mnyika

John John Mnyika is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Ubungo constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. Thailand

    JamiiForums Tanzania John Mnyika na John Heche turufu ya CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2025

    Sitashangaa endapo mmoja kati ya hawa magwiji wa siasa za hoja wakipata nafasi ya kupeperusha bendera ya kugombea urais wa Tz kupitia CDM. Jamaa wana uelewa mpana kwa kugonga spana kwa hoja kali sana, Pili hawa jamaa hawana makando kando mengi kwa jamii hivyo wananchi wanaowafatilia kwa...
  2. chiembe

    JamiiForums Tanzania John Heche ashangaa wajumbe wachache kuhudhuria mkutano alioalikwa akiwa na John Mnyika

    John Heche na John Mnyika walikuwa na kikao katika Jiji la Mwanza kilichohusisha wilaya ya Nyamagana na Ilemela, John Heche alishangazwa na uchache wa watu katika ukumbi, na akasema angalau Iringa walikuwa na watu 2000. Hiki chama kikiwa mitandaoni kinajifananisha na jini kubwa sana. Lakini...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

    Nini kinaendelea? Hili ni swali linalogonga vichwa vya Watanzania wengi wenye shauku ya kujua majadiliano baina ya viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yatahitimishwa lini. Jana vigogo wa vyama hivyo wasiozidi 15 walijifungia kwa saa nne katika...
  4. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ndo mwanasiasa mwenye mvuto kwa sasa

    Great thinkers. Correct me if I'm wrong. Kiufupi John Mnyika ndo mtu pekee anaweza kusimama na kushawishi jambo Kwa Sasa. Zitto Kabwe pumzi imeisha mapame baada ya kulamba asali. Ila sitashangaa kutokea kwa usaliti wowote ule maana wanasiasa wetu wanajulikana. Ukiwa famous unarudi CCM...
  5. Prince mimi

    JamiiForums Tanzania John Mnyika is our next Man 2025

    Habari Wakuu! Ijapokuwa 2020 nilimpigia kura Tundu Lissu ila moyoni sikuwahi kuamini watu wa misimamo mikali like him wanaweza kumake as good President. Tundu Lissu mbali na CV ya uadilifu iliyotukuka, misimamo yake juu ya demokrasia pamoja na uzalendo wake usioweza kutiliwa shaka; ila bado...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Hata kama Mbowe akiwa Mwenyekiti na Lissu Mkurugenzi wa NEC Mnyika awe IGP bado CHADEMA ya sasa haishindi uchaguzi

    Ukweli ni kwamba hali ya kisiasa ya sasa hapa nchini inakatisha tamaa sana. Ukisoma maandiko mengi humu ndani ya wenye mrengo wa upinzani, wanailaumu ccm kuwadhoofisha huku wakisahau kwamba hakuna chama siasa chenye jukumu la kuruhusu chama pinzani kisitawi. Ukiwa kama mpinzani unalazimika...
  7. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nimemwandikia Rais barua kuomba stendi ya Nyamongolo Mwanza ipewe jina la John Mnyika

    Sijui Nani ana mamlaka ya kutoa hata majina lakini bila shaka Rais ana ushawishi. Nimemuomba mama Samia afikirie kuipa stendi mpya jijini Mwanza jina la Katibu wangu John Mnyika. Nimependekeza jina la Mnyika sababu ya uwezo wake mkubwa wa kiongozi hapa makao makuu, busara, elimu, ushawishi...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe JJ Mnyika alivyomkabili Rais Magufuli kuhusu Demokrasia, Maendeleo ya Watu, na vyuma kukaza

    Kulikuwa na TENSION kubwa sana kuhusu uwepo wa JJ Mnyika ktk mkutano wa Raisi. Anglia sura na reaction ya Jpm, Jafo, na Kamwele, baada ya JJ Mnyika kutambulishwa. Hapa chini ni maneno ya JJ Mnyika baada ya kupewa nafasi ya kuzungumza. Wanasiasa wachache sana walikuwa na ujasiri wa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kanuni mpya Kikokotoo Inaondoa ubabe wa NSSF. Siasa za Magufuli ziliwabeba waonevu NSSF

    Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mara ghafla Mbowe, Mnyika, Lissu na Heche wasimamishwa uongozi Chadema, msajili aridhia

