mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania John Mnyika popote ulipoitisha press conference haraka sana

    Kutokana na hukumu ya kesi ndogo iliyotolewa leo dhidi ya kesi ya kina Mbowe hawa jamaa inaonesha wamejipanga kufanya jambo ambalo litashangaza dunia nzima. Katibu mkuu Mnyika itisha press leo leo ili kutoa muongozo kwa wapenda haki wote nchini. Katika press yako njoo na approach nzuri...
  2. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania John Mnyika amepewa nini na CCM?

    Kwanza niwape pole sana uongozi na wanachama wa CHADEMA kwa madhila anayopitia kiongozi wao mkuu wa chama, hakika ni majaribu makubwa sana kwake yeye Mbowe binafsi, chama, na familia yake kwa ujumla. MNYIKA AMEPEWA NINI NA CCM? Hivi kweli CHADEMA leo ni wa kua wapole kiasi hiki kiongozi wao...
  3. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ITV wamekata speech ya Mnyika?

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Shaibu kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na NCCR. Sijapenda
  4. assadsyria3

    JamiiForums Tanzania Hivi kwann itv

    Nimejiuliza maswali sijapata majibu. Ado Sha kaongea bila interaction yoyote . Ni kongamano la utu lililoandaliwa na nccr. Sijapenda
  5. T

    JamiiForums Tanzania John Mnyika kashindwa kuichambua falsafa ya CHADEMA ikaeleweka matokeo yake chama kinamfia

    CCM ikiwa na bahati ya kukuza na kutumia magwiji ya mikakati ya ushindi wa kisiasa hali hiyo imekuwa kinyume kwa vyama vya upinzani ambavyo havina hazina hiyo na matokeo yake kujiua vyenyewe. Chama chenye nia ya kushinda dola hakiwezi kuwa na mtendaji mkuu ambayo hana mbinu wala mikakati ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mnyika na CHADEMA yako msipousikiliza Ushauri wa Nyerere's Think Tank Mzee Butiku hamtofanikiwa tena na Mabalaa Kuwaandama

    Najua leo umepewa Ushauri mzuri na mkubwa sana na Mmoja wa Vichwa Tegemezi wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mzee Joseph Butiku kutoka MNF na CCM yake pia. Nami Mightier nakuomba mno John Mnyika na CHADEMA wako wote ufanyieni Kazi huo Ushauri Kuntu uliopewa leo na Mzee Butiku kwani huyo...
  7. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania MNYIKA vs Chongolo

    Hawa ni makatibu wakubwa wa vyama viwili vikubwa vya kisiasa nchini,Hawa ni wabeba maono na wasimamizi wakuu wa mwendo wote wa kisiasa ndani ya vyama vyao. Tangu wateuliwa ni kama wamepigwa ganzi,speed yao ni mwendo wa kobe. Il nimewaza tu,kweli hizi nafasi wamepewa KWA uwezo wa kuzitumikia au...
  8. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Katibu mkuu wetu J. Mnyika amepwaya sana

    Sioni kama ana mikakati ya kuimarisha chama chetu. Ishu ya akina Covid 19 imemshinda kabisa pamoja na kuwa ilikuwa turufu kwetu. Sioni akipambana kupinga uonevu wa CCM kama ilivyokuwa Dk Slaa. Ona ishu ya tozo, kodi ya nyumba via luku nk. Yupo kimya tu kana kwamba amelidhika. Huyu ndio...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Shaka: Mnyika kuingilia Uhuru wa Mahakama inaonesha alivyo na papara na jabza

    Tunaitaka Chadema kubadilika na kuanza kufanya siasa za hoja, zenye kutoa kipaumbele maendeleo ya wananchi na Taifa badala ya siasa hizi za kuhimiza ghasia, vurugu na kueneza uongo na chuki nchini. Kadhalika Mnyika aache upotoshaji na kumlisha maneno Rais Samia ambayo hakuyasema au kuingilia...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

    MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja...
  12. CCM Music

    JamiiForums Tanzania John Heche anafaa kuwa Katibu Mkuu CHADEMA Taifa, John Mnyika ni dhaifu sana

