mkurugenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya mkurugenzi TIC na Maliasili kuondolewa kwenye Ajira Portal

    Kufuatia maelekezo wa Waziri wa Fedha, nafasi za wakurugenzi wakuu wa taasisi hizo mbili zilitangazwa kwenye Ajira Portal ya Utumishi. Ghafla nafasi hizo ziliondolewa na hata leo hii ukizitafuta kupata rejea zake hazipo. Kama kuna anaejua kwanini zimeondolewa atufahamishe
  2. D

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Ubungo unayajua ya Shule ya Upendo

    Mk
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili ajitoa kesi ya aliyekuwa Mkurugenzi Jiji la Arusha

    Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa. Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa JamiiForums, Maxence Melo anazungumza ndani ya Ugali wa Taifa ya Clouds TV, Juni 30, 2022

    Maxence Melo amesisitiza suala la JamiiForums kutaka kujitanua na kuzifikia nchi nane za Afrika ili kuwapa watu wa nchi hizo huduma ambayo watanzania wamekuwa wakiipata pia kukuza Kiswahili. Suala la umuhimu wa faragha ni suala alilozungumza kwa undani akitaja mfano wa watu kuandika majina...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

    Soma hapa:-
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wafikishwa mahakamani

    Aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili leo Juni 22, 2022 wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha wakikabiliwa na kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka sita ikiwemo mawili ya utakatishaji fedha. Wengine ni Mariam Mshana...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Arusha bado kuna vibaraka wa Mkurugenzi Pima, mkinyamaza Arusha bado si salama

    Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Shule ampiga Mzazi na kitako cha bastola baada ya kuomba uhamisho wa mwanaye

    Jeshi la polisi mkoani Iringa linamshikilia Mkurugenzi wa shule ya Sun Academy, Nguvu Chengula, kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi Alifa Mkwawa, ambaye ni mzazi, kwa kutumia kitako cha bastola baada ya kuombwa uhamisho wa mtoto anayesoma katika shule hiyo. Kamanda wa Polisi mkoani humo Allan...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums anahojiwa Wasafi FM

    Mkurugenzi Mkuu wa JamiiForums, Maxence Melo yupo live wa Wasafi FM kwenye kipindi Cha Mgahawa akihojiwa mambo mbalimbali lakini pia interview hii inarushwa live Youtube kwenye channel ya Wasafi media === Updates. Melo: Nchi nyingi zinatamani kuwa na JamiiForums na tunaenda kufungua...
  10. Replica

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi mkuu mwingine ajiuzulu Vodacom. Mtandao unaelekea shimoni?

    Mkurugenzi mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose amejiuzulu nafasi hiyo ambapo atatizimiza miezi nane tangu mtangulizi wake, Hisham Hendi nae ajiuzulu kwenye nafasi hiyo. Sio ishara njema kwa kampuni kubwa kama Vodacom ambayo watu wanaota kuiongoza. Mwaka jana Vodacom ilisitisha...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Je, Mkurugenzi wa manispaa kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa ni sahihi?

    Kuna taarifa kuwa siku ya kesho mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni anaenda kufuturisha wenyeviti wa serikali za mitaa yote ya Kinindoni zaidi ya 150. Nauliza haya ndio matumizi sahihi ya kodi zetu? Je, akitokea mwingine akaamua kipaimara cha mtoto wake alishe wajumbe wote kwa hela za umma...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa amsimamisha Mkurugenzi wa Mvomero Bw Hassan Njama Hassan kwa Ufisadi wa kutisha

  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Mavere Tukai kuwa Mtendaji Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi jioni ya Aprili 14, 2022 kama ifuatavyo: Amemteua Rosemary William Slaa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Bohari ya Dawa (MSD), Bi. Slaa ni Afisa Mwandamizi katika Kampuni ya Picenaterhouse Coopers PWC...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere, kwanini usijiuzulu?

    Lango la kuingia nchini linapokosa mtu makini lawama na kudumaa Kwa huduma lazima kuwepo; Kwa kipindi kifupi toka kuzinduliwa Kwa terminal 3 madhaifu yafuatayo yapo wazi na Kila msafiri makini anayaona. 1. TV zinazoonyesha ratiba ya safari terminal 2 zimeondolewa, hivyo hakuna sehemu unapata...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Watendaji wa Mange Kimambi App wapandishwa kizimbani Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
  16. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio inayopitia Dar es Salaam port, huku asilimia 98% ikipitia Mombasa port, asema mkurugenzi mkuu wa TRC

    Wadau mimi nilijua kwamba asilimia 20 ya mizigo ya Uganda hupitia Dar es Salaam port sasa leo nimepigwa na butwaa kusoma maneno aliyosema mkurugenzi mkuu wa TRC Masanja Kadogosa kwamba asilimia mbili tu ya mizigo ya Uganda ndio hupitia Dar es Salaam port. Hio ina maana kwamba asilimia 98 ya...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Grace Products atwaa tuzo ya Super Woman kutoka Wasafi Media

    Mkurugenzi wa Kampuni ya Grace Products, Dk. Elizabeth Nyamizi Kilili, jana Jumanne, Machi 8, 2022 alitwaa tuzo ya Super Women katika hafla kubwa iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam. Dk. Elizabeth ametwaa tuzo hiyo iliyotolewa na waandaaji, Wasafi Media katika Siku ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DPP Mwakitalu: Uhalifu haulipi, Ukikamatwa na TAKUKURU tunakupa adhabu na Mali zako zinataifishwa

    MKURUGENZI wa Mashitaka nchini ( DPP), Sylvester Mwakitalu, amesema kwa sasa hakuna mwalifu atakayenufaika na mapato ambayo ameyapata kwa njia ya rushwa au uharifu, kwa maana hiyo fedha na mali zitataifishwa. Amesema Rushwa ni janga kubwa na athari zake zinaonekana katika ngazi ya taifa na...
  20. dubu

    JamiiForums Tanzania Gabriel Mwita Thobias, Mkurugenzi bandari aandamwa na rushwa ya ngono

    WAKATI Serikali ikiongeza nguvu kupambana na rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kingono, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Mamlaka wa Bandari (TPA) Gabriel Mwita Thobias anadaiwa amekuwa akitumia madaraka yake kutekeleza vitendo hivyo. Taarifa zilizoifikia Tanzania PANORAMA Blog zimedai kuwa...
Back
Top Bottom