    Hii ni mbinu wanayoitumia CCM kwa vyama vya upinzani hivi sasa, wakiona chama cha upinzani kinawaletea 'ukaidi' Waliitumia kwa Maalim na CUF kipindi kile baada ya Maalim kugomea uchaguzi kipindi kile, wameitumia kwa Mbatia baada ya Mbatia kupingana sana na Samia kwenye mambo mengi ikiwamo...
  11. Q

    JamiiForums Tanzania John Mnyika: Mambo CHADEMA tuliyozungumza na wenzetu wa CCM

    Mkutano ule wa Mei 20,2022 ,ni mwanzo wa mazungumzo ya timu mbili. Upande wetu CHADEMA tuliwasilisha ajenda mbili ya kwanza ni kurejeshwa kwa mchakato wa katiba ya nchi yetu na ya pili ni kujadili madhara ya miaka sita iliyogubikwa na ukiukwaji wa haki Itakumbukwa Aprili 07, 2021 Mwenyekiti...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mnyika apewe semina kwanza kabla ya kukutana na Rais Samia

    Baada ya Lissu na Mbowe kutanguliza maombi yao binafsi kabla ya chama, nashauri hili lisitokee tena wakati John Mnyika atakapokutana na mama. Makosa yaliyofanywa na viongozi wakubwa wa chama kuomba pasipoti na ruzuku badala ya katiba yalionesha kupwaya sana kwa mwenyekiti na makamu wake, labda...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Zitto baada ya kuulizwa na Mnyika, “I am a leader. Properly groomed. I desist from responding to you”

    ANNOUNCEMENT BY ZITTO THE TCD CHAIRPERSON. The National Conference on Justice, Peace and Reconciliation organised by Tanzania Centre for Democracy @TCDemokrasia will be officiated by President @SuluhuSamia on the 30th March 2022. The conference with specific reform agenda will be attended by...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania John Mnyika awaongoza waombolezaji kuaga mwili wa kada wa CHADEMA, Sarah Alex

    Katibu Mkuu (Kushoto) Mhe. @jjmnyika na Mratibu Uhamasishaji @bavicha_taifa Mhe. @Twaha_Mwaipaya (kulia) wakiwa katika kanisa la Uamsho la Morovian katika ibada ya kumuaga mwimbaji Sarah Alex leo Januari 24, 2022. Kabla ya kuanza safari ya kuelekea Tanga kwaajili ya maziko.
  16. B

    JamiiForums Tanzania John Mnyika ni Mwanasiasa aliyefanya kazi kubwa na Katika mazingira magumu 2019, 2020 na 2021 Nchini Tanzania

    Nikiri niliwahi kupoteza Imani na Mnyika kipindi Dr. Slaa anatimkia CCM Kwa mgongo WA kuachana na siasa. Nilidhani kijana huyu atasaliti dhamira na Imani ya Watanzania dhidi yake lakini niombe radhi nilimwazia vibaya. Kati ya watu waliosimama Katika mazingira magumu ni huyu kijana. Alisimama...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  18. comte

    JamiiForums Tanzania Mnyika kama hili ni kweli ama ujitokeze ueleze hadharani au jiuzulu

  19. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Nakumbuka jinsi Marando alivyomuokoa Mnyika

    Mnyika alishaingia Kingi, Alishatengenezewa zengwe na Mkuu wa Green Guard, Field Marshal Jemedari. Zengwe lenyewe ni kuwa Mnyika alitumia Meseji Jemedari kuwa atamuua. Field Marshal akaleta ujumbe wa Simu kwa Spika Anna. Spika Anna akawaka sana kuwa tumefanya siasa zote lakini siasa za kuuana...
  20. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mnyika ondoka nafasi ya Katibu mkuu, viatu vya Dk Slaa vimekupwaya

    Tuachie chama chetu, hauna mkakati wowote kuhakikisha tunasimama kama enzi za Dk Slaa. Mbaya zaidi chama kama chama kinafanyiwa maonevu makubwa lakini hauchukui hatua hata kushitaki UN na tume za haki ya binadamu. Chama kinazolota lakini huchukui hatua kabisa. Unalipwa posho kubwa bure tu ndio...
Back
Top Bottom