    Kikwetu tuna msemo tunasema: What goes around comes around. Kijijini kwetu tunatumia sana huo msemo mara kwa mara. JJ Mnyika aliwahi kumwambia JK kuwa ni Rais dhaifu. Hahahahaha. Lakini sasa kajamaa ni SG wa CHADEMA naona ndio dhaifu kuliko maelezo. Ni dhahiri CHADEMA haina vetting nzuri...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania US Under Secretary of State Victoria Nuland akutana na Mnyika na Zitto

    Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani. Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara ya mambo ya nje , ameonana na kuongea na Mnyika wa CHADEMA na Zito wa ACT Wazalendo leo 4/08/2021...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Press ya Mnyika yawavuruga CCM

    Baada ya John Mnyika kuweka wazi namna Jeshi la Polisi na serikali walivyotumika kubambikia kesi Mbowe huku wakipeleka charge isiyo na sifa CCM kupitia Shaka wameparaganyika na kuanza kuitetea polisi, Mahakama na serikali. Hatua hii inafuatia Mnyika kueleza utekaji aliofanyiwa Mbowe, ubovu wa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Hakuna jipya katika hotuba ya Mnyika na Waandishi wa Habari

    Nimesikiliza hotuba ya Mnyika kwa wanahabari yaani inaonyesha tayari wameshamtosa Mwenyekiti wao na hawana maaamuzi tena hapo ndiyo kila mtu anakufa na mzigo wake nawapa pole sana Wanachadema wote na niwaombe tu wafanye siasa za kistaarabu kuliko kuingiza na mambo ya ugaidi ndani yake wajifunze...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Katiba Mpya Liendelee: Mnyika achukue nafasi ya Mbowe

    John Mnyika ajitathmini kama Katibu Mkuu wa CHADEMA na kuendeleza mipango ya Kongamano la Katiba Mpya licha ya yaliyotokea ili tujue kama kweli mashitaka ya ugaidi dhidi ya Freeman Mboye yana mashiko. Kama tatizo ni "ugaidi" wa Mbowe tu, basi sioni kwanini CHADEMA isiendelee na ratiba yao ya...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Bavicha ngazi zote kuanzia taifa hadi Msingi undeni kamati za kudai Katiba mpya kabla hatujaingia rasmi mitaani!

    Katibu mkuu wa Chadema J J Mnyika amevitaka vikao vyote vya kikatiba vya Bavicha kuanzia Taifa hadi Msingi kuandaa kamati za kudai Katiba mpya. Mnyika amesema ni vema wakajipanga sawasawa kabla ya kuingia rasmi mitaani kushinikiza uundwaji wa katiba mpya. Nawasalimu kwa jina la JMT!
  18. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ally Bananga: Mdude Nyagali anatakiwa kupumzika kwanza, kumpatia kipaza sauti mapema sioni tukimpenda na kumsaidia

    Am speechless [emoji87] Tulilia wengi alipoteseka gerezani Tulihuzunika sana alipolazimishiwa makosa ya uongo ili apotezwe. Tumepigana wengi Mdude chadema kuwa huru. Alipotoka jela alistahili yafuatayo; 1-Akaione familia yake akae nayo kwa muda 2-Apata physician amfanyie check up ya afya yake...
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa amkimheshimu sana John Mnyika akimuona ni kijana smart sana

    Toka Mnyika ni Mbunge wakati huo JPM alikuw Wizara ya Ujenzi. Mara nyingi alipenda kuongea na Mnyika akiwa Mbunge na kuchukua hoja zake kuzifanyia kazi. Magufuli aligundua kuwa Mnyika alikuwa na uchungu hasa wa maendeleo ya watanzania. Na hili lilimfanya mara nyingi atamani Mnyika aje CCM. CDM...
  20. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kupeleka wabunge wa viti maalumu bali kuchochea mageuzi ya Demokrasia

    Katibu mkuu wa Chadema mh J J Mnyika amesema Bawacha haijaundwa kwa ajili ya kuchagua wanawake wa kuwapeleka bungeni kwa viti maalumu bali ni kichocheo cha demokrasia nchini. Mnyika amesema wanawake ni jeshi kubwa hivyo wanao wajibu wa kupigania katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi. Pia...
Back
Top Bottom