania, Chadema kimeitaka serikali ya nchi hiyo kujitokeza na kueleza alipo rais John Magufuli na hali magufuli na yuko katika hali gani. Kauli ya Chadema inakuja wakati ambapo kuna siutafahamu juu ya alipo rais Magufuli. Mara ya mwisho...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ataka Majibu ya uchunguzi wa dawa ya Corona iliyoletwa na Kabudi kwa ndege ya ATCL kutoka Madagascar uwekwe hadharani

    Kauli hii ya kishujaa imetolewa na Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika alipokuwa anaongea na vyombo vya habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama chake huko Kinondoni Nje ya Jiji la Dar es Salaam , ambapo pamoja na mambo mengine aliyozungumza , suala la Ugonjwa wa Corona lilikuwa na sehemu...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  11. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania John Mnyika usitetee uovu, kama kuna mtu anahusika kutafuna mali ya umma acha apate hatua stahiki

    Kama mtanzania mpenda ukweli nimefarikija kuona PCCB wakitoa taarifa kuwa bado wanaendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu wa bil 8 zilizotafunwa na viongozi wa Chadema. Mbali ya hayo wamesisitiza kuwa wataendelea na uchunguzi juu ya ubadhilifu uliokuwa unafanyika kwenye mifuko ya majimbo...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu

    Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti, Katibu Mkuu CHADEMA kigugumizi cha nini sakata la Wabunge wa Viti Maalum?

    Mabibi na mabwana inafahamika kuwa safari kuelekea uhuru haijawahi kuwa rahisi. Wala safari ya kuelekea huko haijawahi na wala haitakuja kupungukiwa wasaliti. Kwamba pana mbunge bungeni anaendelea kujitanabaisha kuwa ni mbunge wa CHADEMA na mko kimya tu? Kwamba kuna watu yasemekana wamekiuka...
  14. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Hatujateua majina ya wabunge Viti Maalum. Tunafuatilia Ofisi ya Spika na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua

    Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema, chama hicho hakijateua majina ya wabunge wa viti maalum “ niliandika barua NEC kuwajulisha. Tunafuatilia yanayojiri Ofisi ya Spika wa Bunge na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.” ---UPDATE--- Akihojiwa na shirika la...
  15. O

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu CHADEMA, Mnyika umetegwa ukitegeka nafasi yako wanachukua wenye chama chao

    Mh. Mnyika Katibu Mkuu CHADEMA, kwa sasa wajumbe wa Kamati kuu wanakuangalia kwa pande mbili, pande ya kwanza kukikosesha chama kupata ruzuku kwa kutopeleka majina ya wabunge viti maalum, upande wa pili kuwasababishia wanachama kukosa ajira ya uteuzi wa kuwakilisha hoja za chama chenu bungeni...
  16. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaokoa sh bilioni 12 zilizotaka kufisadiwa ujenzi wa stendi ya mkoani Mbezi

    TAKUKURU wameokoa zaidi ya sh bilioni 12 zilizokuwa zilipwe kwa mkandarasi anayenga stendi kuu ya mabasi ya mikoani. Fedha hizo zilikuwa zilipwe kwa kazi ambayo haikufanyika Ujenzi wa stendi hiyo ulianza wakati halmashauri ya jiji la DSM inaongozwa na CHADEMA. Maendeleo hayana vyama!
  17. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: CHADEMA haijakaa na Tume ya Uchaguzi(NEC) na haina mpango wa kuteua wabunge Viti Maalum

    1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa 2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC. 3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki. By JJ MANYIKA
  18. A

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ila Mnyika aliona mbali sana kutogombea Ubunge

    Unaweza kusema kuwa KM wa CHADEMA ndugu John Mnyika aliona mbali sana na akaaumua kuachana na kugombea Ubunge. Najiuliza: ¹.Je, aliridhishwa na kazi nzuri iliyofanywa na CCM jimboni kwake? ² Je, aliamua kuunga mkono jitihada kimyakimya? Hebu nijuzeni Amani
  19. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 John Mnyika: Watu wawili wameuawa Tarime kwa kupigwa risasi na Kada wa CCM

    Mnyika anasema Wananchi wawili wameuwawa muda mchache uliopita Kata ya Matongo baada ya Mwenyekiti wa kijiji cha Nyabichume (CCM) Mogaya Ryoba Kisire kushambulia kwa risasi mkutano uliokuwa uhutubiwe na @HecheJohn eneo la Nyamongo.
  20. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mahera acha masihara na uchaguzi huu. Hujajibu hoja tata za Mnyika

    Dkt. Mahera kuwa makini watanzania watano wamefariki kwa sababu ya nyinyi kuleta mkanganyiko hapo jana. Umejitokeza kujibu hoja lakini hukujibu hoja nzito za mnyika 1) Wasimamizi kwa makusudi kukataa kuwaapisha mawakala wa chadema wewe unasema kuhusu umbali je wale walioleta jeuri na kuvunja...
Back
Top Bottom