TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wanabodi..!
Kwa sasa inaonyesha kila idara ya Serikali kuna upungufu wa watumishi.Moja ya kitengo nyeti sana ni jeshi la polisi ni muda sasa sijaona Tangazo la ajira za polisi zikitangazwa.
Najua kutokana na protocal za kazi zao hawa jamaa sidhani kama wanaweza kulalamika kwamba tuna upungufu wa watumishi.
Polisi wana vitengo vingi sana kuanzia ufundi,utabibu,uhasibu n.k lakini cha ajabu hakuna nafasi za kazi ambazo zimekuwa zikitangazwa miaka ya hivi karibuni,pia wapo waliostaafu,waliofukuzwa kazi na walifariki dunia lakini bado hawaajiri watumishi wapya.
Nimesikia kwa sasa polisi mmoja analindwa wastani wa watu 2000 badala ya 450 hii maana yake tunaitaji wa polisi mara tatu na.
Naomba nichukue fursa hii kuomba wizara iombe kibali hili waajiri vijana wakachape kazi,vijana wanalipenda sana jeshi la polisi,basi rais wetu mpendwa mama Samia Hassan amwage wino angalau 6000 vijana wajimwae mwae huku kazi inaendelea.
😁😁😁😁